Prof. Muhongo ni mtu makini ninayemjua

Prof. Muhongo ni mtu makini ninayemjua

Hapo bold sijakuelewa!
Hata hivyo usimtetee huyo jamaa ni msomi tu, na siyo proffessional engineer wala geologist.
Zaidi ya kukalia mabuku na classification ya rocks , hana track record yoyote kwenye industry yenyewe.

sawa, na Mengi naye hana track record ya kuchimba gesi kokote kule hata ya U.shu.zi!
 
Pamoja na changamoto zote zinazomkabili waziri huyu katika wizara yake ama kwa hakika ukilinganisha na waliopita utaona kwamba anajitahidi sana katika madini kwa wachimbaji wadogo na umeme vijijini.

Sasa kijijini mtu akiuza kuku wake watatu tu anaweka umeme ipo haja ya kumpongeza waziri huyu,kila asemacho kina hoja na ushahidi,,tusihukumu kwa kuangalia na kusikia upande mmoja.

Nenda prof watanzania makini tupo nyuma yako.
[h=2]Serikali yakosa Sh340 bil uchimbaji urani; Kampuni ya Urusi yatumia udhaifu wa sheria za TZ kutolipa[/h]
KITAIFA

pic.jpg

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo alipoulizwa kuhusu uamuzi huo unaoikosesha Tanzania mabilioni ya fedha alisema hana taarifa.

Na Elias Msuya, Mwananchi

Posted Juni21 2014 saa 8:43 AM

KWA UFUPI

  • Kampuni ya uchimbaji ya Urusi ilitumia udhaifu wa sheria za Tanzania kutolipa kodi

Dar es Salaam. Tanzania imeanza vibaya usimamizi wa uwekezaji wa madini ya urani, baada ya kushindwa kesi mahakamani hivyo kukosa karibu Sh340 bilioni.

Serikali kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ilifungua kesi katika Baraza la Kodi ikiituhumu Kampuni ya JSC Atomredmetzoloto (ARMZ) ya Urusi, kwamba imekwepa kiasi hicho cha kodi ambacho ilidai kilipaswa kulipwa kama kodi ya ongezeko la mtaji (Capital Gain Tax).

TRA walishindwa kesi hiyo mara nne na kwa mara ya kwanza ilikuwa katika Baraza la Rufaa za Kodi (Tax Revenue Appeals Board), ambako Kampuni ya ARMZ ilikata rufaa katika kesi namba 26 na 27 za 2011 kupinga malipo ya kiasi cha kodi ilichokuwa ikidaiwa.

Baada ya kushindwa katika hatua hiyo, TRA walikata rufaa mara ya tatu mbele ya Mahakama ya Rufani za Kodi (The Tax Revenue Appeals Tribunal), lakini walishindwa hivyo kutoa uhalali wa ARMZ kutolipa fedha hizo.

TRA katika rufani zake walitaka JSC Atomredmetzoloto (ARMZ) walipe kodi ya ongezeko la mtaji kwa madai kwamba kampuni hiyo ya kigeni ilikuwa imenunua hisa kutoka Kampuni ya Matra Resources Ltd, hivyo ilipaswa kulipa fedha hizo kwa mujibu wa sheria.

Msingi wa madai ya TRA ni Sheria ya Kodi ya Mapato ya 2014 kifungu cha 90 (1) kama kilivyofanyiwa marekebisho na Sheria ya Fedha (Finance Act) ya 2012 ambayo ilipitishwa na Bunge ikielekeza kampuni zinazouza hisa zake kwa kampuni nyingine, kutozwa asilimia 20 ya kiasi cha thamani ya hisa, ikiwa ni Kodi ya Ongezeko la Mtaji.

Katika madai hayo, TRA ilitaka ilipwe kiasi cha Dola za Marekani 196 milioni, sawa na asilimia 20 ya thamani ya hisa zilizouzwa kwa ARMZ (Dola za Marekani 980 milioni) na Dola za Marekani 9.8 milioni ambazo ni ushuru wa stempu kwa mujibu wa sheria ya ushuru ya 2008. Katika hukumu zake, mahakama ilisema hakukuwa na uhamishaji wa hisa ndani ya Kampuni za Mantra, kwa sababu Mantra Tanzania ni sehemu ya kampuni tanzu ya Mantra ya Australia.

Kadhalika mahakama ilisema katika uamuzi wake kwamba, TRA haina uwezo wa kisheria kudai kodi kutoka ARMZ kwa kuwa kampuni hiyo haikusajiliwa nchini, bali Urusi ambako inapaswa kulipa kodi zake.

Kauli za TRA, wizara

“Sina taarifa hiyo, waulize TRA, pengine wanafahamu,” alijibu Profesa Muhongo kwa ujumbe mfupi wa maandishi kupitia simu yake ya kiganjani.

Mkurugenzi wa Elimu na Huduma za Mlipa Kodi wa TRA, Richard Kayombo alisema hana taarifa rasmi kuhusu suala hilo.
“Sina taarifa rasmi kuhusu suala hilo. Kwanza hilo ni suala la kisheria na linashughulikiwa na wanasheria wetu, hadi watakaponijulisha,” alisema Kayombo.

Alipoulizwa kama TRA ina mpango wa kuendelea kukata rufaa, alisema hiyo ni siri ya ofisi. “Hata kama tuna mikakati yetu ya kisheria, hatuwezi kuviambia vyombo vya habari,” alisema Kayombo.

Katibu wa Baraza la Rufani za Kodi, Respicius Mwijage, alisema kesi hiyo ni mfano mmojawapo wa Tanzania kuendelea kuwa maskini licha ya kuwa na rasilimali nyingi.

“Unajua kwa nini Tanzania inaendelea kuwa maskini?” alihoji na kutaarifu: “Kwanza Serikali haitaki kuongeza wataalamu, pili hata mchango wa wataalamu wachache waliopo hautiliwi maanani na tatu baadhi ya wataalamu siyo waaminifu, wanapotosha mambo kwa makusudi na msingi wa yote hayo ni rushwa.”

