Kumbe mtu anapoongezeka kielimu anazidi kuwa mind narrowed, hajafikiria kufanya hivyo kwa miji mingine anakimbilia kuzungumzia nchi zingineWaziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo amewapongeza wamachinga wa mkoa wa Morogoro kwa kuweza kujipangia utaratibu mzuri wa kufanya biashara.
Prof. Kitila Mkumbo amewaalika Mawaziri wenzake wa biashara kutoka nchi zote barani Afrika wafike Morogoro kujifunza.
Chanzo: ITV habari
Mashinga!Hivi machinga Misri wanaitwaje?
Uwaziri wa Biashara umeupata Juzi Hizo Nchi umetembelea lini ukaona Machinga hawajapangwaWaziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo amewapongeza wamachinga wa mkoa wa Morogoro kwa kuweza kujipangia utaratibu mzuri wa kufanya biashara.
Prof. Kitila Mkumbo amewaalika Mawaziri wenzake wa biashara kutoka nchi zote barani Afrika wafike Morogoro kujifunza.
Chanzo: ITV habari
Dunia iko kiganjani bwashee!Uwaziri wa Biashara umeupata Juzi Hizo Nchi umetembelea lini ukaona Machinga hawajapangwa
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Machinga ni kama kunguru!Machinga sio nyanya, kwamba unazipanga tu kwenye mabanda halafu unasema umemaliza kazi...
Mbunge wetu kasema atatupeleka Marekani, tunamuuliza tutaendaje huko iwapo ni wewe mwenyewe unatuhubiria kuwa tusichanjwe?Mbunge wenu amesemaje kwenye Press yake leo?
Mbunge wenu amesemaje kwenye Press yake leo?
Ni sehemu ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania ambapo kila mmoja ana haki ya kutembelea nk ili mradi havunji sheria hivyo ni moja wapo ya eneo amblo kama alishawahi kusafiri kwenda nyanda za juu kusini, kato, magharibi, kanda ya ziwa, pwani nk alishapita, kushuka na kutembea na kujionea jinsi Morogoro walivyo😃😃😃😃
Ulishawahi kuishi Morogoro?