maonomakuu
JF-Expert Member
- Jul 24, 2015
- 2,516
- 1,198
Hajawahi kujihuzulu?
Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema anawasiliana na wazee na waasisi wa chama hicho Zanzibar ili kutafuta suluhu ya mgogoro uliopo baina ya viongozi wakuu wa chama hicho.
Lipumba amesema anaamini kuwa mazungumzo hayo yataweza kuzaa matunda na kurejesha hali ya kawaida ndani ya chama hicho.
Gazeti Mwananchi linaandika.
maalim atapoteza?!!Maalim Seif yampasa kutumia fursa hii ya mwisho aliyopewa na Mwenyekiti wa CUF Mheshimiwa Prof.Ibrahim Lipumba, la sivyo atapoteza vyote.
Mh... shekhe Yahaya angekuwa hai tusingepta taabu kuyapokea haya.nilijua tu huyu mzee ataomba suluhu
ha ha ha tungeyajua kabla ya kutokeaMh... shekhe Yahaya angekuwa hai tusingepta taabu kuyapokea haya.
hahahaha in your dreamzzzMaalim Seif yampasa kutumia fursa hii ya mwisho aliyopewa na Mwenyekiti wa CUF Mheshimiwa Prof.Ibrahim Lipumba, la sivyo atapoteza vyote.