Prof. Kitila Mkumbo: Mawaziri wenzangu wa Biashara Afrika nzima waje Morogoro wajifunze namna bora ya kuwapanga Wamachinga

COMOTANG

JF-Expert Member
Jan 6, 2021
1,946
2,000
Yaani niitwe toka Nigeria huko wakati wa hapa Pua na mdomo Dar nanga zina paa. Hizi fani nyingine tuwaachie akina mkandamizwaji tu
 

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
14,403
2,000
Tumeamua kuligeuza taifa letu la wamachinga wa bidhaa za kichina?
 

Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
18,319
2,000
Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo amewapongeza wamachinga wa mkoa wa Morogoro kwa kuweza kujipangia utaratibu mzuri wa kufanya biashara.

Prof. Kitila Mkumbo amewaalika Mawaziri wenzake wa biashara kutoka nchi zote barani Afrika wafike Morogoro kujifunza.

Chanzo: ITV habari
Kumbe mtu anapoongezeka kielimu anazidi kuwa mind narrowed, hajafikiria kufanya hivyo kwa miji mingine anakimbilia kuzungumzia nchi zingine
 

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
1,711
2,000
Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo amewapongeza wamachinga wa mkoa wa Morogoro kwa kuweza kujipangia utaratibu mzuri wa kufanya biashara.

Prof. Kitila Mkumbo amewaalika Mawaziri wenzake wa biashara kutoka nchi zote barani Afrika wafike Morogoro kujifunza.

Chanzo: ITV habari
Uwaziri wa Biashara umeupata Juzi Hizo Nchi umetembelea lini ukaona Machinga hawajapangwa

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 

Deceiver

JF-Expert Member
Apr 19, 2018
7,373
2,000
Mkumbo alikua very smart alipokua Chadema sijui kimetokea Nini.
Waziri mzima unasifia umachinga na ku upromote?
Tangu lini uchuuzi au disguised employment ikakuza uchumi? Badala ya ku promote uzalishaji mashambani na viwandani anasifia ujinga.
Umachinga unaweza kuliingizia taifa fedha za kigeni?
Wamachinga wanalipa Kodi ipasavyo?
Tufike mahali tutumie akili na ubunifu.
 

Intelligence Justice

JF-Expert Member
Oct 23, 2020
1,465
2,000
😃😃😃😃
Ulishawahi kuishi Morogoro?
Ni sehemu ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania ambapo kila mmoja ana haki ya kutembelea nk ili mradi havunji sheria hivyo ni moja wapo ya eneo amblo kama alishawahi kusafiri kwenda nyanda za juu kusini, kato, magharibi, kanda ya ziwa, pwani nk alishapita, kushuka na kutembea na kujionea jinsi Morogoro walivyo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom