Ni zamu ya Antipas LissuI prefer Prof. Mbarawa kuwa mgombea mwenza wa Rais Magufuli 2020. Mama Samia Salum kuwa mgombea urais Zanzibar baada ya Rais Shein kustaafu Makame Mbarawa kuwa mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania 2025.
Prof Mbarawa ni very very genius na anafuata nyayo ya Rais Magufuli ni mtu anafaa sana kuwa President wa Tanzania baada ya Rais Magufuli.
Time will comeNi zamu ya Antipas Lissu
Wewe umtakii mema Prof Mbarawa.Wanabodi,
Hili ni bandiko la swali,
Naanza kwa swali la msingi, Jee Tanzania, Tuanze Utamaduni wa Kuwaspoti Watanzania Presidential Materials, na KuwaGroom ili Tupate Rais Bora, Au Tuendelee Kuwaacha Tuu Yoyote Anayeutaka Urais, Awe Hata Kama Sio Presidential Material?.
Sifa za Urais wa Tanzania.
Nafasi ya urais wa JMT, inashikwa na raia yoyote wa JMT mwenye sifa na vigezo. Tangu JMT imezaliwa mwaka 1964, hadi leo Zaidi ya miaka 53, ni Mtanzania mmoja tuu kutoka Zanzibar, aliyekidhi sifa na vigezo hadi kuweza kuwa rais wa JMT, Wazanzibari wengine wote wenye sifa waliojaribu, hawakuweza kupata kutokana na kuzidiwa sifa na vigezo na wagombea kutoka bara, matokeo yake hadi leo sisi bara ni 4 kwa 1 Zanzibar. Hali hii ilipelekea nikashauri
Je, kunahitajika affirmative action ili Mzanzibari aweze tena kuwa Rais wa JMT?
Lakini leo, baada ya kumsikiliza Mtanzania huyu ambaye ni Mzanzibari, kiukweli kabisa, nimemkubali sana kuwa ana kidhi sifa na vigezo hadi sifa za ziada za nationalism ya Utanzania kwanza, na ni mzalendo wa kweli, kwa sababu kwa kauli na matendo, amethibitisha pasi shaka kuwa yeye kwanza ni Mtanzania, kisha ni Mzanzibari, wakati kiukweli kabisa, kwa Wanzanzibari walio wengi, wao kwanza ni Wazanzibari kwanza, kisha ndio Watanzania.
Hebu msikilize Prof. Mbarawa.
Tuwachagize Presidential Materials Wagombee?.
Kuna Watanzania wengi wenye sifa za kutuletaa rais bora kabisa, lakini wengine hawana vyama, wengine wala hawauwazi urais, hivyo wanapotokea watu wenye sifa kama Prof. Mbarawa, unaweza kukuta ndio wale type ya watu hawauwazii hata huo urais, lazima wachagizwe, hata katika hao wagombea Zaidi ya 40 wa CCM ile 2015, sio wote waliutaka urais, kuna baadhi walifuatwa na kuchagizwa kwenda kuchukua fomu na kugombea, hivyo mnaonaje wale wote wenye presidential personalities, or presidential materials, tuwachagize waanze kufikiria kugombe.
Hitimisho, Tusisubiri Marais Wajitokee Tuu, Tuanze Kutengeneza Marais.
Kuna kauli isemayo, leaders are born and not made, Mimi ni muumini wa good leaders are made, besides kuwa born, hivyo lets start making our leaders by grooming them to be good leaders. Kwa upande wangu kwa 2020, nimeishamspoti mmoja kutoka upinzani,
Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? ...Ameonyesha ...
Na kwa 2025, niliishamspoti mmoja.
Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa ... - jamiiforums.com
huyu Prof. Mbarawa ni wapili, tuendelee kuwaibua presidential materials ili kufikia 2025, tupate viongozi bora, japo mimi binafsi niko kwenye lile kundi tunaotaka 2025 katiba ibadilishwe Magufuli aendelee kama nilivyouliza hapa.
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa ...
Namalizia kwa lile lile swali la msingi, Jee Tanzania, Tuanze Utamaduni wa Kuwaspoti Watanzania Presidential Materials, na KuwaGroom ili Tupate Rais Bora, Au Tuendelee Kuwaacha Tuu Yoyote Anayeutaka Urais, Awe Hata Kama Sio Presidential Material?.
Jumamosi Njema,
Paskali
Makonda/Bashite atapotea na Magufuli, yule jamaa tatizo lake kibuli na kutoona mbali.
Wanabodi,

Atasapotiwa na Mungu aliyemwokoaLisu huku anatembelea magongo? Acha utani.
Khee, kumbe aliokolewa na Mungu. Ulimuona akimuokoa?Atasapotiwa na Mungu aliyemwokoa
Hebu acheni ujuha,
Rais ndo kwanza ana miaka miwili mshaanza kumuota mrithi wake,
Badala ya kumbana aliyepo ajikite kwenye huduma za kijamii, elimu, afya awekeze nguvu huko, mnawaza mrithi,
Hivi tutatoka lini kwenye huu ujinga, Maradhi na umasikini?
Tumbane huyu ili hata atayekuja ajue kuwa naongoza watu si maroboti
Watz mnaboa saba
Mayala, Katiba iheshimiwe. Miaka kumi kama akishinda, inatosha. Mbarawa yuko vizuri namkubali pia. Hana mihemko na ana busara, ana heshimu wafanyakazi kwa kutoae maelekezo ya kama kiongozi. Kassimu yupo vizuri pia. anajali sheria ingawa anazidiwa na
kiongozi mzuri ni yule anae develop the other leaders. Magufuli sijui kamtolea wapi huyu mtu.
Atasapotiwa na Mungu aliyemwokoa
Utakua unamsema Mbowe weweTatizo kubwa la Tanzania ni akili ndogo kuongoza akili kubwa, na watu kuchaguana kwa misingi ya uvyama, ukanda, ukabila na udini na si WEREDI wa uongozi kama inavyotakiwa.
Na wewe ameshakuokoa! Mungu si athumaniKhee, kumbe aliokolewa na Mungu. Ulimuona akimuokoa?