Prof. Muhongo ni mtu makini ninayemjua

Prof. Muhongo ni mtu makini ninayemjua

Hebu tuangalie vizuri:

1. Mimi nimemleta waziri wa fedha wa south africa. Ambaye serikali yake ndio iliyoleta hii sera.
"In 2010 Pravin Gordhan, the minister of finance, said: "BEE policies have not worked and have not made South Africa a fairer or more prosperous country." source: 'BEE is flawed and should be scrapped' | Business | Business | Mail & Guardian

2. wewe unamleta "mzawa" anayefaidika na sera hii mbovu. Je unataka aipinge?

3. Nadhani wengi tumeisoma hii habari kwa haraka haraka, nashauri tupitie the whole article tuone hasara za mifumo ya "kizawa" kama BEE.

"In 2012 Gwede Mantashe, the ANC secretary general, criticised preferential procurement too. He said: "This thing of having a bottle of water that you can get for R7 procured by the government for R27 because you want to create a middle-class person who must have a business is not on … It must stop."

Moeletsi Mbeki, the brother of former president Thabo Mbeki, has also repeatedly criticised BEE. In his book, Architects of Poverty: Why African Capitalism Needs Changing, published in 2009, he wrote that BEE "strikes a fatal blow against black entrepreneurship by creating a small class of unproductive but wealthy black crony capitalists made up of ANC politicians". It thus robbed South Africa of the key to economic and industrial development: an entrepreneurial bourgeoisie. "These are the businessmen, industrialists, risk-takers and private investors who alone can create a developed, -modern state."

Habari nzima iko hapa: 'BEE is flawed and should be scrapped' | Business | Business | Mail & Guardian
I am sorry but you are making the same mistake over and over again.
Usitegemee mwingereza, ambaye hadi sasa ndiye biggest investor huko SA, na unayetaka kumreplace akusifie kwa mpango wako wa kujiendeleza.

Kuendelea kum-quote Mail na Guardian you will be wasting your time.
Mama Thatcher is on record kumwita a potentialy free blackman, a terrorist, na ndio hao waingereza wanao own Mail na Guardian.

Jaribu kupanua upeo wako mkuu, no capitalist will treat you with respect, worser still let you off his hook.
 
Ubaya wa mhongo uko wapi hapa??
Mkuu pengine tuwe direct ili uweze kunielewa.
Tatizo si haki sawa kwa wote wakati tunajua uwezo wa waTanzania ni finyu.

Hapa lazima tuwe na local capacity building ili kuwasaidia watanzania kuzi face hizo challenges za miradi hiyo mikubwa.
Titategemea wawekezaji wa nje hadi lini?

Mimi namsifu sana Mtu kama Waziri Magufuli na msimamo wake wa local capacity building, katika Wizara ya Ujenzi.
Magufuli anajitahidi sana kuendeleza wakandarasi wazalendo ili hatimaye hata miska 50 ijayo, pasiwepo na ulazima wa kuwa na wakandarasi wakubwa wa nje.

Na hayo ndiyo malengo ya kiongozi mwenye vision with our country at heart.
 
kama ingewezekana Prof. Muhongo angekuwa Rais hata kwa mwaka mmoja kutunyooshea nchi hii dhidi ya wezi, walafi, la rushwa, wababaishaji kwani hataki wababaishaji na si mwoga wala mroho wa kujilimbikizia mali huyu baba ametosheka na alichokipata wakati akiwa lecturer katika vyuo vikuu nchi mbalimbali za nje. hata nyumba ya Serikali za Mawaziri huko Osyterbay amekataa anaishi kwenye nyumba yake, hataki posho, hataki zawadi, anafanyakazi hadi masaa mengi, hadi jumapili ana stamina ya ajabu hata Wafanyakazi pale Wizara ya Nishati hawana hamu anavyowapeleka mbio.

sasa sisi Watanzania tunahitaji tuwe na viongozi wa nanmna gani hata viongozi wazuri wenye uzalendo wa kweli na wanaopambana na wababaishaji akina Mengi na wengine wanaotunyonya bado hatutaki sijui tunataka nini. acheni maneno acheni kulalamika tuwaunge mkono viongozi kama akina Prof. Muhongo.
 
