William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,464
Sijaona hoja hapo
- Sasa umekuja kujibu hewa ina amana wewe ni nini mkuu sana? ha! ha1 ha1 eti unaweza kumlinganisha Muhongo na Mnyika? ha! ha! ha!
Le Mutuz System
Sijaona hoja hapo
- Sasa umekuja kujibu hewa ina amana wewe ni nini mkuu sana? ha! ha1 ha1 eti unaweza kumlinganisha Muhongo na Mnyika? ha! ha! ha!
Le Mutuz System
Hana lolote huyo.Pamoja na changamoto zote zinazomkabili waziri huyu katika wizara yake ama kwa hakika ukilinganisha na waliopita utaona kwamba anajitahidi sana katika madini kwa wachimbaji wadogo na umeme vijijini.
Sasa kijijini mtu akiuza kuku wake watatu tu anaweka umeme ipo haja ya kumpongeza waziri huyu,kila asemacho kina hoja na ushahidi,,tusihukumu kwa kuangalia na kusikia upande mmoja.
Nenda prof watanzania makini tupo nyuma yako.
Hana lolote huyo.
Kaingia madarakani na gia ya kuwadharau watanzania, kwa hilo hatutamsamehe.
Hajui yeye ni sanaki na sisi ni maji, hawezi ogelea bila wananchi.
Inaelekea kasoma sana lakini hilo limemwongezea ufinyu wa hekima sahihi za kisiasa.
Nakubaliana na wewe,muhongo amefanya vizuri ukilinganisha na ngereja,siku hizi migao ya umeme ya kijingajinga haipo na gharama za kuunganisha umeme zimeshuka sana,wakati wa ngereja nguzo moja ilikuwa sh mil 1,sasa hivi ni kama sh elfu 98,nampongeza muhongo hapendi longolongo za kifisadi,
Hana lolote huyo.
Kaingia madarakani na gia ya kuwadharau watanzania, kwa hilo hatutamsamehe.
Hajui yeye ni sanaki na sisi ni maji, hawezi ogelea bila wananchi.
Inaelekea kasoma sana lakini hilo limemwongezea ufinyu wa hekima sahihi za kisiasa.
- Prof. Muhongo ndio kiongozi wa kwanza kuonyesha wazi jinsi Tanzania ambavyo tumekuwa tukiongozwa na viongozi wabovu kwa muda mrefu na kuwakumbatia, kumbe kuna matajiri hapa mjini walikuwa wanaitumia sana wizara hii kutuibia wananchi, tunaambiwa kuna mbunge mmoja ambate ni mwanasheria alikuwa wakili wa Tanesco na IPTL kwa wakati mmoja katika scheme hiyo amefanikiwa kuchota Shillingi Bilioni 52 za wananchi ambazo pia aliwahi kuwagawia Chadema wasiende kwenye jimbo lake,
- Prof. Muhongo unamlinganisha na nani kwenye Cabinet ya sasa na ya zamani? Lakini kwa sababu tulishazoea sana kuongozwa na Viongozi wezi wababishaji msema ukweli na mfuata haki Muhongo anakuwa tatizo kwa wezi sasa wanaanza kutumia vyombo vyao walivyovipata kwa njia za wizi wa pesa za wananchi kumchafua Muhongo, uzuri ni kwamba tupo wananchi ambao akili yetu ipo sawa I mean sober, so hatuwezi kuona Muhongo anaonewa wala kushautumiwa kwa majungu na ujinga ujinga, tutawajibu tu mpaka mwisho!!
- Prof. Muhongo for Presidency!! 2015
Le Mutuz System
Hana lolote huyo.
Kaingia madarakani na gia ya kuwadharau watanzania, kwa hilo hatutamsamehe.
Hajui yeye ni sanaki na sisi ni maji, hawezi ogelea bila wananchi.
Inaelekea kasoma sana lakini hilo limemwongezea ufinyu wa hekima sahihi za kisiasa.
Kaka kumbuka muhongo hajaletwa wizarani kama mwanasiasa bali kaletwa kama mtaalam.
Kama kawaida yenu wanyarukolo mliozoea siasa ni lazma mtamuona muhongo ana dharau.
Muhongo hajui yuko pale kwa ajili gani.Kamdharau mtanzania yupi? Kwani sio kweli kuwa hakuna Matanzania mwenye uwezo wa kutafiti gas na mafuta?
Mkuu kweli umefunguka,lkn kumbuka hata mzee wako alikua kiongozi siku za nyuma,nae tumuweke kwenye kundi la viongozi wabovu?
Hapo bold sijakuelewa!]Kaka kumbuka muhongo hajaletwa wizarani kama mwanasiasa bali kaletwa kama mwanasiasa.[/B]
Kama kawaida yenu wanyarukolo mliozoea siasa ni lazma mtamuona muhongo ana dharau.
Ni mawazo kama hayo ambayo basically ni ya kijinga, kujidharau mwenyewe halafu uondoe umasikini.Unataka kusifiwa hata unapofanya mambo ya kudhaulika?
Namsifu sana Prof. Muhongo kwa kuwa mtu jasiri. Ni kiongozi mwenye uwezo wa kusema kisu ni kisu na kijiko ni kijiko. Kuna ubishi gani kuwa hakuna hata kampuni hata moja au mtanzania hata mmoja kwa sasa mwenye uwezo wa kutafiti gas? Mengi kashikilia viwanja vya dhahabu zaidi ya 20, kashindwa kutafiti, sahizi anasema anataka kutafiti gas! Ameshindwa kupata $20 milioni kutafiti dhahabu, atawezaje kupata $500 milioni kutafiti gas? Kutafiti gas au mafuta kwenye kina kirefu cha bahari siyo lelemama, hata hayo makampuni ya nje ni machache sana yenye uwezo huo. Vile ni vitalu vya kutafiti gas siyo vitalu vya gas. Unaweza kuitumia $500 milioni ukatafiti ukakuta hakuna.
le mutuz leo umeongea vzr sana. hapa tz kama kuna mtu anasema muhongo hafanyi kazi, mtu huyo atakuwa mbulula na mpinga maendeleo kabisa. muhongo ndiye waziri pekee ambaye hapa tz mimi namuona ni mkweli, anaongea kama mtu aliyeko 21st centuary, he's genuine, sio muongo na anajua anachokifanya. kama tukiwa na mawaziri kama hawa tutapiga hatua. tuachane na wabinafsi waliotuibia na kutunyonya kwa miaka mingi kwa kivuli cha kujifanya kutetea watz. big up prof. muhongo, big up mwakyembe na magufuli.hao ndio mawaziri wanaoeleweka hapa tz.- Prof. Muhongo ndio kiongozi wa kwanza kuonyesha wazi jinsi Tanzania ambavyo tumekuwa tukiongozwa na viongozi wabovu kwa muda mrefu na kuwakumbatia, kumbe kuna matajiri hapa mjini walikuwa wanaitumia sana wizara hii kutuibia wananchi, tunaambiwa kuna mbunge mmoja ambate ni mwanasheria alikuwa wakili wa Tanesco na IPTL kwa wakati mmoja katika scheme hiyo amefanikiwa kuchota Shillingi Bilioni 52 za wananchi ambazo pia aliwahi kuwagawia Chadema wasiende kwenye jimbo lake,
- Prof. Muhongo unamlinganisha na nani kwenye Cabinet ya sasa na ya zamani? Lakini kwa sababu tulishazoea sana kuongozwa na Viongozi wezi wababishaji msema ukweli na mfuata haki Muhongo anakuwa tatizo kwa wezi sasa wanaanza kutumia vyombo vyao walivyovipata kwa njia za wizi wa pesa za wananchi kumchafua Muhongo, uzuri ni kwamba tupo wananchi ambao akili yetu ipo sawa I mean sober, so hatuwezi kuona Muhongo anaonewa wala kushautumiwa kwa majungu na ujinga ujinga, tutawajibu tu mpaka mwisho!!
- Prof. Muhongo for Presidency!! 2015
Le Mutuz System
Mkuu, hebu weka hapa dharau yake kwa Watanzania.Hana lolote huyo.
Kaingia madarakani na gia ya kuwadharau watanzania, kwa hilo hatutamsamehe.
Hajui yeye ni sanaki na sisi ni maji, hawezi ogelea bila wananchi.
Inaelekea kasoma sana lakini hilo limemwongezea ufinyu wa hekima sahihi za kisiasa.
hata kama mimi ni mjinga,lakini tunaona ni vyema Prof muhongo na kama mnahitaji kuiba basi subirini Prof aondoke ofisini then mtafanya mtakavyo,ila kwa sasa tunasema NO.
Ni vyema ukampa pombe mlevi aionje atakueleza radha yake ,kuliko kumpa asiyekuwa mlevi aionje pombe yako anaweza kulewa na akashindwa kukueleza kama pombe ipo okay ama la
Ni mawazo kama hayo ambayo basically ni ya kijinga, kujidharau mwenyewe halafu uondoe umasikini.
Jitahidini kuondoa umsikini wa mawazo kwanza kabla ya kuthink big.
Tatixo ukishazoea mwanga wa koroboi mtu una ridhika, na kufikiria kuweka transformer kijijini kwenu unaona ni swala la wazungu!
Nikuulize kama unafikiri kwa mawazo yako kuwa $500 nile fedha nyingi, hizo ni nyingi keako kwa wewe mwenye udhaifu wa uthubutu.