Prof. Muhongo, TANESCO, REA na EWURA Mnaumiza wananchi

Prof. Muhongo, TANESCO, REA na EWURA Mnaumiza wananchi

Jamani kuilaumu Tanesco ni kuionea Ila kiukweli shirika linajitaidi kumaliza kero zote za umeme na mwisho wa siku kila kitu kitakuwa sawa na maisha yatendelea. Lakini kwa upande mwingine sisi wananchi ndo tunarudisha maendeleo nyuma kwa kuaribu miundo mbinu mwisho wa siku Umeme ukikatika lawama nyingi kumbe chanzo ni sisi wenyewe
 
tumeambiwa mda mrefu kuwa tanesco wamepeleka maombi yakushusha bei ya umeme kwa EWURA hadi saa ivi hatujasikia badiliko lolote, service charges za kila mwezi ni wizi tu wanazidi kutukamua wananchi wao hawalipii gharama za umeme, ewura 1%, rea 1% zoooote za nini mnatuumiza kwa kweli wananchi kwani hakuna vyanzo vingine vya mapato? mnatulenga sisi wananchi huu sio uungwana wajameni, sijui ni ujamaa wa chura? kilio chake kinaenda na maji
 
Tuliahidiwa gesi ikianza kutumika umeme utashuka sana bei kumbe bei yenyewe asilimia moja kumbafff tumechoka kutapeliwa jinsi unavombana mlaji ujue ndio anavozidi kubuni namna ya kuiba zaidi
 
Mie nanunua umeme wa laki 1 kwa matumizi ya home tu ninatumia fridge 1 tu na huwa nafanya hivyo ili nisinunue umeme mara kwa mara cha ajabu naona unit ninazopata kwa laki 1 zinazidi kupungua wakati umeme huo nakaa nao kwa miezi 2! sasa sijui nifanyeje!
 
Mnanipa machungu tu mkisema TANESCO ngoja nitulie mana sikuiz nimeamua kuiba umeme wao sio kisa napenda bali wamenilazimisha nanunua wa bk 20 ukiisha na connect wa wizi mpaka mwezi uishe mana kwa mwezi mimi natumia umeme wa elfu 20 tu ikizidi hapo na connect full stop, najua kunikamata ni ngum mana mi mwenyewe mtahalamu
Aisee uko wapi name nijiunge nawe? tupia contact zako tupate darasa p.se
 
mimi nikimsikia mtu anamsema muhongo natamani kumtukana tena tusi kubwa sana maana muhongo katusaidia sana kwenye umeme.
 
EWURA siwapendi kabisa yaani badala ya kuwa msaada kwetu wananchi wamekuwa mzigo
ukjiona hivyo ujue kuna mkono wa kiongoz flani anapiga 10% flani,...mana viongoz wa ccm wanaishi kwa kuwanyonya raia maSKINI WAKITUMIA msemo kuwa mwenye nacho ataongezewa na asiyenacho atanyanganywa na alichonacho................
 
Watanzania acheni chuki binafsi na Muhongo pamoja na Tanesco. Alfu wee unayetangaza unaiibia Tanesco yetu umeme tukikukamata utashukuru.Tanesco kazi tuu majungu tupa kuleeee
 
mimi nikimsikia mtu anamsema muhongo natamani kumtukana tena tusi kubwa sana maana muhongo katusaidia sana kwenye umeme.
muhongo kasaidia nini?????
mimi nikisikioa jina muhongo napata picha mtu flanii hivi msaniisanii flani mpigaji dili....
muongo kasaidia nini mkuu?????????????
 
Watanzania acheni chuki binafsi na Muhongo pamoja na Tanesco. Alfu wee unayetangaza unaiibia Tanesco yetu umeme tukikukamata utashukuru.Tanesco kazi tuu majungu tupa kuleeee
chuki kakosea nini.,...
tatzo yule siyo mfanyaji kaz na anatudharau watanzania wenziwe,......na pesa zetu za juice ya miwa,.......
kiongoz tena wazr unasema watz maskini hawawez kuinvest nchi kwao, ...eti tuna pesa za juice ya miwa........aaaaaahhh huyu muhongo kwa mtz mzalendo hawez kumkubali kamwe......
 
