MLAU
JF-Expert Member
- Aug 23, 2007
- 4,726
- 3,354
Acacia ni wezi watupu tumeona hayo kwenye migodi mingi duniani.Watu mbumhu kama wewe wanamuabudu Tundu Lissu kama MUNGU WAO.Mikata ya kimataifa ni PERSUASIVE,napo kwa nchi iliyo ratify.Also, mataifa yanashauriwa na kuhimizwa waifuate mikataba hiyo. Mikataba hiyo siyo superior kwa sheria na masilahi MAPANA ya nch(public interest doctrine)..Kifumo ya kimataifa ilibadilika to tukio la 9/11 huko marekani.Ubabe wa nchi moja kuinysnyasa nchi nyinhine UMEKUFA. Jiulize kukiwa na kesi hiyo anayosema Lissu, na ACACIA wakashinda, je watatufanya nini kama nchi kama tukigoma kulipa fidia? Hakuna kitu. Kuna watu wajinga nchi WANAMWABUDU HUYU MTU KAMA MUNGU WAO.Na yeye anajua hilo, anawadanganya kama amavyotaka.