Kwa nini TRA ilishindwa

Mkurugenzi wa Chama cha Wanasheria wa Mazingira (LEAT), Dk Rugelemeza Nshala alisema, kifungu cha 9 (1) cha Sheria ya Madini ya 2010 kinaruhusu kampuni kuhamisha hisa zake kwa ruhusa ya mamlaka ya leseni ambaye ni kamishna wa madini.

“Kifungu cha 36(1) cha cha sheria ya Kodi ya Mapato kinaonyesha kuwa Mantra Resources Ltd ilipaswa kulipa kodi (capital gain tax) kwa Serikali ya Tanzania, lakini hilo halikufanyika,” alisema Nshala na kuongeza:

“TRA ikaanza kuishupalia ARMZ kulipa kodi hiyo na ushuru unaofikia Dola za Marekani 200 milioni sawa na Sh340 bilioni.”

Alisema uamuzi wa mahakama za kodi wa kuwapa ushindi ARMZ umezingatia maelezo yaliyotolewa katika mahakama hizo kwamba Kampuni za Mantra Resources Ltd, Uranium One na ARMZ ni kampuni dada na siyo tofauti.

“Kwa mujibu wa kifungu cha 9(3) cha sheria ya madini, haihitajiki ruhusa ya mwenye mamlaka ya leseni yaani kamishna wa madini au waziri wakati wa kuhamisha hisa kwa kampuni pacha,” alisema Dk Nshala.

Maelezo hayo yanaungwa mkono ofisa mmoja wa Taasisi ya Revenue Watch, Silas Olang ambaye alisema sheria za kodi zina upungufu mwingi ambao hauiwezeshi TRA kuwabana wawekezaji kulipa kodi.

Akizungumzia kesi hiyo, Olang alisema TRA imeshindwa kutokana na upungufu katika sheria.

sawa, na Mengi naye hana track record ya kuchimba gesi kokote kule hata ya U.shu.zi!
Tatizo la watu wenye akili ndogo kama ninyi ni kufikiri kila anayepigania haki ya watanzania kushiriki katika uchumi wa nchi kwa kuwafikiria kwanza basi ni mtu wa Mengi.

Nyie slow thinkers wala hamuoni the bigger pictuer of economic emanciipation for Tanzanians kwa vile mnaridhika baada ya kununua vigari used vya dola elfu nne au tano!

Soth Africa kwa kuwa na viongozi wenye uelewa mpana wa tatizo hilo, ilianzisha programme mahsusi ya kuwaendeleza waafrika kushiriki kikamilifu katika uchumi wa nchi yao, na mpango huo una mafanikio makubwa.

Nimeeleza kwa kirefu kidogo lakini sidhani kama wewe na mtoa mada mtaelewa sana kwa sababu ya upeo mdogo, worse still kuingia kwenye matusi inaelezea mtu with a very low social backgroung and even lower social projections.
 
Serikali yakosa Sh340 bil uchimbaji urani; Kampuni ya Urusi yatumia udhaifu wa sheria za TZ kutolipa

"Sina taarifa hiyo, waulize TRA, pengine wanafahamu," alijibu Profesa Muhongo kwa ujumbe mfupi wa maandishi kupitia simu yake ya kiganjani.

Mkurugenzi wa Elimu na Huduma za Mlipa Kodi wa TRA, Richard Kayombo alisema hana taarifa rasmi kuhusu suala hilo.
"Sina taarifa rasmi kuhusu suala hilo. Kwanza hilo ni suala la kisheria na linashughulikiwa na wanasheria wetu, hadi watakaponijulisha," alisema Kayombo.

Alipoulizwa kama TRA ina mpango wa kuendelea kukata rufaa, alisema hiyo ni siri ya ofisi. "Hata kama tuna mikakati yetu ya kisheria, hatuwezi kuviambia vyombo vya habari," alisema Kayombo.

Katibu wa Baraza la Rufani za Kodi, Respicius Mwijage, alisema kesi hiyo ni mfano mmojawapo wa Tanzania kuendelea kuwa maskini licha ya kuwa na rasilimali nyingi.

"Unajua kwa nini Tanzania inaendelea kuwa maskini?" alihoji na kutaarifu: "Kwanza Serikali haitaki kuongeza wataalamu, pili hata mchango wa wataalamu wachache waliopo hautiliwi maanani na tatu baadhi ya wataalamu siyo waaminifu, wanapotosha mambo kwa makusudi na msingi wa yote hayo ni rushwa."

Kwa nini TRA ilishindwa

Mkurugenzi wa Chama cha Wanasheria wa Mazingira (LEAT), Dk Rugelemeza Nshala alisema, kifungu cha 9 (1) cha Sheria ya Madini ya 2010 kinaruhusu kampuni kuhamisha hisa zake kwa ruhusa ya mamlaka ya leseni ambaye ni kamishna wa madini.

"Kifungu cha 36(1) cha cha sheria ya Kodi ya Mapato kinaonyesha kuwa Mantra Resources Ltd ilipaswa kulipa kodi (capital gain tax) kwa Serikali ya Tanzania, lakini hilo halikufanyika," alisema Nshala na kuongeza:

"TRA ikaanza kuishupalia ARMZ kulipa kodi hiyo na ushuru unaofikia Dola za Marekani 200 milioni sawa na Sh340 bilioni."

Alisema uamuzi wa mahakama za kodi wa kuwapa ushindi ARMZ umezingatia maelezo yaliyotolewa katika mahakama hizo kwamba Kampuni za Mantra Resources Ltd, Uranium One na ARMZ ni kampuni dada na siyo tofauti.

"Kwa mujibu wa kifungu cha 9(3) cha sheria ya madini, haihitajiki ruhusa ya mwenye mamlaka ya leseni yaani kamishna wa madini au waziri wakati wa kuhamisha hisa kwa kampuni pacha," alisema Dk Nshala.

Maelezo hayo yanaungwa mkono ofisa mmoja wa Taasisi ya Revenue Watch, Silas Olang ambaye alisema sheria za kodi zina upungufu mwingi ambao hauiwezeshi TRA kuwabana wawekezaji kulipa kodi.

Akizungumzia kesi hiyo, Olang alisema TRA imeshindwa kutokana na upungufu katika sheria.

Asante kwa taarifa!
Si huyu Muhongo anawapenda hao wazungu wenye mabulungutu?
Aone sasa kama wanaifikiria Tanzania kwanza au wanajifikiria wao kwanza!

Wahenga walisema mlala mlango wazi hufa masikini!
Tunawakaribisha wageni wenye kila ujanja wa kujichukulia madini yetu kwa siri, kwa vile ati pesa wanayo!

Huyu Muhongo asiposhirikiana na wananchi wake, haya ndo matokeo yake, na kama tulivyoelezea awali upeo wake kibiashara ni mdogo. Hata kodi za hao warusi hajui zitapatikanaje.
Kufungua milango ya nyumba yako na kuingiza wenye pesa kuingia si lazima uende shule, huyu Muhongo matrix ya biashara hii haiwezi kabisa maana interlinkages zake kibiashara ndo sasa anajifunza.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
- Prof. Muhongo ndio kiongozi wa kwanza kuonyesha wazi jinsi Tanzania ambavyo tumekuwa tukiongozwa na viongozi wabovu kwa muda mrefu na kuwakumbatia, kumbe kuna matajiri hapa mjini walikuwa wanaitumia sana wizara hii kutuibia wananchi, tunaambiwa kuna mbunge mmoja ambate ni mwanasheria alikuwa wakili wa Tanesco na IPTL kwa wakati mmoja katika scheme hiyo amefanikiwa kuchota Shillingi Bilioni 52 za wananchi ambazo pia aliwahi kuwagawia Chadema wasiende kwenye jimbo lake,

- Prof. Muhongo unamlinganisha na nani kwenye Cabinet ya sasa na ya zamani? Lakini kwa sababu tulishazoea sana kuongozwa na Viongozi wezi wababishaji msema ukweli na mfuata haki Muhongo anakuwa tatizo kwa wezi sasa wanaanza kutumia vyombo vyao walivyovipata kwa njia za wizi wa pesa za wananchi kumchafua Muhongo, uzuri ni kwamba tupo wananchi ambao akili yetu ipo sawa I mean sober, so hatuwezi kuona Muhongo anaonewa wala kushautumiwa kwa majungu na ujinga ujinga, tutawajibu tu mpaka mwisho!!

- Prof. Muhongo for Presidency!! 2015

Le Mutuz System

hapa ujumbe umetulia .. ongezea magufuli na mwakyembe!
 
Kamdharau mtanzania yupi? Kwani sio kweli kuwa hakuna Matanzania mwenye uwezo wa kutafiti gas na mafuta?

Mbona Lissu amewadharau tena na kuwatusi waasisi wa Taifa hili? Mbona Mnyika amewahi kumwita Rais wa inchi kuwa ni dhaifu, legelege,ina maana watanzania waliomchagua JK nao walikuwa legelege basi hivyo naye mnyika amewadharau watanzania.!
 
Mtu makini kijijini kwenu ila si kwa wote

Hata Dr Slaa anafaa kuwa Rais kwa wachache sio wote, pia hata Mbowe ni kiongozi mzuri kwa wana CDM sio wote, nadhani kwa msingi huo huo hakuna kiongozi ambae anafaa kwa wote au unasemaje Bulldog?
 
[h=2]Serikali yakosa Sh340 bil uchimbaji urani; Kampuni ya Urusi yatumia udhaifu wa sheria za TZ kutolipa[/h]
KITAIFA

pic.jpg

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo alipoulizwa kuhusu uamuzi huo unaoikosesha Tanzania mabilioni ya fedha alisema hana taarifa.

Na Elias Msuya, Mwananchi

Posted Juni21 2014 saa 8:43 AM

KWA UFUPI

  • Kampuni ya uchimbaji ya Urusi ilitumia udhaifu wa sheria za Tanzania kutolipa kodi

Dar es Salaam. Tanzania imeanza vibaya usimamizi wa uwekezaji wa madini ya urani, baada ya kushindwa kesi mahakamani hivyo kukosa karibu Sh340 bilioni.

Serikali kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ilifungua kesi katika Baraza la Kodi ikiituhumu Kampuni ya JSC Atomredmetzoloto (ARMZ) ya Urusi, kwamba imekwepa kiasi hicho cha kodi ambacho ilidai kilipaswa kulipwa kama kodi ya ongezeko la mtaji (Capital Gain Tax).

TRA walishindwa kesi hiyo mara nne na kwa mara ya kwanza ilikuwa katika Baraza la Rufaa za Kodi (Tax Revenue Appeals Board), ambako Kampuni ya ARMZ ilikata rufaa katika kesi namba 26 na 27 za 2011 kupinga malipo ya kiasi cha kodi ilichokuwa ikidaiwa.

Baada ya kushindwa katika hatua hiyo, TRA walikata rufaa mara ya tatu mbele ya Mahakama ya Rufani za Kodi (The Tax Revenue Appeals Tribunal), lakini walishindwa hivyo kutoa uhalali wa ARMZ kutolipa fedha hizo.

TRA katika rufani zake walitaka JSC Atomredmetzoloto (ARMZ) walipe kodi ya ongezeko la mtaji kwa madai kwamba kampuni hiyo ya kigeni ilikuwa imenunua hisa kutoka Kampuni ya Matra Resources Ltd, hivyo ilipaswa kulipa fedha hizo kwa mujibu wa sheria.

Msingi wa madai ya TRA ni Sheria ya Kodi ya Mapato ya 2014 kifungu cha 90 (1) kama kilivyofanyiwa marekebisho na Sheria ya Fedha (Finance Act) ya 2012 ambayo ilipitishwa na Bunge ikielekeza kampuni zinazouza hisa zake kwa kampuni nyingine, kutozwa asilimia 20 ya kiasi cha thamani ya hisa, ikiwa ni Kodi ya Ongezeko la Mtaji.

