Prof. Mbarawa: Treni za SGR ni za mwendo wa kawaida (siyo mwendokasi)

Mkurugenzi wa shirika la reli nchini, Masanja Kadogosa amesema treni ya SGR itatumia saa moja na nusu kutoka DAR mpk Moro na itatumia msaa 3 kutoka DAR mpk Dodoma...
Teh! Wewe ndiye hukuelewa toka mwanzo. Kilichokuwa kinajengwa ni standard gauge railroad (SGR) na sio high speed railroad (HSR) ! Mjifunze ku-read between the lines kauli za wanasiasa.
 
Hiyo tofauti ya ujenzi kati ya reli za China na Korea na hii reli yetu ya SGR ni ipi?

Nina wasiwasi Mbarawa asijekutumia udhaifu wao wa kununua vichwa chakavu vya treni ya SGR, vilivyosababisha spidi iwe ndogo, akahamishia kwenye ujenzi wa reli...
Mkuu jifunze kwenye mabasi ya Mwendokasi!! Au reli ya Tazara nayo ni SGR isiyo ya umeme!
 
Hiyo tofauti ya ujenzi kati ya reli za China na Korea na hii reli yetu ya SGR ni ipi?

Nina wasiwasi Mbarawa asijekutumia udhaifu wao wa kununua vichwa chakavu vya treni ya SGR, vilivyosababisha spidi iwe ndogo, akahamishia kwenye ujenzi wa reli...
Masaa 3 ni Dar to Dom. Dar to Moro ni masaa 1.5. Siyo mbaya sana.
 
Mkurugenzi wa shirika la reli nchini, Masanja Kadogosa amesema treni ya SGR itatumia saa moja na nusu kutoka DAR mpk Moro na itatumia msaa 3 kutoka DAR mpk Dodoma...
Bila shinikizo wala kelele...

Shirika linatumia kanuni za majaribio ya uendeshaji reli duniani kwamba speedi ni 100-150 pekee....

Majaribio yote yatakapokamilika na treni kuanza kazi, rasmi dar-moro ni dk 90 pekee bila mbambamba...

Jaribio la kwanza tren ikiwa na behewa 4 walitumia saa zaidi ya2...

Jaribio la leo treni ikiwa na behewa 14 wametumia masaa2 kamili....
 
Mkurugenzi wa shirika la reli nchini, Masanja Kadogosa amesema treni ya SGR itatumia saa moja na nusu kutoka DAR mpk Moro na itatumia msaa 3 kutoka DAR mpk Dodoma...
Ni mwendo kasi kulinganisha na reli ya sasa 60 kph na std gouge ni 120 hadi 160 kph. Zile high speed bullet train japan, tgv ya ufaransa au ile network ya wachina tunazungumzia 350 pengine hadi 500 kph
 
Mkurugenzi wa shirika la reli nchini, Masanja Kadogosa amesema treni ya SGR itatumia saa moja na nusu kutoka DAR mpk Moro na itatumia msaa 3 kutoka DAR mpk Dodoma...
1710788506697.png

Hii ndiyo mwendokasi speed hadi 350km/hr.
 
Nimemuelewa mdau kuwa ufanisi mdogo,ila bado masaa 3 dom,hata zile vx,8 na korokoro zifananazo na hizo za siiirikali bado haziwezi toboa dom masaa 3😁
Hayo masaa matatu labda itembee maximum speed (160km/hr) bila kusimama kituo chochote njiani.
 
My take; Naona kama tumebadllishiwa gia angani. Mbona mwanzo tuliambiwa itakuwa treni ya mwendo kasi? Kama Dar mpk Moro ni saa moja na nusu, kuna haja gani ya kuitumia? Si ni bora watu waendelee kutumia IST ama Vitz zao tu?
Lengo letu tunaanza kulijua....mtaeleza muda ukifika!
 
Mkurugenzi wa shirika la reli nchini, Masanja Kadogosa amesema treni ya SGR itatumia saa moja na nusu kutoka DAR mpk Moro na itatumia msaa 3 kutoka DAR mpk Dodoma.

Ndipo waziri wa uchukuzi prof. Makame Mbarawa akasema "naomba wananchi waelewe hii treni siyo ya high speed kama zile za China na South Korea. Na hata ujenzi wa reli yake ni tofauti na hii ya kwetu ".

Source: ITV habari.

My take; Naona kama tumebadllishiwa gia angani. Mbona mwanzo tuliambiwa itakuwa treni ya mwendo kasi? Kama Dar mpk Moro ni saa moja na nusu, kuna haja gani ya kuitumia? Si ni bora watu waendelee kutumia IST ama Vitz zao tu?
Tumepigwa na kitu kizito kichwani
 
Back
Top Bottom