Prof. Muhongo, TANESCO, REA na EWURA Mnaumiza wananchi

Prof. Muhongo, TANESCO, REA na EWURA Mnaumiza wananchi

kwani wewe hoja yako uliyotumwa na IPTL ni ipi?
Mie elimu yangu ndio imenituma nije nikukomboe kifikra bado unawaza kitoto sana. "KUNJA SURA then KUNJUA MOYO" utaweza kuachana na Fikra mgando, tatizo lako unaleta mada kiumbeaumbea bila kujua majukumu ya kila taasisi siku nyingine uje uulize kwanza ujifunze kama miezi sita kuhusu sekta ya nishati then uje na hoja.
 
Itumbueni serikali na Bunge wana



Sidhani kama Tanesco on their own walikuwa na uwezo wa kuingia mkataba wowote bila maelekezo ya viongozi wa kisiasa. Haya mambo yamejadiliwa sana na vielelezo vimetolewa sana juu ya kuingiliwa na wanasiasa katika maamuzi ya mashirika mengi ya umma ikiwemo Tanesco. Sio sahihi sana kuilaumu Tanesco moja kwa moja kwa kuwa imeshindwa ku-exercise autonomy katika mipango yake. Lakini pia serikali kwa ujumla ilijisahau kuwekeza katika vyanzo vingine vya umeme licha ya dalili za muda mrefu za mabadiliko ya hali ya hewa. Kama serikali ingekuwa proactive katika kuwekeza then tusingeingia kwenye mtego wa kukodisha mitambo, ambayo kwa hali yoyote ile ni ya ghali sana duniani kote.

Kuhusu tozo za REA (3%) + EWURA (1%) = 4% ambapo katika kila shilingi 100 ukitoa REA na EWURA unabakia na sh. 96 binafsi sioni kama ni mzigo sana. Tatizo lipo kwenye service charges ambazo kiwango chake na calculation yake haipo clear. Lakini pia naona tunaziandama sana taasisi kama REA na Ewura wakati makato makubwa ni VAT ambayo ni 18%
Just imagine kama VAT na sercice charge zingeondolewa hususani kwa wateja wa kipato cha chini, tusinge-feel huo mzigo wa kununua umeme kwa bei juu.

MKuu huyu Engeez ni jipu katumwa

Mimi nawalaumu pia TANESCO kuna kupindi waliomba kupandisha Umeme na sevrcice charge ni mzigo pia VAT ni mzigo mkubwa

Sasa REA (3%) + EWURA (1%) = 4% hii ingekuwa ni ya tanesco peke sawa lakini tunawapa watu ambao hawana kazi na faida kwetu, sababu wabunge nao ni vimeotu kutuwekea hawa. ukiamgalia uzalishaji ni bei poa saana lakini makato yao ndio yanaumiza

TANESCO pia ndio walileta makampuni ya hovyo na wao pia wanahusika saana kutuumiza
 
Mie elimu yangu ndio imenituma nije nikukomboe kifikra bado unawaza kitoto sana. "KUNJA SURA then KUNJUA MOYO" utaweza kuachana na Fikra mgando, tatizo lako unaleta mada kiumbeaumbea bila kujua majukumu ya kila taasisi siku nyingine uje uulize kwanza ujifunze kama miezi sita kuhusu sekta ya nishati then uje na hoja.

Ulisomea kuwasaidia wizi pia hakuna alitaka kujua kama unaelimu we ni mchicha tu
 
MKuu huyu Engeez ni jipu katumwa

Mimi nawalaumu pia TANESCO kuna kupindi waliomba kupandisha Umeme na sevrcice charge ni mzigo pia VAT ni mzigo mkubwa

Sasa REA (3%) + EWURA (1%) = 4% hii ingekuwa ni ya tanesco peke sawa lakini tunawapa watu ambao hawana kazi na faida kwetu, sababu wabunge nao ni vimeotu kutuwekea hawa. ukiamgalia uzalishaji ni bei poa saana lakini makato yao ndio yanaumiza

TANESCO pia ndio walileta makampuni ya hovyo na wao pia wanahusika saana kutuumiza
Tutajie hiyo bei poa ya uzalishaji
 
Cost TZS 65,573.78
VAT 18% TZS 11,803.27
EWURA 1% TZS 655.74
REA 3% TZS 1,967.21
TOTAL TZS 80,000.00
Huu ni wizi
 
Mnalalamika sana tatizo, Nashukuru sana Mh. Muhongo kwa kutuondolea service charge sisi wananchi wa kawaida.. Ahsante na pongezi kwa kazi nzuri inayoendelea kufanywa na WNM
 
EWURA sio msaada kwa wananchi, ni muendelezo wa vitengo vya kuwapa ajira washkaji zao na kupigia ufisadi, kiuhalisia haina tija na kina yakhe.
EWURA ni mzigo tu, yaani petrol imeshuka bei mara world market huku bongo inashushwa kwa sh 100_200
 
nasikia kuna figisu kwenye symbion na IPTL

Symbion wanaiuzia umeme Tanesco $ senti 6 wakati IPT $ senti 32 au ziada sasa huu ni wizii mkubwaaa

MH, Raisi Magufuli vipi hili Jipu
 
Back
Top Bottom