Prof. Lipumba ataka suluhu na Maalim Seif

Tatizo ni kwa katibu mkuu Maalim Seif anashghurikia mgogoro huu kwa maelezo kutoka Office za CHADEMA pale Mtaa wa Ufipa.[/QUOTE]

weka ushahidi Wa hiyo kauli yako
 
Kiongozi na katibu mkuu wa CUF anayepaswa kustaafu siasa sasa.

1. Amekuwa CHANZO cha uhasama na migogoro ndani ya CUF na ndani ya zanzibar kwa kuwagawa wazanzibar Kati ya wapemba na waunguja.

2. Ameshiriki kufitini viongozi wa zanzibar na Bara. Rejea marehem JUMBE.

Si mtu wa kuwekewa mfano kwa viwango vyovyote vile. Na sasa animalistic CUF kwa maslahi binafsi.
 
aende wajadiliane na lipumba kuimarisha chama kutunishiana misuri haina maana, kurushiana matusi,vijembe, nk, haijengi chama.
 
swala ni ccm na act na Jaji mtungi ndio wanaokula oesa ya ccm na kuchochea moto.hakika Mungu anawaona.
downloadfile.png

swissme
 
kati ya viongozi wabaya, ambao CUF haita wasahau ni Maali seif, Kiongozi mwenye siasa za chuki, na uhasama
 
Kiongozi na katibu mkuu wa CUF anayepaswa kustaafu siasa sasa.

1. Amekuwa CHANZO cha uhasama na migogoro ndani ya CUF na ndani ya zanzibar kwa kuwagawa wazanzibar Kati ya wapemba na waunguja.

2. Ameshiriki kufitini viongozi wa zanzibar na Bara. Rejea marehem JUMBE.

Si mtu wa kuwekewa mfano kwa viwango vyovyote vile. Na sasa animalistic CUF kwa maslahi binafsi.

Wewe unaaminika?
 
Mkuu nimekufahamu ila kwenye sentensi yako ya mwisho nimekuelewa ya kwamba wewe si binadamu kamili! Animalistic ndio nini mkuu? Au ndio hicho kizdhungu cha jpm? Bila shaka Wewe utakuwa ni mwalimu wa kiingereza wa magu
 
Back
Top Bottom