Zimmermann
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 2,790
- 1,232
Aisee...haya mambo ya dini yanawafanya wengine ubongo wenu uwe na matege...Nina assume kama angekuwa ni waziri anayeitwa Rashid katoka na wazo kama hilo ungemfagiliiiiia saana...Kama mtu ametoa na tarehe ya kuanza zoezi hilo kwanini tusisubiri kwanza tukaona kama hiki kitu kitatekelezeka kabla ya kuanza kupiga ramli zetu?Tanesco ilikuwa inauza nguzo tangu enzi za Mkapa, so ungeichukia serikali ya Mkapa kabla ya kikwete au serikali ya ccm kwa ujumla
Huyu waziri anaongea maneno matupu Tanasco hatoiweza... alijaribu Idrisa kuwanyoosha kwasababu ya siasa za kidin waka muondoa..
siasa tupu hamna kitu hapo..