- Prof. Muhongo ndio kiongozi wa kwanza kuonyesha wazi jinsi Tanzania ambavyo tumekuwa tukiongozwa na viongozi wabovu kwa muda mrefu na kuwakumbatia, kumbe kuna matajiri hapa mjini walikuwa wanaitumia sana wizara hii kutuibia wananchi, tunaambiwa kuna mbunge mmoja ambate ni mwanasheria alikuwa wakili wa Tanesco na IPTL kwa wakati mmoja katika scheme hiyo amefanikiwa kuchota Shillingi Bilioni 52 za wananchi ambazo pia aliwahi kuwagawia Chadema wasiende kwenye jimbo lake,

- Prof. Muhongo unamlinganisha na nani kwenye Cabinet ya sasa na ya zamani? Lakini kwa sababu tulishazoea sana kuongozwa na Viongozi wezi wababishaji msema ukweli na mfuata haki Muhongo anakuwa tatizo kwa wezi sasa wanaanza kutumia vyombo vyao walivyovipata kwa njia za wizi wa pesa za wananchi kumchafua Muhongo, uzuri ni kwamba tupo wananchi ambao akili yetu ipo sawa I mean sober, so hatuwezi kuona Muhongo anaonewa wala kushautumiwa kwa majungu na ujinga ujinga, tutawajibu tu mpaka mwisho!!

- Prof. Muhongo for Presidency!! 2015

Le Mutuz System

Well said.Bahati mbaya baadhi ya watanzania ni wagumu kutambua ukweli bali wanashabikia ulaghai ili mradi ulaghai huo umesemwa kwa lugha inayowavutia. Nimekuwa nikifuatilia kauli za Prof. Muhongo na nimegundua ana dhamira nzuri kwa nchi yetu ila baadhi ya watu hawamuelewi.
 
Huwa sipendi maandishi yako ila kwa hili nakubaliana na wewe kwa asilimia kubwa ila si 100%.

Ni lazima ukubaliane na wengine pia wanacholaani kuwa kuna wezi kama Saidi Simba wanaotumia mwamvuli wa Uzawa na wako tayari kuiba hadi senti ya mwisho ya nchi au kuuza kabisa nchi.

Bahati nzuri nimekuja kufahamu wenzeu wanafanyaje. Dawa hapa ni kweli kutengeneza matajirmaanai wa Kitanzania ila fedha zao (capitals) watakapotaka kuzipeleka nje basi lazima wafanye kws ruhusa ya serikali ya Tanzania. Nchi zote kubwa hasa za Ulaya, hawezi kwenda kuwekeza nje bila ruhusa ya ncji yake. Hii ina maana hata kufanya manunuzi ya ovo ya mamilioni pia hawezi.

Nigeria wana Mafia yao ambayo ndiyo inashika jchumi wa nchi. Kwa maana hiyo, ndiyo maana leo Dangote anataka kuwanunua Shell ili waondokane na ubaya/wizi wao maana mcheza kwao......

Nakubaliana na wengi kuwa Muhongo ni best Minister wa Energy ambaye tumeletewa katika kipindi hiki cha Gas. Lazima kwanza nchi ijijenge ila hapohapo lazima watengenezwe matajiri ambao watakuwa wana mali ambazo kwa kiasi fulani, serikali itakuwa inazichunga,na hapa ni Usalama wa Taifa wanaanza kazi yao. Serikali wanaweza kuwa wabia pia kwa hawa matajiri kwa mfano kws asilimia 30 ili kujua ya chunguni maana ni Stste Capital.

Kwa ufupi ni kuwa, tunahitaji vyote viwili, hapa busara lazima itumike.

Mkuu pengine tuwe direct ili uweze kunielewa.
Tatizo si haki sawa kwa wote wakati tunajua uwezo wa waTanzania ni finyu.

Hapa lazima tuwe na local capacity building ili kuwasaidia watanzania kuzi face hizo challenges za miradi hiyo mikubwa.
Titategemea wawekezaji wa nje hadi lini?

Mimi namsifu sana Mtu kama Waziri Mgufuli na msimamo wake wa local capacity building.
Magufuli anajitahidi sana kuendeleza wakandarasi wazalendo ili hatimaye hata miska 50 ijayo, pasiwepo na ulazima wa kuwa nawakandarasi wakubwa wa nje.

Na hayo ndiyo malengo ya kiongozi mwenye vision with our country at heart.
 
Uzuri na ubaya wa Muhongo ni kuwa, Mzee si Mwana Siasa. Akiwa Rais, anaweza kuwa kama Kagame.

Anaweza kweli akajenga nchi ila pia akajenga chuki na mataifa makubwa. Inatakiwa abaki hapohapo na Rais au Waziri mkuu wasimuingilie sana kama ilivyo leo. pia aachane na Wana siasa kwani watampoteza.

- Prof. Muhongo ndio kiongozi wa kwanza kuonyesha wazi jinsi Tanzania ambavyo tumekuwa tukiongozwa na viongozi wabovu.

- Prof. Muhongo unamlinganisha na nani kwenye Cabinet ya sasa na ya zamani?
- Prof. Muhongo for Presidency!! 2015

Le Mutuz System
 
Huwa sipendi maandishi yako ila kwa hili nakubaliana na wewe kwa asilimia kubwa ila si 100%.

Ni lazima ukubaliane na wengine pia wanacholaani kuwa kuna wezi kama Saidi Simba wanaotumia mwamvuli wa Uzawa na wako tayari kuiba hadi senti ya mwisho ya nchi au kuuza kabisa nchi.

Bahati nzuri nimekuja kufahamu wenzeu wanafanyaje. Dawa hapa ni kweli kutengeneza matajirmaanai wa Kitanzania ila fedha zao (capitals) watakapotaka kuzipeleka nje basi lazima wafanye kws ruhusa ya serikali ya Tanzania. Nchi zote kubwa hasa za Ulaya, hawezi kwenda kuwekeza nje bila ruhusa ya ncji yake. Hii ina maana hata kufanya manunuzi ya ovo ya mamilioni pia hawezi.

Nigeria wana Mafia yao ambayo ndiyo inashika jchumi wa nchi. Kwa maana hiyo, ndiyo maana leo Dangote anataka kuwanunua Shell ili waondokane na ubaya/wizi wao maana mcheza kwao......

Nakubaliana na wengi kuwa Muhongo ni best Minister wa Energy ambaye tumeletewa katika kipindi hiki cha Gas. Lazima kwanza nchi ijijenge ila hapohapo lazima watengenezwe matajiri ambao watakuwa wana mali ambazo kwa kiasi fulani, serikali itakuwa inazichunga,na hapa ni Usalama wa Taifa wanaanza kazi yao. Serikali wanaweza kuwa wabia pia kwa hawa matajiri kwa mfano kws asilimia 30 ili kujua ya chunguni maana ni Stste Capital.

Kwa ufupi ni kuwa, tunahitaji vyote viwili, hapa busara lazima itumike.
Too bad mkuu huyapendi maandishi yangu, but also thats relative, and I am uncomfortable about it!
Ningekuwa comfortable kama unge shoot down the logic and facts about my writings.
My presentation is radher harsh , I admit it, lakini checki vizuri- hii syle ni kwa ajili ya wale wanaojidharau kimalengo, and they'd like to take us down with them!!
Na hilo mkuu nalichukia kuliko nini! Maana maendeleo huanzia na stateof mind.

Kwa hiyo basi nakubaliana na wewe kuwa ujasiamali is about making money, the more the better.
Kwa huku chini oppurtunities ziko nyingi sana, tena sana, tatizo ni kuziona na kuzishughulikia kwa faida yako.

Mimi nilikuwa mwajiriwa mpaka nilipojiajiri. Kujitengenezea fedha tena proffessionally is also a state of mind.
Tatizo kubwa vijana wanridhika sana akishapata kanyumba kake, mke mzuri na gari maoja au mbili. mtu hafikiri sana baada ya hapo.

A strong middle class ndiyo itakayo carry the economic base.
Simtetei Mengi maana anyo madhambi yake, lakini its a fact kuwa hata akiwa na vitalu mia moja vya dhahabi hakuviiba, alivinunua. Na mtu yeyote yule ana ruksa hiyo and in fact kuna watu wana vitalu vingi tu, sehemu mbali mbali nchini lakini wako kimya kama maji ya mtungi.
Tatizo la Mengi tontorillo nyingi, but I like his foreheadedness when it comes to business.

Tukirudi kwenye mada, sipendi, nasema sipendi mtu anaye jidharau, na hivyo basi kuwadharau watanzania kwa kuwapima katika mizani ambayo ni ya kuelekea kushindwa.
Badala yake kuwaendeleza na kutoa fursa ndiy msingi mkubwa wa kutengeneza si tu upeo mkubwa wa kibisahara nchini, bali uwanda mkubwa zaidikwa serikali kuneemeka kutokana na kutajirika wananchi wake.
Na hapo hata kodi zitaongezeka.
 
