Responded Prof. Mkenda: Ni marufuku kumrudisha mtoto nyumbani kisa mchango

Responded Prof. Mkenda: Ni marufuku kumrudisha mtoto nyumbani kisa mchango

Mwizukulu wa Buganda

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2024
Posts
638
Reaction score
1,771
Waziri wa Elimu, Profesa Adolf Mkenda, anazungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio na utekelezaji wa ahadi za Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya siku 100 za kwanza za utawala wake. Kikao hiki kinatoa mwangaza kwa umma kuhusu maendeleo, sera, na miradi mbalimbali iliyotekelezwa katika sekta ya elimu.

Pia soma
~
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Fulwe ameanzisha michango ambayo matumizi yake hayajawekwa wazi
~ Shule ya Sekondari Nakake - Wilayani Kyerwa (Kagera) ina michango mingi hadi baadhi ya Watoto wanaacha shule
~ Michango imezidi Shuleni! Mfano, Shule ya Msingi Mikocheni (A) hadi birthday ya Mwalimu Wanafunzi wanachangishwa
~ KERO - Kuna wimbi la michango Shuleni hasa Shule za Msingi
~ Kwenye hii michango ya shule za umma kuna harusi ya ufisadi
 
Back
Top Bottom