Katika madai hayo, TRA ilitaka ilipwe kiasi cha Dola za Marekani 196 milioni, sawa na asilimia 20 ya thamani ya hisa zilizouzwa kwa ARMZ (Dola za Marekani 980 milioni) na Dola za Marekani 9.8 milioni ambazo ni ushuru wa stempu kwa mujibu wa sheria ya ushuru ya 2008. Katika hukumu zake, mahakama ilisema hakukuwa na uhamishaji wa hisa ndani ya Kampuni za Mantra, kwa sababu Mantra Tanzania ni sehemu ya kampuni tanzu ya Mantra ya Australia.

Kadhalika mahakama ilisema katika uamuzi wake kwamba, TRA haina uwezo wa kisheria kudai kodi kutoka ARMZ kwa kuwa kampuni hiyo haikusajiliwa nchini, bali Urusi ambako inapaswa kulipa kodi zake.

Kauli za TRA, wizara

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo alipoulizwa kuhusu uamuzi huo unaoikosesha Tanzania mabilioni ya fedha alisema hana taarifa.

“Sina taarifa hiyo, waulize TRA, pengine wanafahamu,” alijibu Profesa Muhongo kwa ujumbe mfupi wa maandishi kupitia simu yake ya kiganjani.

Mkurugenzi wa Elimu na Huduma za Mlipa Kodi wa TRA, Richard Kayombo alisema hana taarifa rasmi kuhusu suala hilo.
“Sina taarifa rasmi kuhusu suala hilo. Kwanza hilo ni suala la kisheria na linashughulikiwa na wanasheria wetu, hadi watakaponijulisha,” alisema Kayombo.

Alipoulizwa kama TRA ina mpango wa kuendelea kukata rufaa, alisema hiyo ni siri ya ofisi. “Hata kama tuna mikakati yetu ya kisheria, hatuwezi kuviambia vyombo vya habari,” alisema Kayombo.

Katibu wa Baraza la Rufani za Kodi, Respicius Mwijage, alisema kesi hiyo ni mfano mmojawapo wa Tanzania kuendelea kuwa maskini licha ya kuwa na rasilimali nyingi.

“Unajua kwa nini Tanzania inaendelea kuwa maskini?” alihoji na kutaarifu: “Kwanza Serikali haitaki kuongeza wataalamu, pili hata mchango wa wataalamu wachache waliopo hautiliwi maanani na tatu baadhi ya wataalamu siyo waaminifu, wanapotosha mambo kwa makusudi na msingi wa yote hayo ni rushwa.”

Kwa nini TRA ilishindwa

Mkurugenzi wa Chama cha Wanasheria wa Mazingira (LEAT), Dk Rugelemeza Nshala alisema, kifungu cha 9 (1) cha Sheria ya Madini ya 2010 kinaruhusu kampuni kuhamisha hisa zake kwa ruhusa ya mamlaka ya leseni ambaye ni kamishna wa madini.

“Kifungu cha 36(1) cha cha sheria ya Kodi ya Mapato kinaonyesha kuwa Mantra Resources Ltd ilipaswa kulipa kodi (capital gain tax) kwa Serikali ya Tanzania, lakini hilo halikufanyika,” alisema Nshala na kuongeza:

“TRA ikaanza kuishupalia ARMZ kulipa kodi hiyo na ushuru unaofikia Dola za Marekani 200 milioni sawa na Sh340 bilioni.”

Alisema uamuzi wa mahakama za kodi wa kuwapa ushindi ARMZ umezingatia maelezo yaliyotolewa katika mahakama hizo kwamba Kampuni za Mantra Resources Ltd, Uranium One na ARMZ ni kampuni dada na siyo tofauti.

“Kwa mujibu wa kifungu cha 9(3) cha sheria ya madini, haihitajiki ruhusa ya mwenye mamlaka ya leseni yaani kamishna wa madini au waziri wakati wa kuhamisha hisa kwa kampuni pacha,” alisema Dk Nshala.

Maelezo hayo yanaungwa mkono ofisa mmoja wa Taasisi ya Revenue Watch, Silas Olang ambaye alisema sheria za kodi zina upungufu mwingi ambao hauiwezeshi TRA kuwabana wawekezaji kulipa kodi.

Akizungumzia kesi hiyo, Olang alisema TRA imeshindwa kutokana na upungufu katika sheria.

Hii hukumu ni nzuri sana, kwani maafisa wengi wa TRA wanajifanya wao ni wajuzi wa kodi, sheria, madini nk. Kuna afisa mmoja pale Mwanza anaitwa Nyoni ukimwelewesha jinsi sekta ya madini inavyoendeshwa yeye hakubali analazimisha mambo tu. Wawekezaji wengi wa kigeni wanafuata sheria na kila wanalofanya huwa lina ushauri wa kisheria wakati maafisa wa Tra huendesha mambo yao kwa utashi, wanaya koroga halafu ndo wanakimbilia kwa wanasheria kuomba ushauri matokeo yake kesi nyingi Tra huwa wanashindwa tu. Bwana Nyoni kule Mwanza ana lazimisha hata fedha za project work financing nazo zitozwe capital gain. Ukimwambia hizi ni project costing hakubali hata chepe, sasa akasome hii hukumu ajiulize mara mbili mbili.
 
Tatizo la watu wenye akili ndogo kama ninyi ni kufikiri kila anayepigania haki ya watanzania kushiriki katika uchumi wa nchi kwa kuwafikiria kwanza basi ni mtu wa Mengi.

Nyie slow thinkers wala hamuoni the bigger pictuer of economic emanciipation for Tanzanians kwa vile mnaridhika baada ya kununua vigari used vya dola elfu nne au tano!

Soth Africa kwa kuwa na viongozi wenye uelewa mpana wa tatizo hilo, ilianzisha programme mahsusi ya kuwaendeleza waafrika kushiriki kikamilifu katika uchumi wa nchi yao, na mpango huo una mafanikio makubwa.

Nimeeleza kwa kirefu kidogo lakini sidhani kama wewe na mtoa mada mtaelewa sana kwa sababu ya upeo mdogo, worse still kuingia kwenye matusi inaelezea mtu with a very low social backgroung and even lower social projections.

