Prof. Mbarawa ni Presidential material! Tuwaspot na kuwagroom Presidential materials au tumwache tu yeyote awe?

Huyu wa sasa sio kabisa....na hata washauri wanashindwa kumshape.

Ndio maana umekuja na justification ndefu.

Hata Msekwa alikataa hoja ya Nkamia kwa kusema kuwa miaka kumi inatosha kuvumilia a none presidential person (kama huyu wa sasa)
Tunajua bavicha kila kitu ni bora jana.
 
Umelipwa bei gani ? Wewe ni mmoja wa waliowadanganya Watanzania kwamba Magufuli anafaa , sasa sema ukweli wako na Mungu akusamehe , Magufuli anafaa kweli kama ulivyodanganya ?
Lowassa ndo hafai kabisa, in fact, chadema ya sasa haina mtu ambaye ni president material.
 
Prof namkubali sana haswa mtazamo wake kwenye mambo ya msingi kitaifa
Ni mapema mno kumtamkia haya ili wabaya wasije wakajiinua dhidi yake lakini itoshe tu kusema ni mchapa kazi mzuri na mwenyezi Mungu aendelee kumpigania ili aweze kutimiza majukumu yake kwa ukamilifu wake
INSHALLAH
 
Mkuu Pasco, unataka kusemaje hapa? Ya kuwa tuliyenaye ni tulimwacha tu akapata na yakuwa hana uprezooo material
 
Awe waziri wa foreign affairs Kwani ni mvaa Kaunda?
 
Tukitaka tupate rais bora cha kwanza kabisa KATIBA MPYA cha pili wananchi tukibadilika kutoka kwenye vyama hadi kwa mtu tunae muhitaji..kwani kwa mfumo wetu wa Tz hatuchagui mgombea urais ila wananchi tunachagua CHAMA kipi kiwe madarakani...
 
Mm nashindwa kuwaelewa wafuasi wa Upinzani, Mara mnasema 2020 mnachukua Ikulu?

Mama Samia Suluh akichukua nchi, nafikiri ataifikisha mbali sana naona kama mtu mwenye busara sana
 
 
Huku kwetu zanzibar tulimpiga chini ubunge. In short hana sifa hata ya kua shekha huku zanzibar alibebwa tu na Rais sababu swahiba wake. Mtazame tena 2020 labda huko bara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…