Prof. Muhongo kutoka si suluhisho: Tatizo mikataba ikoje?

Tundu Lissu ametaja hizo conventions na ana historia ya kupinga mikataba hii.Kama mlivyompuuza tangia miaka 17 iliyopita,ndivyo mnavyompuuza sasa! Tena hiyo CCM ya mwenyekiti ajaye ndivyo itakavyoilaumu CCM ya sasa kama ambavyo nyie mnawalaumu akina Mkapa,Kikwete,Magufuli na wote walioshiriki kuingia hii mikataba.
Toeni ni article namba ngapi ambayo inaruhusu kuzuia mali ya mwekezaji na kumsitishia uzalishaji ili kutoa muda wa Review la sivyo just SHUT UP and KEEP QUITE!
 
Tatizo nyinyi mabashite hamwezi kumwelewa Lissu kwa sababu akili zenu ni ndogo kama punje ya haradali!
Hivi mabashite ndo akina nani? Inawezekana asieleweke kwa lugha na mtazamo wake wa ndani, lakini vipi kuhusu kitaaluma? Au unadhani taaluma ya Lisu anayo Lisu tu nchi nzima? Kitaaluma Lisu ni mchanga sana, wako wengi walomzidi.... akina Chenge, Warioba, Marando nk.

Kwahyo Shivji asimwelewe Lisu sivyo? Mi namuelewa na namkosoa pia na ukosoaji wangu usiku akilala,akili zikitulia unamuuingia akilini.
 
eti we are assessing all available options na sie pia tunafanya assessment ya options ulizonazo ATTN acacia
 
Tulitegemea lisu wakili msomi angelisaidia taifa tufanye nini ili kujiepusha na uporaji wa raslimali za nchi yeye tena anaungana na waporaji kweli rais magufuli tunampongeza sana kwa uamuzi alioufanya tunaomba watanzania tuungane kwa hili
 
Hivi mabashite ndo akina nani? Inawezekana asieleweke kwa lugha na mtazamo wake wa ndani, lakini vipi kuhusu kitaaluma? Au unadhani taaluma ya Lisu anayo Lisu tu nchi nzima? Kitaaluma Lisu ni mchanga sana, wako wengi walomzidi.... akina Chenge, Warioba, Marando nk.

Kwahyo Shivji asimwelewe Lisu sivyo? Mi namuelewa na namkosoa pia na ukosoaji wangu usiku akilala,akili zikitulia unamuuingia akilini.
Mkuu hebu msome Profesa Shivji anasemaje kisha umlaumu Lisu (Chuki binafsi) kuna uwezo unaoweza kuubeza ila ukweli haubadiliki. Kuna upako kwenye elimu kama huna upako kuna mambo inabidi uyaache tu !!!

Gazeti la Mtanzania na dada zake Mwananchi na The Citizen hawawezi hata siku moja kuisema vibaya Acacia (mtoto wa Barrick). Mmiliki wa magazeti hayo bwana Rostam Azizi ndiye anamiliki kampuni inayochimba (drilling) kwenye migodi ya Acacia. Na Rostam anajulikana anashirikiana kibiashara nani. Wewe kibaraka kwa sababu umeamua kula makombo bila kuhoji utaendelea kusambaza magazeti ya hao wanyonyaji ukidhani kila mtu ni zuzu.
 
Ndicho alichoshauri Lissu kuwa tushughulikie kuivunja mikataba kwanza ndipo tuwashughulokie hawa waerkezaji waliotuibia
Tundu Lisu anaongea kama mwanasiasa zaidi kuliko kuwa mwanasheria. Kisheria mkataba wowote ule unaweza kuwa reviewed na ku waive baadhi ya mashsrti na vigezo baada ya kugundulika na pande husika kuwa uko UNFAIR kwa upande moja wapo. Mkataba ni makubaliano ya pande husika.Hivyo makubaliano hayo yanaweza kuboreshwa muda wowote na pande husika. Kuhusu mikataba mibaya kama ya uchimbaji madini iliyopo, nchi inaweza kuamua kuivunja kwa MASILAHI YA UMMA ikiwa upande wa wawekezaji haupo tayari kuboresha terms and conditions ambazo ni unfair. Na hii ipo in practice dunia nzima. Vitisho anavyotoa Tundu Lisu ni vya kipuuzi na kisiasa zaidi kuliko uhalisia na kishetia.Kwani mikataba hiyo ikivunjwa watatufanya nini? Nothing.Ni hofu tu. Tz ni DOLA huru kama ilivyo nchi nyingine. Hao wazungu sasa wako busy kupambana na UGAIDI. Attentition yao yote iko huko siyo Afrika tena. Zimbabwe ilifanya maamuzi magumu hayo mpaka leo bado ipo na Mgabe yupo.Hofu hizo zilikuwa relevant ZAMANI.Siyo leo.Kumbuka kuna nchi kama China,India,Russia nk ambazo zinapenda kuwekeza Afrika. Wanasiasa acheni kuwatisha na kuwarubuni wanachi.Magufuli chapa kazi kulinda masilahi mapana ya nchi. Usiyumbishwe na empty propaganda za akina Lissu waliochakaa kisiasa na kuamua kuunga mkono uporaji na uharamia wa kiwango cha juu namna hii.God bless JPM, God bless TZ. By the learned counsel.
 
Gazeti la Mtanzania na dada zake Mwananchi na The Citizen hawawezi hata siku moja kuisema vibaya Acacia (mtoto wa Barrick). Mmiliki wa magazeti hayo bwana Rostam Azizi ndiye anamiliki kampuni inayochimba (drilling) kwenye migodi ya Acacia. Na Rostam anajulikana anashirikiana kibiashara nani. Wewe kibaraka kwa sababu umeamua kula makombo bila kuhoji utaendelea kusambaza magazeti ya hao wanyonyaji ukidhani kila mtu ni zuzu.

Sawa BASHITE

swissme
 
Mleta maada ndio umepotoka Lisu anasena njia ilotumiwa si sahihi, hajasema isivunjwe but utaratibu sahihi utumike kuepuka madhara zaidi.
 
BAADHI YA WACHANGIAJI WANAENDA AROUND THE BUSH. WANAANZA KUTOA HUKUMU KWA KOSA AMBALO HALIJAFANYIKA.
KATIKA SAKATA HILI ANAYEONEKANA KUVUNJA MKATABA NI ACACIA KWA KUDANGANYA KUHUSU KIASI CHA MADINI KILICHOPO KWENYE MCHANGA.
SERIKALI ITAZINGATIA MKATABA KWA KUSHIRIKISHA TAASISI HURU HATA MBILI AMBAZO ZITTHIBITISHA KUWA ACACIA WALIKUA WANATUIBIA.
INASHANGAZA WASOMI WAZIMA WANAANZA KUIHUKUMU SERIKALI WAKATI BADO IKO KWENYE UCHUNGUZI TU WA KUJUA MADINI YALIYOKO KWENYE MCHANGA.
SERIKALI ITAFANYA MAKOSA KAMA ITAANZA KUTOA MAAMUZI KWA KUTOA ADHABU KWA ACACIA KWA KOSA LA KUDANGANYA.
KWA SASA SERIKALI NI MLALAMIKAJI NA HAIWEZI KUWA HAKIMU KWENYE KESI YAKE YENYEWE.
NAAMINI KWA MAKOSA YALIYOJITOKEZA NYUMA CHINI YA AKINI CHENGE NA WEREMA HAYAWEZI KURUDIWA.
SWALA LA KUGITOA KWENYE TAASISI ZA KIMATAIFA ZINAZOSIMAMIA UWEKEZAJI NI BAADA YA KUJIRIDHISHA KUWA ACACIA WALITUDANGANYA.
TAHADHARI ICHUKULIWE ILI MACONTAINER YASIBADILISHWE KAMA WANAVYOBADILISHA MADAWA YA KULEVYA NA UNGA WA MAHINDI. WANAOTUMALIZA NI WATANZANIA WENZETU AMBAO WAMEPEWA DHAMANA YA KUSIMAMIA MADINI KWENYE MIGODI HII. TUSIWALAUMU WAZUNGU TU MANYANG'AU MAKUBWA NI WASWAHILI WENZETU.
 
Tundu Lissu ametaja hizo conventions na ana historia ya kupinga mikataba hii.Kama mlivyompuuza tangia miaka 17 iliyopita,ndivyo mnavyompuuza sasa! Tena hiyo CCM ya mwenyekiti ajaye ndivyo itakavyoilaumu CCM ya sasa kama ambavyo nyie mnawalaumu akina Mkapa,Kikwete,Magufuli na wote walioshiriki kuingia hii mikataba.
Toeni ni article namba ngapi ambayo inaruhusu kuzuia mali ya mwekezaji na kumsitishia uzalishaji ili kutoa muda wa Review la sivyo just SHUT UP and KEEP QUITE!

Watu mbumhu kama wewe wanamuabudu Tundu Lissu kama MUNGU WAO.Mikata ya kimataifa ni PERSUASIVE,napo kwa nchi iliyo ratify.Also, mataifa yanashauriwa na kuhimizwa waifuate mikataba hiyo. Mikataba hiyo siyo superior kwa sheria na masilahi MAPANA ya nch(public interest doctrine)..Kifumo ya kimataifa ilibadilika to tukio la 9/11 huko marekani.Ubabe wa nchi moja kuinysnyasa nchi nyinhine UMEKUFA. Jiulize kukiwa na kesi hiyo anayosema Lissu, na ACACIA wakashinda, je watatufanya nini kama nchi kama tukigoma kulipa fidia? Hakuna kitu. Kuna watu wajinga nchi WANAMWABUDU HUYU MTU KAMA MUNGU WAO.Na yeye anajua hilo, anawadanganya kama amavyotaka.
 
