Prof. Lipumba ataka suluhu na Maalim Seif

Prof. Lipumba ataka suluhu na Maalim Seif

CUF by boycotting the 20th March, 2016 Zanzibar General election; it means, she has converted from Political Party into "pressure group "or "interest group ". This is based on the definition derived from Political Parties Act (No.5 of 1992).
========
Above paragraph is my rephrase of part of Honorable Pius Msekwa's article ,entitled as 'Boycotting Elections has its consequences' appeared in the Daily News -of 29th September, 2016 on page 7.
 
huyu jamaa"amekua haoni suruali ya baba yake chumbani mwa mama yake"..msimuhukumu,anastress za kumtafta baba yake!!
 
Kinachomsumbuwa lipumba akiangalia wafuasi waliomzunguka wote hawafanani.akiangalia wabunge, mameya , wenyeviti na wanachama wa CUF kwa ujumla wao hawako upande upande wake.inamuumiza kichwa mwenyekiti professa kazungukwa na wanywa gongo.
 
The way unavyoelezea utadhani tunazungumzia mahari ya dadaako, kumbe unazungumzia chama ambacho kina wanachama na wana maamuzi yao...raha!
Kijana tatizo lako unapingana na ukweli.......mara nyingine tembelea hata jukwaa la vichekesho uondoe stress manake mambo ya CUF ni mazito.
 
Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema anawasiliana na wazee na waasisi wa chama hicho Zanzibar ili kutafuta suluhu ya mgogoro uliopo baina ya viongozi wakuu wa chama hicho.

Lipumba amesema anaamini kuwa mazungumzo hayo yataweza kuzaa matunda na kurejesha hali ya kawaida ndani ya chama hicho.

Gazeti Mwananchi linaandika.
Anaanza Kusanda?ahahaha
 
Kinachomsumbuwa lipumba akiangalia wafuasi waliomzunguka wote hawafanani.akiangalia wabunge, mameya , wenyeviti na wanachama wa CUF kwa ujumla wao hawako upande upande wake.inamuumiza kichwa mwenyekiti professa kazungukwa na wanywa gongo.
Lipumba kaonyesha uongozi kwa kumpatia Maalim Seif fursa ya kujirudi kabla hajamfukuza. Mara nyingine kama huelewi siasa ni bora utembelee hata jukwaa la jokes kuondoa stress.
 
Kheri CUF igawanyike au hata kufa kuliko kumkaribisha kiongozi msaliti kama Lipumba
 
Lipumba kaonyesha uongozi kwa kumpatia Maalim Seif fursa ya kujirudi kabla hajamfukuza. Mara nyingine kama huelewi siasa ni bora utembelee hata jukwaa la jokes kuondoa stress.
too late, Lipumba ametimuliwa kwa ujinga wake.
andaeni mapokezi soon anaamia CCM rasmi.
 
Back
Top Bottom