Nilikuwa namuona anaweza kubaki katika siasa za Tanzania kwa muda mrefu lakini nimekata tamaa huyu Muhongo hawezi tena kubaki katika siasa baada ya 2015, kitu kidogo sana kinamsumbua. Ameshindwa kabisa kuhimili mihemko yake kisiasa na kuingia malumbano yasiyo ya msingi na wananchi.
 
Profesa pambana nao hawa wasiotaka kazi , wanachotaka ni kuiba tu ukiziba mianya ya wizi kelele kibao kaza buti usikatishwe tamaa tupo nyuma yako , utawadanganya watu mara moja lakini sio milele wanadhani watanzania wa sasa ni wajinga eti upewe chakula siku moja halafu eti wewe ndio mtu mzuri kuliko mtu yeyote, lipa kodi kwanza. Umepewa maeneo ya dhahabu karibu nchi nzima ni watanzania gani wamefaidi ?
Tenda iwekwe hadharani watu washindanie , Muhongo tupo nyuma yako tumeijua janja yao wizi mtupu
 
Uzuri na ubaya wa Muhongo ni kuwa, Mzee si Mwana Siasa. Akiwa Rais, anaweza kuwa kama Kagame.

Anaweza kweli akajenga nchi ila pia akajenga chuki na mataifa makubwa. Inatakiwa abaki hapohapo na Rais au Waziri mkuu wasimuingilie sana kama ilivyo leo. pia aachane na Wana siasa kwani watampoteza.

- Kaka wakati wa msimu wa kua na Rais asiye mwanasiasa umefika sasa, tumeongozwa na wanasiasa kwa muda mrefu sana matokeo tumeyaona kila wanapotaka kuweka mambo yao serious vyama vyao vya siasa vinawazuia, it is about time now tuwe na Rais kama Muhongo, mambo yabadilike and then turudi tena kwa wanasiasa!!

Le Mutuz System
 
Nilikuwa namuona anaweza kubaki katika siasa za Tanzania kwa muda mrefu lakini nimekata tamaa huyu Muhongo hawezi tena kubaki katika siasa baada ya 2015, kitu kidogo sana kinamsumbua. Ameshindwa kabisa kuhimili mihemko yake kisiasa na kuingia malumbano yasiyo ya msingi na wananchi.

- Hapana kwa mara ya kwanza Mnyika ameumbuliwa kwamba ni darasa la saba kutokna na kushindwa kujibu bajeti ya Prof. Muhongo, aibu sana Taifa tunapata watu wenye uwezo mkubwa kama huyu wanatokea mburulazzz wa kumkatisha tamaa na majungu majungu badala ya hoja, people badilikeni Muhongo anatakiwa kuwa the next President!!

Le Mutuz System
 
Nilikuwa na maana ya aliyesomea uongozi au management. Wakati wa Nyerere karibu Tanzania nzima tulijuwa kusoma na kuandika kwani Rais alikuwa Mwalimu. Mie leo nikawa Rais, nitajenga hadi vichochoroni na kuhakikisha drainage system kwenye miji mikubwa ila ntasau sana field nyingine.

Anyway, hayo ni mawazo yangu na ukweli hata akitaka, wenye chama cha CCM, hawata mpa hiyo nafasi. Ila kwa CCM, ndiye mtu pekee asiye na makundi na madhambi. Magufuli sasa anatia kinyaa..... Anyway, tusimpende sana maana Mabwepande watakuja wampende zaidi bure Mbaba wa watu..... RIP Mgimwa and General Kombe......

- Kaka wakati wa msimu wa kua na Rais asiye mwanasiasa umefika sasa, tumeongozwa na wanasiasa kwa muda mrefu sana matokeo tumeyaona kila wanapotaka kuweka mambo yao serious vyama vyao vya siasa vinawazuia, it is about time now tuwe na Rais kama Muhongo, mambo yabadilike and then turudi tena kwa wanasiasa!!

Le Mutuz System
 
Jamani watanzania tusipende kulaumu kwa kila kitu. Binafsi namkubali prof, kwanza yeye sio mwanasiasa anasema vitu vinavyoonekana, kama alivyosema watanzania hatuwezi kufanya utafiti wa mafuta na gesi. Anajua uwezo wetu hivyo aliamini hatuwezi, sasa alivyoongea hivyo watu wamemtafsiri vibaya kwamba anajeuri, inawezekana ndivyo anaongea hivyo.
Hebu tumpe nafasi huyu mtanzania mwenzetu afanye mambo tufaidike wote
 
Too bad mkuu huyapendi maandishi yangu, but also thats relative, and I am uncomfortable about it!
Ningekuwa comfortable kama unge shoot down the logic and facts about my writings.
My presentation is radher harsh , I admit it, lakini checki vizuri- hii syle ni kwa ajili ya wale wanaojidharau kimalengo, and they'd like to take us down with them!!
Na hilo mkuu nalichukia kuliko nini! Maana maendeleo huanzia na stateof mind.

Kwa hiyo basi nakubaliana na wewe kuwa ujasiamali is about making money, the more the better.
Kwa huku chini oppurtunities ziko nyingi sana, tena sana, tatizo ni kuziona na kuzishughulikia kwa faida yako.

Mimi nilikuwa mwajiriwa mpaka nilipojiajiri. Kujitengenezea fedha tena proffessionally is also a state of mind.
Tatizo kubwa vijana wanridhika sana akishapata kanyumba kake, mke mzuri na gari maoja au mbili. mtu hafikiri sana baada ya hapo.

A strong middle class ndiyo itakayo carry the economic base.
Simtetei Mengi maana anyo madhambi yake, lakini its a fact kuwa hata akiwa na vitalu mia moja vya dhahabi hakuviiba, alivinunua. Na mtu yeyote yule ana ruksa hiyo and in fact kuna watu wana vitalu vingi tu, sehemu mbali mbali nchini lakini wako kimya kama maji ya mtungi.
Tatizo la Mengi tontorillo nyingi, but I like his foreheadedness when it comes to business.

Tukirudi kwenye mada, sipendi, nasema sipendi mtu anaye jidharau, na hivyo basi kuwadharau watanzania kwa kuwapima katika mizani ambayo ni ya kuelekea kushindwa.
Badala yake kuwaendeleza na kutoa fursa ndiy msingi mkubwa wa kutengeneza si tu upeo mkubwa wa kibisahara nchini, bali uwanda mkubwa zaidikwa serikali kuneemeka kutokana na kutajirika wananchi wake.
Na hapo hata kodi zitaongezeka.

Your right .ulicho sema ndio alicho kikosa Muhungo .mtasaidiaje maana bahati mbaya sana ni mtu mwenye kiburi .na anatumikia chama chenye kiburi ,what do you think ?
 
- Kwa kumzuia Mbunge aliyekuwa anachota Billions za wananchi kwa ujanja ujanja anakuwa na kiburi, sawa sawa then ni kiburi saafi sana kwa Taifa afadhali kiburi cha kuokoa pesa za wananchi kuliko kiburi cha kupokea rushwa za mbunge ili wapinzanio wasiende jimboni kwake!!

Kwa hilo yuko sawa .kuhusu kuwezesha watanzania .kuwapa moyo na sio kuwadharau na kuwafunja moyo ata kabla awajaanza .hapo ndio napogombea .
 
Mkuu pengine tuwe direct ili uweze kunielewa.
Tatizo si haki sawa kwa wote wakati tunajua uwezo wa waTanzania ni finyu.

Hapa lazima tuwe na local capacity building ili kuwasaidia watanzania kuzi face hizo challenges za miradi hiyo mikubwa.
Titategemea wawekezaji wa nje hadi lini?

Mimi namsifu sana Mtu kama Waziri Magufuli na msimamo wake wa local capacity building, katika Wizara ya Ujenzi.
Magufuli anajitahidi sana kuendeleza wakandarasi wazalendo ili hatimaye hata miska 50 ijayo, pasiwepo na ulazima wa kuwa na wakandarasi wakubwa wa nje.

Na hayo ndiyo malengo ya kiongozi mwenye vision with our country at heart.

kwenye hoja ya uwezeshaji wa wazawa hapo tunakubaliana, tusipokubaliana ni njia ya kuwezesha hiyo capacity building. Ingawa magufuli anatoa contracts kwa wazawa, bado wazawa wanagombania kwa vigezo na sio tu kupewa kwa sababu ni wazawa.
Kwa upande wa gesi, tayari sera inatoa upendeleo kwa wazawa, tatizo ni kuwa vigezo hawana (sio ajabu kwani vigezo viko juu, matrilioni ya shilingi), wanataka kufanya udalali kwa kutumia assets za taifa, this is a big no.
TPSF wangejipanga kwenye kutoa services mbalimbali kwenye sekta ya gesi badala ya kung'angania udalali wa vitalu.
 
