Prof Kitila: Magufuli usiteue Wahadhiri

Mkuu tunasubili kujionea ni nani sasa mwenye matatizo ya akili.
Kama Msigwa alivyosema mnaomwamini Lowassa mkapimwe akili sa sijui kama mlipimwa kweli ikiwemo na msigwa mwenyewe!

Wanasiasa washawageuza watu kama mazuzu tu.
 
Tusubili tuone, Magufuli ndio kiboko ya wanafki wote kama Polepole.
Kama mbowe alivyokua kiboko ya wanafiki wa ufipa kwa kubadilishia gia angani na nyie vibendera fata upepo ikawalazimu kubadilishia gia angani hukohuko.
 

Mhadhiri kakubali kuteuliwa kiroho safi najua katengua ile kauli yake ya raisi asiteue waadhiri
 

Mhadhiri kakubali kuteuliwa kiroho safi najua katengua ile kauli yake ya raisi asiteue waadhiri
Du Magu anawaweza kweli kweli baada ya polepole ss anafuata huyu jamaa. Kumbe alikua anawaonea donge wanaoteuliwa issue haikuwa uhaba wa wahadhiri.
 
Sumaye alipokuwa waziri mkuu hakuna kitu alichofanya Zaidi ya ufisadi wa kujilimbikizia mali....Sumaye ndio amechangia sana umasikini wa nchi hii.....
Utakuwa mtoto wa Jana wewe, yote hayo ni mazao ya ccm.
 
Mwanafasihi Ayi Kwei Armah kutoka Ghana aliwahi kutuletea Novel nzuri ijulikanayo kama

" The Beautyful Ones Are Not Yet Born ".

Wala hakukosea, inasadifu yaliyopo katika jamii yetu ya leo.
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…