Kwa hiyo hali iliyoko Zimbabwe wewe unaona iko sawa? Usiombee ya Zimbabwe yafike Tanzania, utakosa hata uwezo wa kuandika upuuzi wako humu.
Wewe Acha umburula migogoro ya kibiashara ukishagundua unapunjwa haikwepeki . Hatuwezi kuendelea kuibiwa eti tutashitakiwa. Hata tukishitakiwa potelea mbali liwalo na liwe. Jambo la msingi ni kusalimisha rasilimali zetu. JPM kaza kamba baba tuko nyuma yako.
 
Tatizo nyinyi mabashite hamwezi kumwelewa Lissu kwa sababu akili zenu ni ndogo kama punje ya haradali!
Lissu ndoo mtaa gani vile ? Kashindwa kusimamia Demokrasia CHADEMA leo unataka kutuambia nini ?
 
Gazeti la Mtanzania na dada zake Mwananchi na The Citizen hawawezi hata siku moja kuisema vibaya Acacia (mtoto wa Barrick). Mmiliki wa magazeti hayo bwana Rostam Azizi ndiye anamiliki kampuni inayochimba (drilling) kwenye migodi ya Acacia. Na Rostam anajulikana anashirikiana kibiashara nani. Wewe kibaraka kwa sababu umeamua kula makombo bila kuhoji utaendelea kusambaza magazeti ya hao wanyonyaji ukidhani kila mtu ni zuzu.
Sasa kwani Serikali imeshachukua hatua gani kwa hiyo mikataba ya wawekezaji wa Madini? tatizo Lissu anachamba kabla ya kunya ndio maana wengine wanamuona hana maana, kwanza Serikali ndio inaanza kukusanya data, ikimaliza itakaa na Wawekezaji hao watajua namna ya kufanya, Usifikiri Serikali inawachukia hao wawekezaji kama mnavyodhani na Lissu wako, Serikali inajua inachokifanya tuipe mda kwenye hili sakata, bado mapema kwanza ndio mwanzo kabisa
 
Tundu Lisu anaongea kama mwanasiasa zaidi kuliko kuwa mwanasheria. Kisheria mkataba wowote ule unaweza kuwa reviewed na ku waive baadhi ya mashsrti na vigezo baada ya kugundulika na pande husika kuwa uko UNFAIR kwa upande moja wapo. Mkataba ni makubaliano ya pande husika.Hivyo makubaliano hayo yanaweza kuboreshwa muda wowote na pande husika. Kuhusu mikataba mibaya kama ya uchimbaji madini iliyopo, nchi inaweza kuamua kuivunja kwa MASILAHI YA UMMA ikiwa upande wa wawekezaji haupo tayari kuboresha terms and conditions ambazo ni unfair. Na hii ipo in practice dunia nzima. Vitisho anavyotoa Tundu Lisu ni vya kipuuzi na kisiasa zaidi kuliko uhalisia na kishetia.Kwani mikataba hiyo ikivunjwa watatufanya nini? Nothing.Ni hofu tu. Tz ni DOLA huru kama ilivyo nchi nyingine. Hao wazungu sasa wako busy kupambana na UGAIDI. Attentition yao yote iko huko siyo Afrika tena. Zimbabwe ilifanya maamuzi magumu hayo mpaka leo bado ipo na Mgabe yupo.Hofu hizo zilikuwa relevant ZAMANI.Siyo leo.Kumbuka kuna nchi kama China,India,Russia nk ambazo zinapenda kuwekeza Afrika. Wanasiasa acheni kuwatisha na kuwarubuni wanachi.Magufuli chapa kazi kulinda masilahi mapana ya nchi. Usiyumbishwe na empty propaganda za akina Lissu waliochakaa kisiasa na kuamua kuunga mkono uporaji na uharamia wa kiwango cha juu namna hii.God bless JPM, God bless TZ. By the learned counsel.
Waliokuwa wanapitisha walikuwa wamelewa?
 
Inabidi pande zote ziliridhiane huwezi ku review kama hamtakubaliana kureview..
 
Bashite
 
Namshauri Tundu Lissu anyamaze kwanza kama Zitto. Asubiri hatima ya sakata lenyewe, kwanza Serikali ndio bado ipo kwenye uchunguzi. Asipoangalia litamgeuza vuvuzela. Zitto kashikwa akili baada ya kuaibika katika mambo aliyokuwa anaponda kabla hayajakamilika,
 
Ningekuwa ndiyo Rais wa nchi hii Hata hayo makampuni ni Massa 24 kwao!!
 
Back
Top Bottom