Sidhani kama kuna mtu yoyote ambaye ana akili timamu atachukia kuona watanzania wanashikilia nguzo kuu za uchumi wa Taifa lao, ispkuwa atakuwa ni mjinga na adui mkuu wa ustawi wa Tanzania, lakini pia haitokuwa kwa faida ya Taifa kuona mtu mmoja mmoja ama vikundi vya watu wachache wakihodhi utajili wa inchi kwa mgongo wa utaifa.

Kwa maoni yangu nadhani bado tunahitaji kujipanga kuona ni kwa namna gani watanzania walio wengi watanufaika na utajili huo, mf kwa hatua serikali kuwa na mfuko maalum wa mapato yatokanayo na gesi na mafuta nadhani ni jambo jema,kwa sababu pesa zitakazokuwa zimepatikana zitawanufaisha watanzania walio wengi zaidi,lakini pia serikali inawaandaa vijana katika vyuo mbalimbali ikiwemo kuwapeleka nje ya inchi kupata taaluma ya kutosha inayohusu mambo haya ya gesi na mafuta.

Ni mapema sana kudhani kwamba kuwezeshwa wafanyabiashara wachache wa kitanzania ndio uzalendo,bali kutengeneza mazingira ya haki na usawa kwa wale wanaohitaji kupata vitalu nadhani ndio jambo la msingi zaidi,kwa sasa Serikali ijikite katika kutengeneza mazingira yatakayowezesha kodi kulipwa kwa wakati na bila kukosa, mchakato wa kupata hivyo vitalu uwe wa wazi na wa haki swala la upendeleo maalumu ni zuri lakini linafaa kupewa muda kwanza hii ni kwa sababu hao wanaopigia kupata upendeleo huo historia yao ipo inayonyesha kwa kiasi gani wameshindwa kuendeleza baadhi migodi waliyonayo.

Kusema kwamba wakiwezeshwa wazawa ndio watanzania wengi wananufaika sio kweli bali wanataka kutumia mwanya huo kujinufaisha wao binafsi,huu mfuko maalum wa mapato ya gesi na mafuta nadhani kwa sasa ndio wenye tija kuliko kumwezesha mfanyabiashara ambaye atanufaisha ndugu na jamaa zake.

Ni mtazamo wangu tu sio lazima ukufuraishe wewe, nawe unaweza kutoa wako .
 
Watz MUNGU atuponye kwenye akili zetu hivi mtu unae jitambua unaweza ukamsifia prof. mwenye dharau na kiburi kama huyu kwa watz.Hivi zile b.200 tusiseme kwa 7bu kaweka umeme vijumba viwili kijijini tena kwa kodi zetu,halafu zingine zinaliwa huko ewura na mtu ananyongwa aa sorry anajinyonga tusiseme kisa wanyumbani kama kangi alivyo badilika, kifupi kumsifia mtalaamu wa miamba dunia Afrika ni ujinga.

kaka tunasafar ndefu sana ya kufika kule tunapojaribu kupafikia kwa kuwa na viongozi jamii ya muongo jamaa ni profesa wa miamba lakini madini yetu matani kwa matani yanaliwa na makaburu yy ametoa mimacho tu wala hajui afanye nn wizi wa iptl,tanesko,madini ndo yangekuwa chanzo kikuu cha mapato katika bajeti yetu lakin kina kikwete wanaombaomba tu aibu hata kujiita wazir wa nishati na madin shame on 'em
 
Tatizo la watu wenye akili ndogo kama ninyi ni kufikiri kila anayepigania haki ya watanzania kushiriki katika uchumi wa nchi kwa kuwafikiria kwanza basi ni mtu wa Mengi.

Nyie slow thinkers wala hamuoni the bigger pictuer of economic emanciipation for Tanzanians kwa vile mnaridhika baada ya kununua vigari used vya dola elfu nne au tano!

Soth Africa kwa kuwa na viongozi wenye uelewa mpana wa tatizo hilo, ilianzisha programme mahsusi ya kuwaendeleza waafrika kushiriki kikamilifu katika uchumi wa nchi yao, na mpango huo una mafanikio makubwa.

Nimeeleza kwa kirefu kidogo lakini sidhani kama wewe na mtoa mada mtaelewa sana kwa sababu ya upeo mdogo, worse still kuingia kwenye matusi inaelezea mtu with a very low social backgroung and even lower social projections.

Najibu hoja nilizotia red bila kufuata mtiririko so bear with me:

1. Kuhusu South Africa nadhani unamaanisha mpango wa Black Economic Empowerment al maarufu kama BEE. Sijui takwimu zako ulizotumia kufikia conclusion kuwa mpango huu ulifanikiwa umezitoa wapi, lakini kwa ninavyojua mimi mpango huu kimsingi umefeli. BEE imetengeneza utajiri wa ghafla kwa vigogo wa ANC na washirika wao tu na sio watu weusi wote kiujumla. Mpaka sasa impact ya BEE ni ndogo sana kwa jamii ya watu weusi kwa ujumla nchini SA. Laiti wangejua, wangetumia system ya Muhongo badala ya BEE kwenye uchumi wao.
Hebu angalia hapa: waziri wao mwenyewe wa fedha anapinga, na hapo chini kuna kiongozi wa entity kama hii TPSF ya huko SA naye pia anapinga BEE, wewe unaionaje nzuri?

"In 2010 Pravin Gordhan, the minister of finance, said: "BEE policies have not worked and have not made South Africa a fairer or more prosperous country." In the same year, Lawrence Mavundla, the president of the National African Federated Chamber of Commerce and Industry, said BEE and preferential procurement had marginalised small businesses instead of helping them. It had also promoted "tenderpreneurs who were tender thieves because they got their tenders through [political] connections".

source: 'BEE is flawed and should be scrapped' | Business | Business | Mail & Guardian

2. Ninakubali haja ya kupendelea wazawa ipo, tena sana, lakini sio kwa kufanya vitu vya hovyo hovyo kama BEE, au kugawa vitalu kwa vigogo kama Nigeria na Angola cosmetically, ili tu tukitaja matajiri nchini kwetu tutaje na ngozi nyeusi mbili tatu. Economic emancipation ni kwa ajili ya watu wote na sio wachache kwa niaba ya wengi. Vitalu/gesi ni ya watanzania wote, itakuwaje eti baadhi yetu wapewe upendeleo? kama wao ni wafanyabiashara kweli na wana mitaji mikubwa kuliko "ya kutengeneza juisi", si washindane kwenye soko huria na matajiri wenzao toka nje? Kwa upande mmoja wanadai uwezo wanao, lakini hapo hapo hawataki ushindani, wanataka upendeleo sasa which is which?

