Prof. Mukandala achanganyikiwa kusikia Jumatatu mgomo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prof. Mukandala achanganyikiwa kusikia Jumatatu mgomo

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Ndokeji, Jan 8, 2012.

 1. Ndokeji

  Ndokeji JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Makamu mkuu wa chuo kikuu cha Dar es salam prof. Rwekaza mukandala kahaha baada ya kusikia Daruso wametangaza kuna mgomo wa wanafunzi kutoingia madarasani kuanzia jumatatu . Prof mukandala akamua kumpigia simu raisi Wa Daruso akimuomba awatangazie wanafunzi kusitisha mgomo mara moja na kumuhakishia yeye yuko tayari kukaa na Daruso mezani na Kuyamaliza hayo Maswala .
   
 2. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Ahsante kwa taarifa Bw Rais wa Daruso...

  Haki haiombwi bali inapiganiwa.
   
 3. Ng`wanakidiku

  Ng`wanakidiku JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2012
  Joined: Apr 18, 2009
  Messages: 1,196
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Je muda wote alikuwa wapi kufanya mazungumuzo? Ni ujinga kutokufanya mlichokubaliana. Fanyeni mgomo, kama mnazungumuza basi wakati huo watu wasiingie class, lakini ukikubali muingie class, then yeye atachokifanya atawapick viongozi wa migomo na kuwafukuza tena. Cha muhimu nawashauri gomeni! Nakumbuka marehemu (R.I.P) Chachage ktk kupigania haki za wahadhili wa vyuo vikuu nchini alifanya mtindo wa mgomo, then wapo kwenye kikao na waziri huku watu wapo kwenye kikao wanasuburi majibu na siyo ofisini.
  Kitu ambacho mnaweza fanya:
  1. Itisheni kikao J3
  2. Wanafunzi wote wasubiri matokeo ya mazungumzo na VC kikaoni,
  3. Majibu ndiyo yakayoamua.
   
 4. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #4
  Jan 9, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Nakubaliana nawe kabisa ...Huyu mkandara ni kilaaza sana.
  Alichukua chuo kikiwa kina heshima Africa na ulimwenguni ila kwa sasa chuo kimeporomoka kwa upuuzi wake wa kuendekeza siasa badala ya taaluma.Vijana wakazeuzi haki itapatikana tu.
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  Jan 9, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Udsm,,,,,
   
 6. K

  KWETU PAZURI Senior Member

  #6
  Jan 9, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  UZUSHI huo
   
 7. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #7
  Jan 9, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Poleni bana, ila ndo wasomi wa leo walioamua kuoana na siasa
   
 8. Ndokeji

  Ndokeji JF-Expert Member

  #8
  Jan 9, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 525
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  uzushi nini hujui hata kinachoendelea kama huna chakupost tulia usiropoke kenge wewe
   
 9. Sooth

  Sooth JF-Expert Member

  #9
  Jan 9, 2012
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 3,773
  Likes Received: 4,496
  Trophy Points: 280
  ... Kila la kheri ktk harakati zenu. Kwa sasa ni kama serikali inaendesha mkakati wa chini chini wa fukuza fukuza vyuoni-kama mko makini mtakuwa mmeshagundua. Kwahiyo, mnapotaka kugoma tena tambueni kwamba wengi waatafukuzwa tena.
   
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  Jan 9, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,259
  Trophy Points: 280
  Kuna suala gani this time?
  Next CCM candidate akija kutafuta wadhamini kugombea uprezidaa msisahau kumpa support na kuzunguka nae nchi nzima eh. Poleni sana <with my JK smile>
   
 11. K

  KWETU PAZURI Senior Member

  #11
  Jan 9, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  bwabwa ww
   
 12. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #12
  Jan 9, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 2,897
  Trophy Points: 280
  Kwani ni jambo baya kuomba mazungumzo yafanyike? Au watu walishajiwekea maamuzi kichwani kuwa lazima mgomo uwepo? Nampongeza Profesa, nampongeza rais wa DARUSO (kama amekubali).
   
 13. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #13
  Jan 9, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mkosa hoja.. source: da Lizzy
   
 14. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #14
  Jan 9, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  &#8203;na wagome kweli sio wanabeeep tu.
   
 15. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #15
  Jan 9, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Hivi Kuwarudisha chuoni wanafunzi waliofukuzwa inahitaji mjadala!!!!
   
 16. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #16
  Jan 9, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hana haki yakuitwa jenge bali mi mjusi
   
 17. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #17
  Jan 9, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ilopo mkomae tuone watafukuza mpaka lini ila msijelegeza uzi wakati wenzenu washakuwa eliminated
   
 18. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #18
  Jan 9, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ni vyema serikali ikatambua haki yao na siyo kufanya kuwafukuza bila kufuata utaratibu eti ili kuwaogopesha wasidai haki zao. Embu fanyeni kuwatimizia haja zao tuone kama matatizo hayataisha na chuo kurudi ktk hadhi yake ya awali. Pia inaonyesha mkandala ndo tatizo ya yote kwa ktk Tz nzima hakuna mtu mwingine anaeweza kukiongoza hicho chuo? Ni vyema serikali ikaweka maslahi ya elimu mbele na siyo siasa
   
 19. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #19
  Jan 9, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  naomba mgomo ufanyike kama tukivyopganga.
   
 20. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #20
  Jan 9, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  mgomo umeishia wapi
   
Loading...