Prof. Muhongo, TANESCO, REA na EWURA Mnaumiza wananchi

Prof. Muhongo tokea umeingia umekagua mashine zoote za kutumia maji nakuongele suala la bei ya umeme kwamba Tanesco wanazalisha umeme kwa bei ndogo Sanaa lakini tunaona halifanyiwi kazi .Pia tunaona Tanesco walituma punguzo la service charge EWURA mpaka leo hakuna Majibu sasa mnaonyesha slogan ya HAPA KAZI TU inapuuziwa.

Pia tunaon hawa REA, EWURA wanawekwa kwa nini kwenye malipo hapa? kwa kazi gani wanayofanya wakati VAT ipo hapo. Huu ni unyonyaji na kutia ugumu wa maisha.

Rais Magufuli siku ya kuweka Jiwe la msingi kwa ajili ya kinyerezi 2 alisema GAS ipo Mabwawa yote yamejaaa sasa sijui kwa nini mnatuumiza

CHARGES ZA TANESCO

  1. Sercive Charge (TSh.5520)
  2. VAT (18%) ambayo bado ni kubwa saanaaaaa
  3. EWURA (1%)Huyu tunamlipa kwanini wakati VAT tunalipa? Tunaomba kitolewe kama wizara haiwezi kufuatilia watumbuliwe
  4. REA (1%) Huyu ndio hatumuelewi kabisaaaa anafanya nini hapa na analipwa kwa sababu gani ? Tunaomba kitolewe kama wizara haiwezi kufuatilia watumbuliwe

Au ndani ya REA, EWURA tunawalipa IPTL?

Umeme we elfu 20000 ati unapewa unit 36

Rais Magufuli uliahidi kufuta kodi za hovyo zinazo kandamiza watu tunaomba hizi zitolewe
Usimwamini mwanasiasa yeyote hapa duniani. Mm sikufichi 2020 watakuja wanashangaa kwanini wananchi masikini walibomolewa mabondeni, kwanini maisha yamekua magumu zaidi. Wewe utaona
 
Ni mwendo wa kuwaibia tu hakuna namna! Eti nilipe 50000 kila mwezi kwa umeme tu? Thubutuu
 
Jamani kuilaumu Tanesco ni kuionea Ila kiukweli shirika linajitaidi kumaliza kero zote za umeme na mwisho wa siku kila kitu kitakuwa sawa na maisha yatendelea. Lakini kwa upande mwingine sisi wananchi ndo tunarudisha maendeleo nyuma kwa kuaribu miundo mbinu mwisho wa siku Umeme ukikatika lawama nyingi kumbe chanzo ni sisi wenyewe
Kwamba sisi ndio chanzo cha gharama kubwa ya umeme? Mkuu kwa gharama hizi za umeme zilivyo juu usiitetee Tanesco kabisa Otherwise unatumia SOLA.
 
REA ni taasisi ambayo haina manufaa yoyote. Kila mradi wake wa umeme vijijini umegubikwa na sintofahamu lukuki.

EWURA kama SUMATRA ni vijiwe vya wakubwa kuvuna bila jasho. Hivi tangu majipu haya yazaliwe hesabu zake zimechapishwa kwenye vyombo vya habari kwa mujibu wa Sheria?
 
Mnanipa machungu tu mkisema TANESCO ngoja nitulie mana sikuiz nimeamua kuiba umeme wao sio kisa napenda bali wamenilazimisha nanunua wa bk 20 ukiisha na connect wa wizi mpaka mwezi uishe mana kwa mwezi mimi natumia umeme wa elfu 20 tu ikizidi hapo na connect full stop, najua kunikamata ni ngum mana mi mwenyewe mtahalamu
Wazo zuri sana hili mkuu, kwa kuwa wao wamekuwa wakituibia fedha zetu na sisi bora tuwe tunawaibia umeme ili twende sawa
 
REA ni taasisi ambayo haina manufaa yoyote. Kila mradi wake wa umeme vijijini umegubikwa na sintofahamu lukuki.

EWURA kama SUMATRA ni vijiwe vya wakubwa kuvuna bila jasho. Hivi tangu majipu haya yazaliwe hesabu zake zimechapishwa kwenye vyombo vya habari kwa mujibu wa Sheria?