3. kuhusu mimi kuwa "slow thinker": Kwa mawazo yangu sidhani hilo ni tatizo. A slow thinker mara nyingi huwa anathink deeper, wakati fast thinker mara nyingi huwa anakurupuka tu ili aje na majibu fasta fasta halafu asifiwe kuwa ali-think fast.

4. hayo mengine ya social backgrounds sitayajibu kwa sababu ni relative. For example, kwa maneno yake mwenyewe "Dr" Mengi alikuwa analala kwenye zizi la ng'ombe/mbuzi kwa umasikini, leo hii ni tajiri mkubwa, je huyu social background yake, kwa definition yake itakuwa ni low au high? Akiongea tumchukuliaje? wewe jikite kwenye hoja achana na hizo social background
 
Sidhani kama kuna mtu yoyote ambaye ana akili timamu atachukia kuona watanzania wanashikilia nguzo kuu za uchumi wa Taifa lao, ispkuwa atakuwa ni mjinga na adui mkuu wa ustawi wa Tanzania, lakini pia haitokuwa kwa faida ya Taifa kuona mtu mmoja mmoja ama vikundi vya watu wachache wakihodhi utajili wa inchi kwa mgongo wa utaifa.

Kwa maoni yangu nadhani bado tunahitaji kujipanga kuona ni kwa namna gani watanzania walio wengi watanufaika na utajili huo, mf kwa hatua serikali kuwa na mfuko maalum wa mapato yatokanayo na gesi na mafuta nadhani ni jambo jema,kwa sababu pesa zitakazokuwa zimepatikana zitawanufaisha watanzania walio wengi zaidi,lakini pia serikali inawaandaa vijana katika vyuo mbalimbali ikiwemo kuwapeleka nje ya inchi kupata taaluma ya kutosha inayohusu mambo haya ya gesi na mafuta.

Ni mapema sana kudhani kwamba kuwezeshwa wafanyabiashara wachache wa kitanzania ndio uzalendo,bali kutengeneza mazingira ya haki na usawa kwa wale wanaohitaji kupata vitalu nadhani ndio jambo la msingi zaidi,kwa sasa Serikali ijikite katika kutengeneza mazingira yatakayowezesha kodi kulipwa kwa wakati na bila kukosa, mchakato wa kupata hivyo vitalu uwe wa wazi na wa haki swala la upendeleo maalumu ni zuri lakini linafaa kupewa muda kwanza hii ni kwa sababu hao wanaopigia kupata upendeleo huo historia yao ipo inayonyesha kwa kiasi gani wameshindwa kuendeleza baadhi migodi waliyonayo.

Kusema kwamba wakiwezeshwa wazawa ndio watanzania wengi wananufaika sio kweli bali wanataka kutumia mwanya huo kujinufaisha wao binafsi,huu mfuko maalum wa mapato ya gesi na mafuta nadhani kwa sasa ndio wenye tija kuliko kumwezesha mfanyabiashara ambaye atanufaisha ndugu na jamaa zake.

Ni mtazamo wangu tu sio lazima ukufuraishe wewe, nawe unaweza kutoa wako .

well said mkuu. Ni bora tukawa na watanzania wengi wanaoweza ku-afford milo mitatu, kuliko kuwa na kina Mengi wasiozidi 100, wakiitwa "mabilionea wa gesi" halafu majority bado wakawa wanatumia dola moja kwa siku.
 
Usiwadanganye watu. South Africa Black Economic Empowerment imeleta matokeo yanayotia kinyaa mno kwa waafrika Kusini maana walionufaika na mpango huo ni wale tu waliokuwa kwenye uongozi na marafiki zao. Mpango huo haukuleta matokeo yaliyotazamiwa.

Tatizo la watu wenye akili ndogo kama ninyi ni kufikiri kila anayepigania haki ya watanzania kushiriki katika uchumi wa nchi kwa kuwafikiria kwanza basi ni mtu wa Mengi.

Nyie slow thinkers wala hamuoni the bigger pictuer of economic emanciipation for Tanzanians kwa vile mnaridhika baada ya kununua vigari used vya dola elfu nne au tano!

Soth Africa kwa kuwa na viongozi wenye uelewa mpana wa tatizo hilo, ilianzisha programme mahsusi ya kuwaendeleza waafrika kushiriki kikamilifu katika uchumi wa nchi yao, na mpango huo una mafanikio makubwa.

Nimeeleza kwa kirefu kidogo lakini sidhani kama wewe na mtoa mada mtaelewa sana kwa sababu ya upeo mdogo, worse still kuingia kwenye matusi inaelezea mtu with a very low social backgroung and even lower social projections.
 
Well argued. Ukisoma tu huu mchango wako na huo wa JMali kuna tofauti kubwa mno, mmoja ni mropokaji na mwingine ni mjenga hoja.

Najibu hoja nilizotia red bila kufuata mtiririko so bear with me:

1. Kuhusu South Africa nadhani unamaanisha mpango wa Black Economic Empowerment al maarufu kama BEE. Sijui takwimu zako ulizotumia kufikia conclusion kuwa mpango huu ulifanikiwa umezitoa wapi, lakini kwa ninavyojua mimi mpango huu kimsingi umefeli. BEE imetengeneza utajiri wa ghafla kwa vigogo wa ANC na washirika wao tu na sio watu weusi wote kiujumla. Mpaka sasa impact ya BEE ni ndogo sana kwa jamii ya watu weusi kwa ujumla nchini SA. Laiti wangejua, wangetumia system ya Muhongo badala ya BEE kwenye uchumi wao.
Hebu angalia hapa: waziri wao mwenyewe wa fedha anapinga, na hapo chini kuna kiongozi wa entity kama hii TPSF ya huko SA naye pia anapinga BEE, wewe unaionaje nzuri?

