[emoji38] [emoji38] [emoji38] umeona eee nmeongea yakwel ninayoyajua nisioyajua ya kaz gan kwang asa.Tulia hujui usiyoyajua
Lipumba anawatia aibu wasomi!Sasa huyu ndiye anayesema anaweza kusaidia nchi kutoka kwenye umaskini wakati yeye mwenyewe ana NJAA!!
Huyu sio hata mtu wa kumwongelea!
Hata humu JF imekuwa vigumu kutofautisha pumba za wanachadema na fikra huru za Act wazalendo.sasa hivi imekua vigumu kumtofautisha msomi na mjinga hapa tanzania.(maana ukitaka kujua uelewa wa mtu mpe nafasi ya kusema au kutenda)
Nao usalama wa CUF upo wapi kama lipumba atendelea kushikilia wadhifa wa juu?Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema anawasiliana na wazee na waasisi wa chama hicho Zanzibar ili kutafuta suluhu ya mgogoro uliopo baina ya viongozi wakuu wa chama hicho.
Lipumba amesema anaamini kuwa mazungumzo hayo yataweza kuzaa matunda na kurejesha hali ya kawaida ndani ya chama hicho.
Gazeti Mwananchi linaandika.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Maalim Seif yampasa kutumia fursa hii ya mwisho aliyopewa na Mwenyekiti wa CUF Mheshimiwa Prof.Ibrahim Lipumba, la sivyo atapoteza vyote.
Hatutaki katusumbua sana tena na genge lake la wahunu walimpiga dada wa watu sikupendezewa na kitendo kile cha wafuasi wake. Wakati anajiuzuru niliandika humu jamii forum nilisema akirudi kwenye siasa nita muuliza kwa kimombo (Prof. you do not keep your words as a public figure)Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema anawasiliana na wazee na waasisi wa chama hicho Zanzibar ili kutafuta suluhu ya mgogoro uliopo baina ya viongozi wakuu wa chama hicho.
Lipumba amesema anaamini kuwa mazungumzo hayo yataweza kuzaa matunda na kurejesha hali ya kawaida ndani ya chama hicho.
Gazeti Mwananchi linaandika.
Kitakacho fanyika ni mwenyekiti halali wa kafu. ataandika barua zenye nakala kwenye vyombo husika, account ya dharura itafunguliwa fedha za ruzuku zitamwagiwa humo..kama namuona prof.akipiga mruzi wa furaha all the way to the bank.kitu ambacho Prof hajui ni kwamba account zote za chama na kila kitu kipo kwa kina maalimu. hawezi kusafiri hawezi kutumia fedha za chama bila idhini ya katibu mkuu.
Hivi humu JF hakuna hata member mmoja ambaye alifundishwa na Prof. Lipumba, kama yupo atuambie alivyokuwa anatoa mhadhara, usahihishaji wake, "ukamataji" wake? and the like
Halafu mnapomu address kama Mwenyekiti wa CUF mnakera sana.Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema anawasiliana na wazee na waasisi wa chama hicho Zanzibar ili kutafuta suluhu ya mgogoro uliopo baina ya viongozi wakuu wa chama hicho.
Lipumba amesema anaamini kuwa mazungumzo hayo yataweza kuzaa matunda na kurejesha hali ya kawaida ndani ya chama hicho.
Gazeti Mwananchi linaandika.
Suluhu ili arudi kwenye kiti, naona Prof. sasa kaamua kujitoa ufahamu.Anataka suluhu ya kuwa mwenyekiti au mwanachama
Kitakacho fanyika ni mwenyekiti halali wa kafu. ataandika barua zenye nakala kwenye vyombo husika, account ya dharura itafunguliwa fedha za ruzuku zitamwagiwa humo..kama namuona prof.akipiga mruzi wa furaha all the way to the bank.
BARUA YA MSAJILI ITABARIKI,KUMBUKA RUZUKU INATOLEWA NA SERIKALI.Protocal za kibank zinakataa maana walishaandika barua bank kutomtambua na kumbuka katibu mkuu ndio mtendaji. Lakini...
Mkuu naona kama vile unajitia kidole mku..uni halafu halafu unanusa harufu ya kinyesi.Safi kabisa professa. Huu ni mwanzo mzuri wa part 2 ya movie hii tuliyokuwa tunaisubiri kwa hamu baada ya part 1 kumalizika ambayo prof alitoka kidedea.
Umekosea ....tena kwa mbali, nakueleza hakuna mwanasiasa aliebaki hai Tanzania ambae mwerevu kuliko Seif.. Tatizo lake moja tu...ubinafsiWewe motto wa sultani....hujui siasa za Tanzania.....Seif kanasa mtegoni......kasha!