Naomba kukiri ndani ya jukwaa hili kwa mara ingine tena kuwa huyu professor yuko mbali sana kiakili kuwa hapa Tanzania.
Inasikitisha sana namna ambavyo hatumiki kuijenga nchi yetu tunayoipenda.
Au kuna kitu sikijui?
Ajabu ni kuwa watu kama hawa huwa kimya, na hupenda kutumia akili zao kwa faida ya familia zao, lakini huyu ndugu anajitoa, amekubali kuingia kwenye siasa hizi ngumu za Tanzania.
Mungu mlinde huyu baba!!
akishika dola ametamka, atamtumia mh ndesamburo kama mkuu wa utalii tanzania ili kuinua kipato
Naomba kukiri ndani ya jukwaa hili kwa mara ingine tena kuwa huyu professor yuko mbali sana kiakili kuwa hapa Tanzania.
Inasikitisha sana namna ambavyo hatumiki kuijenga nchi yetu tunayoipenda.
Au kuna kitu sikijui?
Ajabu ni kuwa watu kama hawa huwa kimya, na hupenda kutumia akili zao kwa faida ya familia zao, lakini huyu ndugu anajitoa, amekubali kuingia kwenye siasa hizi ngumu za Tanzania.
Mungu mlinde huyu baba!!
Kwa hiyo CUF itaungana na CHADEMA?au Ndesamburo ataamia CUF au Lipumba ataamia CHADEMA?akishika dola ametamka, atamtumia mh ndesamburo kama mkuu wa utalii tanzania ili kuinua kipato
hatumiki kwa sababu amekubali kutumiwa.mwambie aende ambako akiri yake inafaa kuwa,then utajua kama niwamhimi au laa!Naomba kukiri ndani ya jukwaa hili kwa mara ingine tena kuwa huyu professor yuko mbali sana kiakili kuwa hapa Tanzania.
Inasikitisha sana namna ambavyo hatumiki kuijenga nchi yetu tunayoipenda.
Au kuna kitu sikijui?
Ajabu ni kuwa watu kama hawa huwa kimya, na hupenda kutumia akili zao kwa faida ya familia zao, lakini huyu ndugu anajitoa, amekubali kuingia kwenye siasa hizi ngumu za Tanzania.
Mungu mlinde huyu baba!!
My standardsgenius kama akina Eistein, au? by tanzania standards!
My standards
acha kukariri wewe, lipumba by now ni mchumi wa dunia pia ni mshauri wa uchumi katika nchi za A.kusin ,Uganda and Burundi na uchumi wao is atleast kuliko tanzania. serikali yetu ni nafiki tu haiwapi nafasi watu waelewa kama pro lipumbaProfesa alitumika awamu ya pili! Alikuwa mshauri wa mzee ruksa wa uchumi! profesa alikuja na sera ya Ruksa.Uchumi uliyumba sana! mfumuko wa bei! tulikopa sana njee ya nchi! nchi ilikuwa haina Vision!
Lipumba ni profesa wa darasani tuu! kumeza na kukariri tuu!
Noted, if by your standards, then I fully agree, Lipumba is a genius! A WORD OF CAUTION! BUT REMEMBER GENIUS IS A CONCEPT, AND CONCEPTS ARE PUBLIC NOT PRIVATE! Then my standards can not be defined at international levels!
hatumiki kwa sababu amekubali kutumiwa.mwambie aende ambako akiri yake inafaa kuwa,then utajua kama niwamhimi au laa!
Mkuu,Lipumba is Machinery hakuna mfano wake Afrika.