n00b
JF-Expert Member
- Apr 10, 2008
- 1,006
- 2,667
Wakuu,
Kuna sekeseke linaendelea chini kwa chini ambalo likifumuka linaweza kupelekea Prof. Muhongo kuhamishwa Wizara au kupoteza nafasi yake.
Kifupi ni kuwa jamaa kaingilia maslahi ya wakubwa na kwa sasa mambo si mambo. Tutayasikia ya kusikika muda si mrefu.
Nimeandika ili wajue tayari tumejua, tuna taarifa za ndani zaidi na tunafahamu kinachoendelea kati yetu na wamarekani.