PROF MBARAWW..TCAA WANA ACC YA DOLA INAITWA DIR GENERAL ..BAADHI YA NDEGE WANALIPA HUKO

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,584
NAJUA UMESHANGAA ZILE ACC SABA ZA TCAA ILA UKUJUA HILI UTASHANGAA ZAIDI

WANA ACC YA DOLA AMBAYO NDEGE KADHAA WANALIPIA MALIPO YAO INAITWA DIRECTOR GENERAL TCAA

HII ACC ZICHUNGUZENI MTAFUMUA MENGI SANA SANAA
 
Pdidy

Habari yako mkubwa

Hongera kwa kuboresha muandiko.

Lingine Prof. Mbarawa hana lolote la kufanya ktk Serikali hii hii ya CCM.... blah blah as usual.
 
Heading ilipaswa kuwa;
Prof Mbarawa, TCAA Wana Akaunti ya Dola Inaitwa Dir General, Baadhi ya Kampuni Wanalipa Huko
 
Heading ilipaswa kuwa;
Prof Mbarawa, TCAA Wana Akaunti ya Dola Inaitwa Dir General, Baadhi ya Kampuni Wanalipa Huko
Hahaaa..mkuu jamaa akiandika namna hii hatapata cha kuandika ndani ya thread mana ni kama umemaliza kila kitu ukilinganisha na alichokiandika hapo
 
Sanasana itagawanwa.......hakuna kipya nchi hii...........tutajuaje kama hakuna zingine za namna hiyo........?......waizi tu.......
 
Sanasana itagawanwa.......hakuna kipya nchi hii...........tutajuaje kama hakuna zingine za namna hiyo........?......waizi tu.......
Sijaelewa bado maana sie ofisi yetu ina akaunt tisa na zina majina mbalimbali as codename na wala sio kesi, hebu fafanua mkuu
 
Sijaelewa bado maana sie ofisi yetu ina akaunt tisa na zina majina mbalimbali as codename na wala sio kesi, hebu fafanua mkuu

Kwa nini hiyo DIR itiliwe shaka......unaweza kutuelewesha.......?.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom