Prof. Lipumba aula!!

Hivi Slaa anaweza fanya kazi gani huko duniani kwa taaluma yake? Katibu wa baraza la maaskofu wa dunia???!!!
 
Mmmh_na hili ndilo tatizo letu,mtu unamsifu kichwa wakati hajafanya lolote la maana kwao(tz),....haya kila la heri huko kwenye hiyo bodi ya dunia.

Ungemjuwa aliyekutowa kwenye minyororo na lindi la uchumi alilotutumbukiza Nyerere usingesema unayoyasema, umezaliwa lini?
 
Hivi jamani kuna kitu kinaitwa *Bodi ya wachumi duniani*? Mnijuze:

1. Bodi hii inaundwa na nani?
2. Makao makuu yake yako wapi?
3. Shughuli zake nini?

Mwenye kujua anijuze, halafu huu mjadala wa Lipumba aula utaendelea baadae.

Kama kingekuwa kitu ''serious'' sidhani nchi za magharibi ''zinge-risk'' kumpa Lipumba nafasi hiyo hasa katika kipindi hiki ambacho dunia inakabiliwa na mtanange mzito wa kuporomoka kwa uchumi huku nchi nyingi za ulaya na marekani zikionekana kukosa suluhisho la uhakika kwa tatizo hili.
 
Hivi Slaa anaweza fanya kazi gani huko duniani kwa taaluma yake? Katibu wa baraza la maaskofu wa dunia???!!!

lakini Uchaguzi wa 2010 Uliona mwenyewe jinsi alivyo mfunika rais wako Ibrahim Ripumba wa cough. Hapo ndo umepata picha ni nani anawafaa watanzani na wanamkubali pia. na sasa hivi tunawakomba viongozi wenu wote wa ngazi za juu. pole sana. Mia
 
mmmh_na hili ndilo tatizo letu,mtu unamsifu kichwa wakati hajafanya lolote la maana kwao(tz),....haya kila la heri huko kwenye hiyo bodi ya dunia.

tatizo lenu hapa nyie hampendi kutumia wataalam kila kitu hata cha kitaalam mnachanganya na siasa wenzenu wanawatumia wataalam wenu na wanafanikiwa,lipumba ni mmoja wapo tu,mtu kama daudi balali amesaidia nchi nyingi sana mpaka akamshawishi mkapa kumuomba aje hapa lakini kila mtu anajua kilichompata toka kwa watu wa siasa hapa nyumbani!
 
Kaifanyia nini Tanzania na hicho kichwa chake?

Si wanamdharau hawataki kumpa nafasi ya kufanya mambo,sasa angefanyaje viongozi wa Tanzania elimu zao ni za magumashi,digrii za kuokoteza bila kuzisotea sasa unafikiri wanahitaji wasomi hapo,Tanzania ni kanyaga twende.
 

..mara ya mwisho nilisikia Prof.Nguyuru Ibrahim Haruna Lipumba alikuwa yuko National Endowment for Democracy[NED] in Washington DC.

..kwa kweli inatia wasiwasi kuhusu umakini wa chama cha CUF ukizingatia kwamba Mwenyekiti wake ameamua kutafuta ajira nje ya nchi.

..hapa chini ni maelezo mafupi kuhusu shughuli za National Endowment for Democracy[NED]

 
Mmmh_na hili ndilo tatizo letu,mtu unamsifu kichwa wakati hajafanya lolote la maana kwao(tz),....haya kila la heri huko kwenye hiyo bodi ya dunia.

Kwani serikali ilimpa nafasi akashindwa? Wao si wamekaa na uccm wao tu wa kiselfish hawataki kuwatumia wataalam wa hapa nchini
 
Hivi hii NED ndio mlema mada anaaita ''Bodi ya wachumi duniani'?

Please, mleta mada jibu maswali yangu pale juu otherwise ondoa hii takataka isiyo na uthibitisho!
 
Amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa bodi ya Wachumi Duniani. Mshahara wake utakuwa tshs 2,800 milioni kwa wiki 1. Source: cluds.

Hivi mkuu kuna milioni 2800? Kwani nijuavyo 1000 milion ni sawa na bilioni moja kwahiyo hapo ungetakiwa kusema bilioni 2 na milioni 800. Au nimekosea wadau?
 
afadhali aache kugombea urais. Toka miaka 1995-2010=15 anagombea yeye tu!
 
Amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa bodi ya Wachumi Duniani. Mshahara wake utakuwa tshs 2,800 milioni kwa wiki 1. Source: cluds.

mböna pesa ya kawaida sana hyo?
 
We unayeuliza ameifanyia nini tanzania vipi na wewe umeishajiuliza umeifanyia nini nchi yako au kukurupuka tu bila kufikiri.
 
Hongera Lipumba waache magamba waendelee juvuana gamba na roho zao mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…