Prof. Kikwete aenda Marekani

Matibabu ya nini? Ebola?

Na hivi kuna nchi ambayo profesa hajawahi kufika kweli?

Sijawahi kusikia kaenda Pyongyang (North Korea) akiwa rais.....

Ugonjwa Wa MTU ni siri na Wenzetu huko wanajua nini maana ya siri sio hapa nyumbani hasa kwa watu wakubwa Kama wao itakuwa ni stori ya mjini...

JK kwa nafasi alizoshika nchi hii fursa ya kuimaliza dunia ni kawaida.
 
Atibiwe mwimbili rais Wa nchi?

Ili kesho iwe matangazo magazetini kuwa rais anaumwa?

Okey dokey...nimekuelewa...

Ila Profesa kwa kweli anastahili Nobel Prize kwa kuwa Rais Profesa aliyetembea kila kona ya dunia hii.

Hivi 'frequent flyer' yake itakuwaje huyu Profesa? Unaweza kuta anasafiri bure ati...maana mileage ya Profesa siyo mchezo.
 
Reactions: BAK
Hospitali zetu wamezitelekeza hazina vifaa vya kileo, hazina madawa sasa wote wanazikimbia. Kuangaliwa afya zao au kutibiwa ni lazima waende US, moja ya EU countries hasa UK/Ujerumani au India.

Hawezi tibiwa Muhimbili?
 
Reactions: Nzi

Profesa katishaaaaaa.
 
Hospitali zetu wamezitelekeza hazina vifaa vya kileo, hazina madawa sasa wote wanazikimbia. Kuangaliwa afya zao au kutibiwa ni lazima waende US, moja ya EU countries hasa UK/Ujerumani au India.

Chifu...hii nchi nshajichokea...ni heri nisake tonge niwaandalie watoto maisha ya kueleweka...
Ukisubiri waTZ wachukue hatua, unaweza kusubiri hadi Yesu arudi...
 
Mazishi kwa Rais wa Zambia ataenda VP wetu lkn angekuwa kafa Rais wa Ulaya angeenda JK mwenyewe!

Katiba mpya itaje safari za Rais kwa mwaka la sivyo kuna hatari ya kuja kumpata JK mwingine hapo baadae!

Muhimbili hawapati dawa toka bohari kuu sababu hakuna hela za kununua madawa lkn JK na msafara mkubwa wapo USA wakitumia zaidi ya Tsh Milion 300 kwa siku!!

JK ni janga la kitaifa
 
 
Mwache akanunue suti na mkufu. Halafu siku marubani wakigoma kusafirisha abiria huyu jamaa ataugua maana ashazoea kuwa angani kama popo na mbayuwayu.
 
Mwache akatutafutie misaada pamoja na wawekezaji
Wewe ni 0 kabisa. Huyu 0 mwenzako anaenda kutafuta misaada kutoka kwa nani wakati nchi wahisani wameshakataa kutoa misaada mpaka CCM warudishe zile Billion 250 za IPTL walizotafuna kwa ajili ya kuibia kura mwakani.
 

Wazungu wana akili sana! Pamoja na kuwa wahisani wamezuia fedha mpaka ripoti ya ufisadi wa Escrow itoke, vilevile bado wanajiuliza tupeleke fedha za nini wakati rais wao anatumia sh 300 milioni kwa siku kwa safari ya siku 20!!?
 
hatuna viongozi wenye uchungu na nchi yetu watu hawana dawa mahospitalini wao ni kula bata USA dah .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…