Kwani mwanzon akati anasaliti si alishauliwa na wazee wa chama pamoja na wanachama wenye busara wakiomba chondechonde asiwaache. Mbona hakuwaskiliza ??? Leo wakati wa kuvuna ndo anaona umuhim wa ushaul wa wazee na wanachama ???.Kwani ww cuf.Huo ni ushauri kapewa na wazee wachama pamoja na wanachama wwnye busara
Nani? Lipumba?Kuna watu wamekosa haya hapa duniani...duh!
Maalim Seif yampasa kutumia fursa hii ya mwisho aliyopewa na Mwenyekiti wa CUF Mheshimiwa Prof.Ibrahim Lipumba, la sivyo atapoteza vyote.
Ni suala la chama, kilichomfuta uanachana ni chama kupitia baraza kuu la Taifa, sasa hata akikomaaa atafanya kazi na naniKumbe anajua kuna mazungumzo ee...
Sasa kwanini asingeanza na hilo kabla ya kutumia mabavu?
awahi kwa msajili azuie a/c ya ruzukuYameanza kumshinda nini
Hahaaaaaa Hilo jibu limemfaa sanaThe way unavyoelezea utadhani tunazungumzia mahari ya dadaako, kumbe unazungumzia chama ambacho kina wanachama na wana maamuzi yao...raha!