Mkuu asante kwa kuongezea SUAMATRA ndio lijipuuuuuuuuuuuuuu na ni kweli REA, EWURA and SUMATRA ni chaka la wapiga pesa mafisadi woote IPTL, Richmond na wengine zaidi

Rais Magufuli tunaomba Jipu hili hatari REA, EWURA and SUMATRA linatuumiza saana ukishuka umeme na mafuta tunaomba utoe agizo la kushuka bei ya vitu vyoooote
 
Prof. Muhongo tokea umeingia umekagua mashine zoote za kutumia maji nakuongele suala la bei ya umeme kwamba Tanesco wanazalisha umeme kwa bei ndogo Sanaa lakini tunaona halifanyiwi kazi .Pia tunaona Tanesco walituma punguzo la service charge EWURA mpaka leo hakuna Majibu sasa mnaonyesha slogan ya HAPA KAZI TU inapuuziwa.

Rais Magufuli uliahidi kufuta kodi za hovyo zinazo kandamiza watu tunaomba hizi zitolewe

PRESS RELEASE: TANZANIA RULAR ENERGY AGENCY
 
Ni wizi uliokithiri cjui kwa nn JPM anaendelea kulifumbia macho hili jipu?
 
Siyo EWURA, REA ,SUMATRA au sijui nini na nini! Huu utitiri wa hayo mawakala wa serikali ni kumwongezea mlaji ama mpata huduma gharama za bure. Sasa watu hawalali wakifikiri jinsi ya kubuni wakala wa serrikali ili wale. Tusishangae kusikia wakala wa serikali wa kipindupindu, Ukimwi, mwenge, nyama, udongo, taarabu, mapenzi na hata siasa nk. Tusubiri
Kwenye wakala wa mapenzi lazima nizengee nafasi, hata kwa kutoa hongo. kama kutumbuliwa na nitumbuliwe...itakuwa ajali kazini...alaaaaaaa!!
 
Wakala wa serikali zote ni makupe yakunyonya watanzania masikini na wala hawajali kabisa maisha magumu ambayo wananchi wanakabiliana nayo..hawa jamaa wa EWURA, REA, SUMATRA hakuna tofauti na ukodishaji wa itambo yakufua umeme simbioni, AGGREKO, IPTL na mengineyo kwani wakala hizi hazina msaada wa kiuchumi kwa afya za mapato ya wananchi wa kawaida, wanatukamua usiku na mchana hata tunashindwa kupumua...kweli nchi haina mwenyewe kila mmoja anatafuta namna yakumtafuna mwenzie basiiiiiiiiii!!hatuna budi kuitaka serikali kuu kupima namna yakusaidia wananchi wenye vipato vya kati ili tufaidi rasilimali tulipewa na Mungu wetu kwa faida ya wote.
 
Kwa anaejua Uogngozi wa Juu EA na EWURA atutajie majina yao vyeo na kama mishahara inajulikana atuwekee hapa

ili watumbuliwe hawa
 
Prof. Muhongo tokea umeingia umekagua mashine zoote za kutumia maji nakuongele suala la bei ya umeme kwamba Tanesco wanazalisha umeme kwa bei ndogo Sanaa lakini tunaona halifanyiwi kazi .Pia tunaona Tanesco walituma punguzo la service charge EWURA mpaka leo hakuna Majibu sasa mnaonyesha slogan ya HAPA KAZI TU inapuuziwa.

Pia tunaon hawa REA, EWURA wanawekwa kwa nini kwenye malipo hapa? kwa kazi gani wanayofanya wakati VAT ipo hapo. Huu ni unyonyaji na kutia ugumu wa maisha.

Rais Magufuli siku ya kuweka Jiwe la msingi kwa ajili ya kinyerezi 2 alisema GAS ipo Mabwawa yote yamejaaa sasa sijui kwa nini mnatuumiza

CHARGES ZA TANESCO

  1. Sercive Charge (TSh.5520)
  2. VAT (18%) ambayo bado ni kubwa saanaaaaa
  3. EWURA (1%)Huyu tunamlipa kwanini wakati VAT tunalipa? Tunaomba kitolewe kama wizara haiwezi kufuatilia watumbuliwe
  4. REA (1%) Huyu ndio hatumuelewi kabisaaaa anafanya nini hapa na analipwa kwa sababu gani ? Tunaomba kitolewe kama wizara haiwezi kufuatilia watumbuliwe

Au ndani ya REA, EWURA tunawalipa IPTL?

Umeme we elfu 20000 ati unapewa unit 36

Rais Magufuli uliahidi kufuta kodi za hovyo zinazo kandamiza watu tunaomba hizi zitolewe
wanaongea siasa eti umeme utashuka bei wanawadanganya wananchi subiri miaka 5 siyo mbali tuatawabwagatu.
 
inamaana humu hakuna wanaoguswa na suwala hili wakasaidia kutumpa update au kutoa kwa magazeti
 
Siyo EWURA, REA ,SUMATRA au sijui nini na nini! Huu utitiri wa hayo mawakala wa serikali ni kumwongezea mlaji ama mpata huduma gharama za bure. Sasa watu hawalali wakifikiri jinsi ya kubuni wakala wa serrikali ili wale. Tusishangae kusikia wakala wa serikali wa kipindupindu, Ukimwi, mwenge, nyama, udongo, taarabu, mapenzi na hata siasa nk. Tusubiri
Kuna mmoja hapo sio wakala wa serikali ni mtu binafsi.ndo mana mafuta yalishuka bei dunia nzima lakini tanzania tukakomaa na bei ile ile.jipu jipu jipu jipu
 
yooote sababu ya mdudu / jipu / cancer UWURAAAAAAAAAAAAA
 
Na Hawa REA siwaelew kabisa
Wanasambaza nguzo vijijin kisha wanaziacha zinaozea chini ivi izo hela wanaziokota wapi izo wanazichezea kiasi icho ?
 
Prof. Muhongo tokea umeingia umekagua mashine zoote za kutumia maji nakuongele suala la bei ya umeme kwamba Tanesco wanazalisha umeme kwa bei ndogo Sanaa lakini tunaona halifanyiwi kazi .Pia tunaona Tanesco walituma punguzo la service charge EWURA mpaka leo hakuna Majibu sasa mnaonyesha slogan ya HAPA KAZI TU inapuuziwa.

Pia tunaon hawa REA, EWURA wanawekwa kwa nini kwenye malipo hapa? kwa kazi gani wanayofanya wakati VAT ipo hapo. Huu ni unyonyaji na kutia ugumu wa maisha.

Rais Magufuli siku ya kuweka Jiwe la msingi kwa ajili ya kinyerezi 2 alisema GAS ipo Mabwawa yote yamejaaa sasa sijui kwa nini mnatuumiza

CHARGES ZA TANESCO

  1. Sercive Charge (TSh.5520)
  2. VAT (18%) ambayo bado ni kubwa saanaaaaa
  3. EWURA (1%)Huyu tunamlipa kwanini wakati VAT tunalipa? Tunaomba kitolewe kama wizara haiwezi kufuatilia watumbuliwe
  4. REA (1%) Huyu ndio hatumuelewi kabisaaaa anafanya nini hapa na analipwa kwa sababu gani ? Tunaomba kitolewe kama wizara haiwezi kufuatilia watumbuliwe

Au ndani ya REA, EWURA tunawalipa IPTL?

Umeme we elfu 20000 ati unapewa unit 36

Rais Magufuli uliahidi kufuta kodi za hovyo zinazo kandamiza watu tunaomba hizi zitolewe

Uandishi wako tu unaonyesha ulivyo na uwezo mdogo wa kufikiri eti na wewe unajiita great thinker!
1.Uanzishwaji wa EWURA na REA upo kwa majibu wa sheria zilizotungwa na bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania wala sio maamuzi ya wafanyakazi wa EWURA na REA
2.Tozo za EWURA na REA zipo kwa mujibu wa sheria zilizounda taasisi hizo
3.Hakuna mabwawa ya gesi
4.Mchakato wa kupunguza au kuongeza tariff una taratibu zake ambazo zinaanzia TANESCO kupeleka maombi EWURA,EWURA kufanya analysis kulingana na maombi yalivyotumwa na kupitia evidences,Kuitisha kikao cha wadau wote na kukusanya maoni yao,kuyapitia maoni ya wadau kama yako valid na kuyaingiza kwenye analysis,kukaa exit meeting kati ya TANESCO,EWURA,EWURA CCC, Government Consultative Council, CTI n.k then mamlaka inasubmit kwa wizara husika kwa ajili ya kuidhinisha.hiyo process inapaswa iwe ndani ya siku 60.
5.Kama huzijui kazi za EWURA na REA kapitie website ufanye homework vizuri.
 
tumeambiwa mda mrefu kuwa tanesco wamepeleka maombi yakushusha bei ya umeme kwa EWURA hadi saa ivi hatujasikia badiliko lolote, service charges za kila mwezi ni wizi tu wanazidi kutukamua wananchi wao hawalipii gharama za umeme, ewura 1%, rea 1% zoooote za nini mnatuumiza kwa kweli wananchi kwani hakuna vyanzo vingine vya mapato? mnatulenga sisi wananchi huu sio uungwana wajameni, sijui ni ujamaa wa chura? kilio chake kinaenda na maji
Uliambiwa tarehe ngapi wamepeleka na wanataka iwe effective kuanzia lini?fanyeni utafiti kwanza sio mnaleta hoja za facebook
 
Back
Top Bottom