"In 2010 Pravin Gordhan, the minister of finance, said: "BEE policies have not worked and have not made South Africa a fairer or more prosperous country." In the same year, Lawrence Mavundla, the president of the National African Federated Chamber of Commerce and Industry, said BEE and preferential procurement had marginalised small businesses instead of helping them. It had also promoted "tenderpreneurs who were tender thieves because they got their tenders through [political] connections".

source: 'BEE is flawed and should be scrapped' | Business | Business | Mail & Guardian

2. Ninakubali haja ya kupendelea wazawa ipo, tena sana, lakini sio kwa kufanya vitu vya hovyo hovyo kama BEE, au kugawa vitalu kwa vigogo kama Nigeria na Angola cosmetically, ili tu tukitaja matajiri nchini kwetu tutaje na ngozi nyeusi mbili tatu. Economic emancipation ni kwa ajili ya watu wote na sio wachache kwa niaba ya wengi. Vitalu/gesi ni ya watanzania wote, itakuwaje eti baadhi yetu wapewe upendeleo? kama wao ni wafanyabiashara kweli na wana mitaji mikubwa kuliko "ya kutengeneza juisi", si washindane kwenye soko huria na matajiri wenzao toka nje? Kwa upande mmoja wanadai uwezo wanao, lakini hapo hapo hawataki ushindani, wanataka upendeleo sasa which is which?

3. kuhusu mimi kuwa "slow thinker": Kwa mawazo yangu sidhani hilo ni tatizo. A slow thinker mara nyingi huwa anathink deeper, wakati fast thinker mara nyingi huwa anakurupuka tu ili aje na majibu fasta fasta halafu asifiwe kuwa ali-think fast.

4. hayo mengine ya social backgrounds sitayajibu kwa sababu ni relative. For example, kwa maneno yake mwenyewe "Dr" Mengi alikuwa analala kwenye zizi la ng'ombe/mbuzi kwa umasikini, leo hii ni tajiri mkubwa, je huyu social background yake, kwa definition yake itakuwa ni low au high? Akiongea tumchukuliaje? wewe jikite kwenye hoja achana na hizo social background
 
Najibu hoja nilizotia red bila kufuata mtiririko so bear with me:

1. Kuhusu South Africa nadhani unamaanisha mpango wa Black Economic Empowerment al maarufu kama BEE. Sijui takwimu zako ulizotumia kufikia conclusion kuwa mpango huu ulifanikiwa umezitoa wapi, lakini kwa ninavyojua mimi mpango huu kimsingi umefeli. BEE imetengeneza utajiri wa ghafla kwa vigogo wa ANC na washirika wao tu na sio watu weusi wote kiujumla. Mpaka sasa impact ya BEE ni ndogo sana kwa jamii ya watu weusi kwa ujumla nchini SA. Laiti wangejua, wangetumia system ya Muhongo badala ya BEE kwenye uchumi wao.
Hebu angalia hapa: waziri wao mwenyewe wa fedha anapinga, na hapo chini kuna kiongozi wa entity kama hii TPSF ya huko SA naye pia anapinga BEE, wewe unaionaje nzuri?

"In 2010 Pravin Gordhan, the minister of finance, said: "BEE policies have not worked and have not made South Africa a fairer or more prosperous country." In the same year, Lawrence Mavundla, the president of the National African Federated Chamber of Commerce and Industry, said BEE and preferential procurement had marginalised small businesses instead of helping them. It had also promoted "tenderpreneurs who were tender thieves because they got their tenders through [political] connections".

source: 'BEE is flawed and should be scrapped' | Business | Business | Mail & Guardian

2. Ninakubali haja ya kupendelea wazawa ipo, tena sana, lakini sio kwa kufanya vitu vya hovyo hovyo kama BEE, au kugawa vitalu kwa vigogo kama Nigeria na Angola cosmetically, ili tu tukitaja matajiri nchini kwetu tutaje na ngozi nyeusi mbili tatu. Economic emancipation ni kwa ajili ya watu wote na sio wachache kwa niaba ya wengi. Vitalu/gesi ni ya watanzania wote, itakuwaje eti baadhi yetu wapewe upendeleo? kama wao ni wafanyabiashara kweli na wana mitaji mikubwa kuliko "ya kutengeneza juisi", si washindane kwenye soko huria na matajiri wenzao toka nje? Kwa upande mmoja wanadai uwezo wanao, lakini hapo hapo hawataki ushindani, wanataka upendeleo sasa which is which?

3. kuhusu mimi kuwa "slow thinker": Kwa mawazo yangu sidhani hilo ni tatizo. A slow thinker mara nyingi huwa anathink deeper, wakati fast thinker mara nyingi huwa anakurupuka tu ili aje na majibu fasta fasta halafu asifiwe kuwa ali-think fast.

4. hayo mengine ya social backgrounds sitayajibu kwa sababu ni relative. For example, kwa maneno yake mwenyewe "Dr" Mengi alikuwa analala kwenye zizi la ng'ombe/mbuzi kwa umasikini, leo hii ni tajiri mkubwa, je huyu social background yake, kwa definition yake itakuwa ni low au high? Akiongea tumchukuliaje? wewe jikite kwenye hoja achana na hizo social background
Umejitahidi ku argue mkuu, though I do not get your end game kwa hatma ya kujitegemea kiuchumi kwa kila mtanzania.
You seem to rest your case kuikabidhi nchi kwa wazungu-Muhongo style, and hope for the best!

Pengine angekuwepo Mwalimu na kujiandikia tena chapter ya KUJITEGEMEA KIUCHUMI, pengine ndo mngeelewa zaidi.

