Prof. Muhongo -> SYMBION -> Kikwete ->

Status
Not open for further replies.

n00b

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
1,006
2,667
Wakuu,

Kuna sekeseke linaendelea chini kwa chini ambalo likifumuka linaweza kupelekea Prof. Muhongo kuhamishwa Wizara au kupoteza nafasi yake.

Kifupi ni kuwa jamaa kaingilia maslahi ya wakubwa na kwa sasa mambo si mambo. Tutayasikia ya kusikika muda si mrefu.

Nimeandika ili wajue tayari tumejua, tuna taarifa za ndani zaidi na tunafahamu kinachoendelea kati yetu na wamarekani.
 
Weka vitu mkuu! Prof. Mcassava wewe unafaa sana, jembe lenye kuchapa kazi nakuomba tu uwe makini wasije wakakulimboka au kukumwakyela.
 
Validate your statement Please. Kwanini kuto taarifa nusunusu? mimi hapo sijaona cha kucomment kwa taarifa ambayo ni INCOPMLETE.
 
mkuu toa taarifa kamili tena kwa uthibitisho, tunashindwa kuelewa na itachukuliwa kama umbea na porojo za kijiweni.
 
Mara zote nisome vema. Nasimamia hoja zangu, na kama una access na Ikulu, uliza kwanini JK kasitisha ghafla kwenda Ethiopia. Uliza nini kinaendelea kati ya Ubalozi wa Marekani na Ikulu yetu.
Weka vitu mkuu! Prof. Mcassava wewe unafaa sana, jembe lenye kuchapa kazi nakuomba tu uwe makini wasije wakakulimboka au kukumwakyela.
Kwenye bold hapo! Ndo JK anapopata wakati mgumu. Ngoja tuone upepo huu kama utafanikiwa kupita.
Validate your statement Please. Kwanini kuto taarifa nusunusu? mimi hapo sijaona cha kucomment kwa taarifa ambayo ni INCOPMLETE.
Vuta subira.
yaan maliasili na NISHATI hata malaika hawez kuja kuiongoza:sleepy:
Hii Wizara ni ngumu sana, Muhongo si mwanasiasa; anajaribu kufanya kazi na kuziba mianya mingi ya rushwa, ameanza kukumbana na vigingi kwenye Nishati, kila sehemu anawindwa. Akikosea tu, wanaye
 
Mara zote nisome vema. Nasimamia hoja zangu, na kama una access na Ikulu, uliza kwanini JK kasitisha ghafla kwenda Ethiopia. Uliza nini kinaendelea kati ya Ubalozi wa Marekani na Ikulu yetu.

Kwenye bold hapo! Ndo JK anapopata wakati mgumu. Ngoja tuone upepo huu kama utafanikiwa kupita.

Vuta subira.
Hii Wizara ni ngumu sana, Muhongo si mwanasiasa; anajaribu kufanya kazi na kuziba mianya mingi ya rushwa, ameanza kukumbana na vigingi kwenye Nishati, kila sehemu anawindwa. Akikosea tu, wanaye

Haya yetu macho na masikio maana kuna mmoja alilia alipopigwa chini kuwa amegusa maslahi ya wakubwa !
 
Kwa serikali iliyojaa wababaishaji kama ya kwetu, hata akitokea mtu muadilifu namna gani lazima atapigwa vita tuu. Na kama kweli Prof Muhongo amedhamiria kuleta mabadiliko ya kweli hapo wizarani kwake, i doubt kama atadumu muda mrefu. This country is rotten to core leadership-wise! Na kama ni injini ya gari basi inahitaji overhauling na sio kubadili badili spare parts.
 
Wakuu,

Kuna sekeseke linaendelea chini kwa chini ambalo likifumuka linaweza kupelekea Prof. Muhongo kuhamishwa Wizara au kupoteza nafasi yake.

Kifupi ni kuwa jamaa kaingilia maslahi ya wakubwa na kwa sasa mambo si mambo. Tutayasikia ya kusikika muda si mrefu.

Nimeandika ili wajue tayari tumejua, tuna taarifa za ndani zaidi na tunafahamu kinachoendelea kati yetu na wamarekani.

Mkuu yetu macho, ni ngumu sana kupeleka uadilifu "Nishati na madini" Ni shamba la watu kutengeneza ustaafu bora!

Thanks mkuu.
 
Mungu amlinde huyu waziri, labda ni yule Nyerere aliyesema kuwa "mtu mmoja ndani ya CCM atachukizwa". Angalau pangua mipango hiyo na wakati huo huo mwaga ugali ili tujue nini kilifanyika
 
Validate your statement Please. Kwanini kuto taarifa nusunusu? mimi hapo sijaona cha kucomment kwa taarifa ambayo ni INCOPMLETE.

Basi we akili yako nzito sana. Unaweza kuchukuliwa mkeo kwa kudhamni umemfananisha. pole
 
syimbioni wana kazi ya kusambaza umeme vijijini...halafu inawezekana serikali ya marekani imegunduwa usanii uliofanyika wakati yule mama mmarekani alipokuja kufunguwa syimbion power
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom