Prof. Lipumba ataka suluhu na Maalim Seif

Prof. Lipumba ataka suluhu na Maalim Seif

Profesa ni mwanadiplomasia mzuri,maalim anapozwa kiutu uzima.
 
Maskini Prof maji yapo shingoni ndio basi tena IMEBAKI STORY hata Mkulu aliwahi kusemaga NYOKA UKIMKATA KICHWA (ukishamuua) HAACHI KUTIKISA MKIA.
 
UWale wa ufipa hawataki suluhu ipatikane ili mpate faida kupitia hili.
Haha yanakwisha punde
Kwa prof Lipumba kuendelea na uwenyekiti.
Na maalim Seif katibu mkuu
 
Si alisema kikao kilichomfuta uanachama ni batili! Sasa prof anataka nini? Walio karibu wamshauri aachane na siasa aombe kazi ya kuwa mshauri wa uchumi wa mpangaji wa magogoni.
 
Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema anawasiliana na wazee na waasisi wa chama hicho Zanzibar ili kutafuta suluhu ya mgogoro uliopo baina ya viongozi wakuu wa chama hicho.

Lipumba amesema anaamini kuwa mazungumzo hayo yataweza kuzaa matunda na kurejesha hali ya kawaida ndani ya chama hicho.

Gazeti Mwananchi linaandika.
Huyu kishatimuliwa kwenye chama na BARAZA KUU , Maalim Seif hana mamlaka ya kumrejesha , aende kwa Mutungi .
 
Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema anawasiliana na wazee na waasisi wa chama hicho Zanzibar ili kutafuta suluhu ya mgogoro uliopo baina ya viongozi wakuu wa chama hicho.

Lipumba amesema anaamini kuwa mazungumzo hayo yataweza kuzaa matunda na kurejesha hali ya kawaida ndani ya chama hicho.

Gazeti Mwananchi linaandika.
sasa hivi imekua vigumu kumtofautisha msomi na mjinga hapa tanzania.(maana ukitaka kujua uelewa wa mtu mpe nafasi ya kusema au kutenda)
 
Mkuu mm ccm ila namkubali sana prof mkuu

Unajua hakuna mtu aliyemkubali Prof Lipumba nadhani kama mimi.Inasikitisha kufanya mambo ya kitoto kama aliyoyafanya.Unavunja ofisi za chama ulichokijenga kwa damu yako mwenyewe.

Kwanini asisubiri akae na wenzake waamue kwa pamoja nini wafanye.Kwanini aliamua kuondoka wakati anahitajika zaidi?Baba anaondoka wakati mtoto anamhitaji,anarudi mtoto anajitegemea halafu unataka Mama na mtoto wa kupe heshima kama baba,heshima uliyokataa kuifanyia kazi?

Baba anayetaka kuvuna asichovuna?Imagine mzazi wako anakukimbia toka ukiwa Mimba anarudi unafanya kazi una maisha yako mazuri ,akirudi anataka umpeheshima na thamani kama baba,nina uhakika siku hiyo hiyo ataenda kuripoti polisi kwa kesi ya kubaka
 
Lipumba kaonyesha uongozi kwa kumpatia Maalim Seif fursa ya kujirudi kabla hajamfukuza. Mara nyingine kama huelewi siasa ni bora utembelee hata jukwaa la jokes kuondoa stress.
Imebaki historia kwamba aliwahi kuwa mwanachama wa CUF. Baraza kuu limeshamfuta hana chake CUF arudi CCM akaombe cheo
 
Back
Top Bottom