Narudia tena watu si slo thinkers tu, lakini hamna solutiohn kwa tatizo lililopo, la kuwakabidhi nchi wazungu na kutegemea the best out of it.

kulaumu, every Tom, Dick and Harry can do it, mbayazaidi upeo wa kufikiri unaishia kwa Mengi.
I am in business, real and big time, and I know tha ukikabidhi njia kuu za uchumi kwa wawekezaji unaishia si tu kutopata kodi stahiki, bali vile vile umasikini hauishi.
mfano uliotolewa na gazeti la Mwananchi if anything, should be an eye opener. zTunakabidhi rasilmali zetu kwa wazungu and then literally BEG kulipwa kodi!
Umasikini mbaya sana wa mawazo huo.

Na ndio maana nikasema ukiwa na upeo mdogo kimaisha, basi mzungu ndio suluhisho!
what rot.

Pengine umepekua tu programme ya Bkack empowerment huko SA, na kwa makusudi badala ya kutazama the positive attributes ukaamua kusoma comments za Mail na Guardian, any fool will tell you that displacing a mzungu from his economic base, which has been for a long time so, one should expect a fight back.

Check your facts as to who is the biggest investor in SA, the same person who must be displaced!

Check your facts too about Nigeria and its NEEDS programme, na uone juhudi za waafrika wenzetu wenye vichwa sahihi juu ya mabega yao.

Leo uchumi wa Nigeria unapaa kutokana na kujiwezesha na kuwezeshwa wananchi wake.
No wonder tuna akina Dangote.

Nasisitiza its not the time for slow thinkers and low achievers, jaribuni kujipanua pale Mwalimu alipoishia, Kujitegemea kiuchumi maana yake nini kwa siku na wakati wa sasa.
 
Well argued. Ukisoma tu huu mchango wako na huo wa JMali kuna tofauti kubwa mno, mmoja ni mropokaji na mwingine ni mjenga hoja.
If you dont see tha flaw in the argument , basi we ni kati ya wale nasema si slow thinkers tu, but low ceiling achievers.
Wish you good luck!
Yes, luck, because you dont have to work to be lucky!
Probably some day the muzungu will think of releasing you from economic bondage.
Na kwa bahati mbaya hilo ndio somo hata maprofesa linawashinda!
 
Najibu hoja nilizotia red bila kufuata mtiririko so bear with me:

1. Kuhusu South Africa nadhani unamaanisha mpango wa Black Economic Empowerment al maarufu kama BEE. Sijui takwimu zako ulizotumia kufikia conclusion kuwa mpango huu ulifanikiwa umezitoa wapi, lakini kwa ninavyojua mimi mpango huu kimsingi umefeli. BEE imetengeneza utajiri wa ghafla kwa vigogo wa ANC na washirika wao tu na sio watu weusi wote kiujumla. Mpaka sasa impact ya BEE ni ndogo sana kwa jamii ya watu weusi kwa ujumla nchini SA. Laiti wangejua, wangetumia system ya Muhongo badala ya BEE kwenye uchumi wao.
Hebu angalia hapa: waziri wao mwenyewe wa fedha anapinga, na hapo chini kuna kiongozi wa entity kama hii TPSF ya huko SA naye pia anapinga BEE, wewe unaionaje nzuri?

"In 2010 Pravin Gordhan, the minister of finance, said: "BEE policies have not worked and have not made South Africa a fairer or more prosperous country." In the same year, Lawrence Mavundla, the president of the National African Federated Chamber of Commerce and Industry, said BEE and preferential procurement had marginalised small businesses instead of helping them. It had also promoted "tenderpreneurs who were tender thieves because they got their tenders through [political] connections".

source: 'BEE is flawed and should be scrapped' | Business | Business | Mail & Guardian

2. Ninakubali haja ya kupendelea wazawa ipo, tena sana, lakini sio kwa kufanya vitu vya hovyo hovyo kama BEE, au kugawa vitalu kwa vigogo kama Nigeria na Angola cosmetically, ili tu tukitaja matajiri nchini kwetu tutaje na ngozi nyeusi mbili tatu. Economic emancipation ni kwa ajili ya watu wote na sio wachache kwa niaba ya wengi. Vitalu/gesi ni ya watanzania wote, itakuwaje eti baadhi yetu wapewe upendeleo? kama wao ni wafanyabiashara kweli na wana mitaji mikubwa kuliko "ya kutengeneza juisi", si washindane kwenye soko huria na matajiri wenzao toka nje? Kwa upande mmoja wanadai uwezo wanao, lakini hapo hapo hawataki ushindani, wanataka upendeleo sasa which is which?

3. kuhusu mimi kuwa "slow thinker": Kwa mawazo yangu sidhani hilo ni tatizo. A slow thinker mara nyingi huwa anathink deeper, wakati fast thinker mara nyingi huwa anakurupuka tu ili aje na majibu fasta fasta halafu asifiwe kuwa ali-think fast.

4. hayo mengine ya social backgrounds sitayajibu kwa sababu ni relative. For example, kwa maneno yake mwenyewe "Dr" Mengi alikuwa analala kwenye zizi la ng'ombe/mbuzi kwa umasikini, leo hii ni tajiri mkubwa, je huyu social background yake, kwa definition yake itakuwa ni low au high? Akiongea tumchukuliaje? wewe jikite kwenye hoja achana na hizo social background

"Biggest Investor in South African Stocks Wants Local Ownership
By Janice Kew and Franz Wild Apr 7, 2014 1:00 AM GMT+0300

Maintaining local ownership of South African companies is the best way to boost economic growth, said Elias Masilela, who heads a fund manager that holds shares worth 11 percent of the market value of stocks traded in Johannesburg.

Masilela’s state-owned Public Investment Corp. drew criticism last year when it opposed CFR Pharmaceuticals SA (CFR)’s 12.8 billion rand ($1.2 billion) offer for Johannesburg-based Adcock Ingram Holdings Ltd. (AIP) CFR, Chile’s largest drugmaker, said Dec. 17 that the PIC’s opposition to its takeover was for nationalist reasons.

“When you talk of growing an economy and empowering your people it is important that as you grow the economy you keep your people in control of the economy,” said Masilela, 49, in an April 1 interview in Johannesburg. “The logic is, you’ve built up this investment and if you can run it, why don’t you run it yourself.”
Source: www.bloomberg.com

Mkuu dont speak for South Africans, they can speak for them selves.
 
Back
Top Bottom