Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,684
Hapo jumlisha kuwa serikali imeacha kuajiri kabisa.Wana jamvi Salaam
Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Kitila Mkumbo amemshauri Mh Rais Magufuli aache kuteua Wahadhiri katika nafasi za kisiasa ama majukumu mengine kwa kuwa vyuo vikuu vimeanza kukabiliwa na uhaba wa wahadhiri baada ya wengi wao kupewa teuzi mbalimbali.
Aidha Prof Kitila amesema vyuo vikuu vilivyoathirika zaidi baada ya wengi wa wahadhiri wake kuteuliwa ni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM).
Chanzo: Tanzania Daima
ThubutuuTuone kama atasimamia alichokisema hapo juu
Shikamoo kiongoziYeye akiteuliwa ATAKATAA?
Ulitabiri vema mkuu[emoji1] [emoji1]Yeye akiteuliwa ATAKATAA?
Kateuliwa na kagomaYeye akiteuliwa ATAKATAA?
Naamini umejibiwa swali lako.Yeye akiteuliwa ATAKATAA?
yaan hapa ni kama kawekewa ka mtego na baba mwenye nyumba akikubal tuu kaozeshwa..hahaha...mkumbo lakn tunajua c mpinzani hii imeletwa makusud ili wapinzani wasutwe kwamba n watu wa blah blah.. mkumbo mungu anakuonaUsiombe kuwekwa kiporo na baba jesca.. huko ni kumsuta ki utu uzima...!!!!
Kumuandaa daktari it takes years.Kwani hivyo vyuo havina SUCCESSION PLAN? Haviandai watu wa kushika nafasi iwapo mmoja akiondoka aliye chini apande? Hivyo vyuo vina tabia ya one man show kwenye vitivo ?
siamini labda kama unataka ligi tu na haupo serious.Bila majengo taalum hakuna. Ndio maana kila siku tunalilia vyumba bora vya madarasa.
Si rahisi KihivyoKateuliwa na kagoma
JPM ni msikivu na anapitaga humuNaamini umejibiwa swali lako nal
Full stop.