Prof. Kapuya atishia kuishitaki JamiiForums...

Prof. Kapuya atishia kuishitaki JamiiForums...

Jibu ni-huyo mama ndiye aliyemwambukiza mzee hako kaugonjwa,na yeye ndiye anayemchukuliaga dozi ya ARVs, unfortunately suala la majibu ya vipimo ni private kisheria,unless mahakama itoe amri viwekwe wazi,na siku ya kupimwa itabidi mawakili na wanasheria wa pande zote waingie lab ili asije kutuletea majibu kutoka sokoni.

Guys

Tatizo siyo ukimwi...ni kuingia kwenye mahusiano yasiyofaa na binti ambaye ni underaged....don't you get it?!!!???!!!...

ukimwi..ukimwi...ina maana ukimwi ndiyo tatizo ...ila kufanya ngono na binti wa mika 14 ni sawa...puuuhh...
 

Guys

Tatizo siyo ukimwi...ni kuingia kwenye mahusiano yasiyofaa na binti ambaye ni underaged....don't you get it?!!!???!!!...

ukimwi..ukimwi...ina maana ukimwi ndiyo tatizo ...ila kufanya ngono na binti wa mika 14 ni sawa...puuuhh...

Nawe utakuwa unasumbuliwa na ukapuya tu. Huyo uliyem-quote alikuwa akijibu swali,sasa badala ya kum-quote muuliza swali,una-quote jibu.kaaaazi kwelikweli.
 
OK. Labda kweli Kapuya kachomekewa,lakini kubakwa mara mbili na ntu huyohuyo? Kunoga au? Miaka 16 kisheria mwananke ni ruksa kuolewa ila mwanaume lazima 18 igote mahali pake. Afu tukio la mwaka 2011 linalalamikiwa 2013? Kabakiwa wapi, Hoteli ya kitalii alikuwa anafuata nini huyo ntoto kama sio kuitalii nanihi ya nhechimiwa chana? Yeye na dada ntu wamekuwa wakizunguka Bungeni ati, chio wajachiria mali hawa? Bhaaaaaa! Njomba tucheme ule ukweli hacha, wewe ukiletewa chakula hotelini nawe una njaa utaanza kuchungua umri wa mbeba chakula? Nzoefu mwananke huyo katika mambo haya, ada kufuatwa hotelini??? Wajinga ndo wataamini maneno haya, acheme Kapuya ananchunia kuendeleza utalii wake na chacha anamuumbua.

Lakini naye Kapuya, kunchitaki JF na Mambo (Habari?) Leo hachira ya nini hiyo? Jichunie zako tu kidumecha mbegu, huna kocha hapo.Chi una meno na umeyatumia kwa kazi yake? Kuzidi kujieleza unawapa kete wapinzani wako maana wanapenda sana wajue unawaza nini. Achana na JF maana watoao mawazo ni wengi humo hata wapinzani wako wamo humo kama wewe ulivyo member, utajichitaki mwenyewe? Umentumia cherii hakatwi ntu hapa, afu bomu lilipolipuka ukatumia chimu hiyohiyo kutichia ntoto wa watu.... ana njaa huyo mpe ncochi tu atanyamaza.Njengee nyumba karibu na chamwino ili uwe huru kijivinjari kwako pale kila upatapo nafasi.


Mi chicheni ila nachauri tu. Hata hivyo pole sana maana watu wa cherikali mkiambiwa walalahoi tunavyochomekewa vibaya mitaani mnatuchema vibaya ati che wajinga, chacha profesa nawe njwiiiii, nchale kwa moyo. Bora maisha kwa kila ntanzania.
 
ha ha ha ...napita tu!!msimlaumu wakili jamn....hata ningkuwa mm ningemshauri ivyoivyo....ntafanyaje biashara sasa kma c kuirefusha kesi wakati anajua kosa liko wapi..ngoja tuone mwsho wa sinema hii
 
Sasa JF ni gazeti au umenukuu vibaya gazeti linalozungumziwa mimi ninaamini ni Tanzania Daima.
 
tumsamehe, Uprofessa wake ni wazama ambazo hakukuwa na intaneti, google, fb, twitter n.k. Hajui kwamba JF ni kijiwe tu. Huyu akijigoogle sasa hivi atatishia kushtaki GOOGLE!
 
selikari inakazana kukamata wasichana wanaodaiwa kuuza miili yao! sasa wakiwatoa hao mitaani kabisa si vitoto vya shule vitaambukizwa ukimwi vyote?, maana hawa walikuwa wanapunguza mahitaji!
 
Mwacheni muone kama atakuja na ARV Kisutu hapo ndo mtajua kama ana ukapuya au la.
 
Mi sina hakika na issue nzima hii ila najua hawa watani zetu wanyamwezi kwa wanapenda sana starehe za bustani ya bonde la ufa, bila ya kujali umriau cheo chao. kuhusu kaugonjwa sio issue sana kwani tishio ni kisukari si hako.
 
hahahaha, mkuu huyo ni kiherehere chake, na huyo alifuata hela ya pango, mkuu sura haiuzi mtu, waswahili wa Tanadale na Manzese wanasema hapendwi mtu, pesa mzee, ndo maana Remi Ongala (R.I.P) alioa mzungu, hahahahaha.

Mkuu zumbemkuu
Nina uhakika mpaka sasa hivi umeupata ukweli haya ni mambo ya 2015!!
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ...napita tu!!msimlaumu wakili jamn....hata ningkuwa mm ningemshauri ivyoivyo....ntafanyaje biashara sasa kma c kuirefusha kesi wakati anajua kosa liko wapi..ngoja tuone mwsho wa sinema hii
sinema itakua imebaki humu jf.
 
Namba hiyo hiyo anayosema amegawa ndo hiyo hiyo tena ameandika hapo kwenye hilo tamko lake kwamba ndiyo yake!! Sasa tuelewe lipi hapo? Maruweruwe tu haya!!
 
Back
Top Bottom