natumbaku Chambeho
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 551
- 209
Safari za Kikwete zimesababisha Uchumi wa Taifa umepaa.
Siku ishirini kwa marekani kwa raisi wa nchi ni Nyingi mno , kazi gani atakayokuwa anafanya hapa!!tz kuna matatizo mangapi ya kushugurikia,rais hakai ofisini ndio maana hata watendaji wanaona upuuzi wanapiga deal zao na kuendelea na kazi zao nyingine
Siku hizi haitwi tena Dkt?
Halafu hilo dali hapo juu kwenye picha ya kwanza niaje?
Anaenda Marekani kufanya nini? Kuhudhuria tamasha la Jay Z, Beyonce, na Blue Ivy?
Ameitwa na Obama.
Cha kustaajabisha uzi niliouanzisha kuhusu safari ya professor wa kusafiri umefungwa!!!! 😛hoto:
Anakwenda kwenye ziara binafsi.....
Pia ametupa nafasi tuwakaange vizuri mapapa Wa ESCROW
subiri tu soon utaona Sakata linafukuta na watu kuchinjiwa baharini.
Daaaah…shikamoo Proffessor……………..!!!
Umepublish pembe zetu za ndovu..ukapata promotion..!!
Hongera sana mjomba niko chini ya miguu yako!
Inavyoonekana mshikaji anaipenda sana US.
Hivi kwa mwaka huu keshaenda mara ngapi?
Ameitwa na Obama.
Ila huwa anafuata matibabu pia.
Mtakumbuka mwaka jana Mida kama hii alikuja kwa Safari iliyoitwa ya mapumziko na kucheck afya yake, na mwaka huu tena katika tarehe Zile Zile anakuja bila kubainisha anachokuja kufanya, kwa ufupi nyakati hizi ndio ambazo ibada za kifreemason huchanganya !!! Na ibada hizo huzidi baada ya sherehe kubwa ya kipagani(kishetani) ya Halloween kuwa imesherekewa ijumaa iliyopita, hivyo kuufanya mwezi mzima kuwa wa makafara na waabudu shetani kushika kasi
Mwache akatutafutie misaada pamoja na wawekezaji
Hawezi tibiwa Muhimbili?
Mkuu,kwa nini unapenda kutafutia watu ban??. shenzy type kabisa!!
Sikumbuki kwakweli.
Ila huwa anafuata matibabu pia.