Jamani kuilaumu Tanesco ni kuionea Ila kiukweli shirika linajitaidi kumaliza kero zote za umeme na mwisho wa siku kila kitu kitakuwa sawa na maisha yatendelea. Lakini kwa upande mwingine sisi wananchi ndo tunarudisha maendeleo nyuma kwa kuaribu miundo mbinu mwisho wa siku Umeme ukikatika lawama nyingi kumbe chanzo ni sisi wenyewe
Kwel we nawe mfanyakaz wa tanesco mana una makato yoyote engineer wenu anasema wakulima wanachimba sna mashamban mpk nguzo zinadondoka najiuliza kati ya shamba na mjin wap wanachimba hovyo na wap kuna tatizo la nguzo kudondoka mjin barabani kila siku nguzo chini kisa miundombinu imechakaa kwetu kila siku mgao sasa inafaa nn kwa iyo miundo mbinu kimfaacho mtu chake kama akinifai bas akiniuzu

Miundombinu imezeeka sna acha mikwala mbadilishe sio kuweka timu yen rea na service charge
 
Jamani kuilaumu Tanesco ni kuionea Ila kiukweli shirika linajitaidi kumaliza kero zote za umeme na mwisho wa siku kila kitu kitakuwa sawa na maisha yatendelea. Lakini kwa upande mwingine sisi wananchi ndo tunarudisha maendeleo nyuma kwa kuaribu miundo mbinu mwisho wa siku Umeme ukikatika lawama nyingi kumbe chanzo ni sisi wenyewe

wewe umetumwa nini wanaitahidi nini wakati hao ndio waliokuwa wanaleta mikataba ya hovyo na mpaka sasa wananchi ndio tunaumia unafikiria umeme ukiwa bei cheee nani ataiba na kuwa na sheria ngumu na zinafuatiliwa

weweeeeeeeeeeeee
 
EWURA siwapendi kabisa yaani badala ya kuwa msaada kwetu wananchi wamekuwa mzigo
Hata mimi nafikiria huyu mdudu EWURA. Aondoke kabisaaaaaaaa, maana kabla hajaja tulikuwa tunanunua umeme kwa shlng 108 kwa unit 1 lakini tangu aje unit 1 imefika 290 kwa unit.

Alafu Mbaya zaidi niliwasikia wakipinga mapendekezo ya Tanesco juu ya upunguzwaji wa bei ya umeme!

Amakweli huu upuuzi ndiyo nauona Tanzania yaani chombo kinacholipwa Mishahara na wananchi, badala kiwatetee, kinawanyonga kwa kumtetea mwekezaji!!!!!!!!!!!!!
 
Watanzania acheni chuki binafsi na Muhongo pamoja na Tanesco. Alfu wee unayetangaza unaiibia Tanesco yetu umeme tukikukamata utashukuru.Tanesco kazi tuu majungu tupa kuleeee

Sasa wewe Muhongo anaonge tuuuuu kutekeleza hakuna kaongea kuhusu kupunguza umeme then kalikalia kimya anatakiwa awe na say ya nguvu akisema watu wanalifganyia kazi
 
Hata mimi nafikiria huyu mdudu EWURA. Aondoke kabisaaaaaaaa, maana kabla hajaja tulikuwa tunanunua umeme kwa shlng 108 kwa unit 1 lakini tangu aje unit 1 imefika 290 kwa unit.

Alafu Mbaya zaidi niliwasikia wakipinga mapendekezo ya Tanesco juu ya upunguzwaji wa bei ya umeme!

Amakweli huu upuuzi ndiyo nauona Tanzania yaani chombo kinacholipwa Mishahara na wananchi, badala kiwatetee, kinawanyonga kwa kumtetea mwekezaji!!!!!!!!!!!!!

Prince ni zaidi ya 290 inakaribia 400 EWURA NA REA Watolewe kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kwenye umeme hata kama ukiwa kipofu utaona jinsi tunavyoibiwa na kuumizwa! no one care!zina nikela sana hizi gharama zisizo na msingi! gharama hailingani na faida ya matumizi ya umeme huo!!! umeme wa taa tu na kuangalia ITV MTU UNALIPIA MPAKA 30000 kwa mwezi!!!!!! huuu siyo uungwana kabisa!
 
Tunataka Kuona hawa waandishi wa habari na wanaotakia mema wananchi wao kama tutaisikia habari hii
TANESCO, REA na EWURA hawa ndio wana fanya maisha yanakuwa magumu

Kwa anaejua Uogngozi wa Juu EA na EWURA atutajie majina yao vyeo na kama mishahara inajulikana

ili watumbuliwe hawa
 
Back
Top Bottom