Prof. Lipumba ataka suluhu na Maalim Seif

Prof. Lipumba ataka suluhu na Maalim Seif

kama chama tu ni hivi je angeshinda urais c angesema nchi yakwake wengine sie wapangaji.......yaan tusingekuwa tunaskia mugabe wala nkuruzinza maana profeseli angewafunika mbali
 
Maalim Seif yampasa kutumia fursa hii ya mwisho aliyopewa na Mwenyekiti wa CUF Mheshimiwa Prof.Ibrahim Lipumba, la sivyo atapoteza vyote.
Nani ampe mwenziwe fursa ya mwisho, alieshika mpini au makali? Prof is no more what is displayed here is the last kicks of the dying horse.
 
Kwani mwanzon akati anasaliti si alishauliwa na wazee wa chama pamoja na wanachama wenye busara wakiomba chondechonde asiwaache. Mbona hakuwaskiliza ??? Leo wakati wa kuvuna ndo anaona umuhim wa ushaul wa wazee na wanachama ???.
Wakati anafanya uharibifu wa mali napo alishauliwa na hao uliowaita wanachama wenye busara??? Ukijibu hayo maswal tutaelewana tuu.

LIPUMBA NI SAWA NA CHITEMO WA SHULE YA MSINGI ALOKIMBIA HOME AKIJUA AMEULA ILE HALI SADICK NA BABA AKE WAKISOTA NA JEMBE SHAMBANI MWISHOWE KILICHO MKUTA NADHANI UNAJUA MWENYEWE!!.
Tulia hujui usiyoyajua
 
Profesa Lipumba kaishiwa pumzi tayari hahaa? Hata kihiyo anashangaa profesa gani anaruka ukuta na kuvunja ofisi aingie ndani huo ndio usomi gani sasa
 
Ibara ya 117 (2) ndio iliyombeba prof lipumba ,kwa hiyo vikao vyote vilivyokaa baada ya mkutano mkuu kuvunjika hakuna kilichokuwa halali.
 
SULUHU NI AACHIE KWANZA OFISI,ALAF AOMBE TENA KUINGIA
Mwenyekiti ana muonea huruma Maalim,ana msihi aende ofisini kwa Le Proffeseri aka ungame na kutubia, maana Le Proffeseri kesha sema kua Pale Hatoki, Chama hahami, anacho fanya ni kuangalia watoto wasije waka umia ndio ana taka kuwa samehe, kwani hawajui wali tendalo
 
Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema anawasiliana na wazee na waasisi wa chama hicho Zanzibar ili kutafuta suluhu ya mgogoro uliopo baina ya viongozi wakuu wa chama hicho.

Lipumba amesema anaamini kuwa mazungumzo hayo yataweza kuzaa matunda na kurejesha hali ya kawaida ndani ya chama hicho.

Gazeti Mwananchi linaandika.
Sijui nini kimemsibu Profesa
 
Nani ampe mwenziwe fursa ya mwisho, alieshika mpini au makali? Prof is no more what is displayed here is the last kicks of the dying horse.
Wewe motto wa sultani....hujui siasa za Tanzania.....Seif kanasa mtegoni......kasha!
 
Maalim Seif yampasa kutumia fursa hii ya mwisho aliyopewa na Mwenyekiti wa CUF Mheshimiwa Prof.Ibrahim Lipumba, la sivyo atapoteza vyote.
Wakudadavuwaaaaaa! Njoo tukudadavuwe basi! Tayari rafiki yako keshapoteza jengo! Yeye ndo atapoteza vote!!
 
Wakudadavuwaaaaaa! Njoo tukudadavuwe basi! Tayari hawara yako keshapoteza jengo! Yeye ndo atapoteza vote!!
. Mchezo ushaisha kijana na ''Seif kapigwa tumboni/chini ya mkanda''
13319725_1800187683550379_1013107293094425438_n.jpg
 
Unajua hakuna mtu aliyemkubali Prof Lipumba nadhani kama mimi.Inasikitisha kufanya mambo ya kitoto kama aliyoyafanya.Unavunja ofisi za chama ulichokijenga kwa damu yako mwenyewe.

Kwanini asisubiri akae na wenzake waamue kwa pamoja nini wafanye.Kwanini aliamua kuondoka wakati anahitajika zaidi?Baba anaondoka wakati mtoto anamhitaji,anarudi mtoto anajitegemea halafu unataka Mama na mtoto wa kupe heshima kama baba,heshima uliyokataa kuifanyia kazi?

Baba anayetaka kuvuna asichovuna?Imagine mzazi wako anakukimbia toka ukiwa Mimba anarudi unafanya kazi una maisha yako mazuri ,akirudi anataka umpeheshima na thamani kama baba,nina uhakika siku hiyo hiyo ataenda kuripoti polisi kwa kesi ya kubaka
sikatai mkuu...lakini kakiri kosa na katubu...mbona lowasa alitubu na cdm wakampokea ?
 
Pumba ameshindwa kugundua kuwa dhambi aliyoitenda ya kuwasaliti na kuwayumbisha watanzania ktk kipindi muhimu kabisa ndo inamtafuna.
There is no excuse PR.
 
Back
Top Bottom