pepsin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 3,465
- 6,109
Tundu Lissu ametaja hizo conventions na ana historia ya kupinga mikataba hii.Kama mlivyompuuza tangia miaka 17 iliyopita,ndivyo mnavyompuuza sasa! Tena hiyo CCM ya mwenyekiti ajaye ndivyo itakavyoilaumu CCM ya sasa kama ambavyo nyie mnawalaumu akina Mkapa,Kikwete,Magufuli na wote walioshiriki kuingia hii mikataba.
Toeni ni article namba ngapi ambayo inaruhusu kuzuia mali ya mwekezaji na kumsitishia uzalishaji ili kutoa muda wa Review la sivyo just SHUT UP and KEEP QUITE!
Toeni ni article namba ngapi ambayo inaruhusu kuzuia mali ya mwekezaji na kumsitishia uzalishaji ili kutoa muda wa Review la sivyo just SHUT UP and KEEP QUITE!