I am sorry but you are making the same mistake over and over again.
Usitegemee mwingereza, ambaye hadi sasa ndiye biggest investor huko SA, na unayetaka kumreplace akusifie kwa mpango wako wa kujiendeleza.

Kuendelea kum-quote Mail na Guardian you will be wasting your time.
Mama Thatcher is on record kumwita a potentialy free blackman, a terrorist, na ndio hao waingereza wanao own Mail na Guardian.

Jaribu kupanua upeo wako mkuu, no capitalist will treat you with respect, worser still let you off his hook.

dude, nadhani wewe ndio upanue upeo wako. Naomba usome taratibu yafuatayo.

1. Mail and guardian hii ni ya SOUTH AFRICA, sio Uingereza, ni kama vile THE GUARDIAN na ITV za Mengi sisivyo na uhusiano na Guardian na ITV za Uingereza. kama ungekuwa na "upeo" unaodhani mimi sina ungeshashtukia ile ".co.za"

2. Hata kama lingekuwa gazeti la Uingereza, Walionukuliwa ni
  1. WAZIRI WA FEDHA WA SOUTH AFRICA: Waziri aliyeshughulikia utekelezaji wa BEE, mtu aliye jikoni.
  2. KATIBU WA ANC: chama kilichoanzisha hiyo BEE.

Kwa mara nyingine tena nakuwekea usome vizuri.

Hebu tuangalie vizuri:

1. Mimi nimemleta waziri wa fedha wa south africa. Ambaye serikali yake ndio iliyoleta hii sera.
"In 2010 Pravin Gordhan, the minister of finance, said: "BEE policies have not worked and have not made South Africa a fairer or more prosperous country." source: 'BEE is flawed and should be scrapped' | Business | Business | Mail & Guardian

2. wewe unamleta "mzawa" anayefaidika na sera hii mbovu. Je unataka aipinge?

3. Nadhani wengi tumeisoma hii habari kwa haraka haraka, nashauri tupitie the whole article tuone hasara za mifumo ya "kizawa" kama BEE.

"In 2012 Gwede Mantashe, the ANC secretary general, criticised preferential procurement too. He said: "This thing of having a bottle of water that you can get for R7 procured by the government for R27 because you want to create a middle-class person who must have a business is not on … It must stop."

Moeletsi Mbeki, the brother of former president Thabo Mbeki, has also repeatedly criticised BEE. In his book, Architects of Poverty: Why African Capitalism Needs Changing, published in 2009, he wrote that BEE "strikes a fatal blow against black entrepreneurship by creating a small class of unproductive but wealthy black crony capitalists made up of ANC politicians". It thus robbed South Africa of the key to economic and industrial development: an entrepreneurial bourgeoisie. "These are the businessmen, industrialists, risk-takers and private investors who alone can create a developed, -modern state."

Habari nzima iko hapa: 'BEE is flawed and should be scrapped' | Business | Business | Mail & Guardian
 
dude, nadhani wewe ndio upanue upeo wako. Naomba usome taratibu yafuatayo.

1. Mail and guardian hii ni ya SOUTH AFRICA, sio Uingereza, ni kama vile THE GUARDIAN na ITV za Mengi sisivyo na uhusiano na Guardian na ITV za Uingereza. kama ungekuwa na "upeo" unaodhani mimi sina ungeshashtukia ile ".co.za"

2. Hata kama lingekuwa gazeti la Uingereza, Walionukuliwa ni
  1. WAZIRI WA FEDHA WA SOUTH AFRICA: Waziri aliyeshughulikia utekelezaji wa BEE, mtu aliye jikoni.
  2. KATIBU WA ANC: chama kilichoanzisha hiyo BEE.

Kwa mara nyingine tena nakuwekea usome vizuri.
Mkuu , I must admit, I have a weakness!

I dont read the rest of the message if the general flow is predictable and biased.
And again I would advise you to read the history of Mail z& Guardian to note the British hand operating behind the scenes.
 
Back
Top Bottom