Prof. Kabudi: Watanzania tuache uoga, hakuna atakayeshitakiwa na ACACIA

Kwa akili yako unaamini kwamba kesi ya masamaki taifa lilishindwa??? Hakuna hukumu ya kwamba taifa lilishindwa kesi hiyo ila ni watu tu waliamua kupiga dili na watuhumiwa
Mkuu;
Usipoteze sana muda wako kujenga hoja na watu ambao ni akili kiazi!

Hao watafundishwa na mazingira!
 
Kama umejua prof. anakuchezea akili, achana naye! Shughulika na hoja za watu wasiokuchezea akili!

Umejuaje kama hatuwezi kuwashitaki iwapo mazungumzo hayatafanikiwa?

Kwa nini unataka negotiations zifanyike baada ya acacia kupatikana na hatia? Kwenye masuala ya madai, hata mahakama huwa zinawaomba wadai wafanye mazungumzo nje ya mahakama kabla ya kushitakiana mahakamani kwa sababu ya kupunguza gharama za mashitaka.

Hakuna negotiations n mijizi, ile ikamatwe n ifungwe + ilipe pesa zetu 110Tri
 
Hoja yako ni nini kwenye hili au na ww aibu imekushika kwa kutoamini unachosikia? Ni hivi hili suala kwangu limeingiza siasa kiasi kwamba hata ukweli hausemwi. Leo ripoti za makinikia zimeombwa bungeni zikagomewa. Sasa kama ripoti hata bungeni haipelekwi huoni ni siasa tu hapo? Mzee mwanakijiji kujitosa kwenye hili ni kujidhalikisha tu, kuna taswira inajengwa kwamba kuna uzalendo, lakini ripoti za muhimu zinapogeuzwa ni siri kwenye jambo zito hivi tunaona ni kick za kisiasa tu.
Kama Bunge linanyimwa ripoti za kamati kwa kigezo kwamba ni Ripoti za Rais, Huku linasubiri ku review contracts. Ndio maana bill inasema, The National Assembly may review any arrangements or agreement made by the Government.
 
Ninakubaliana na wewe.

Matatizo haya yametokea ndani ya utawala wa CCM nani lazima wabebe lawama.

Kazi ya CCM kwa sasa ni kujirekebisha baada ya kupewa nafasi ya kuongoza tena taifa.

Kuna baadhi ya watanzania wanasema lazima CCM iombe msamaha kwa kuruhusu hali hii itokee. Nadhani madai yao ni halali lakini ikumbukwe kuwa neno SAMAHANI ni geni katika jamii ya Tanzania achilia mbali siasa za Tanzania. Sioni CCM wakiomba msamaha!

Kwa maelezo haya ya kiungwana msemajiukweli nitaendelea kukuheshimu. Huu ndio uungwana niliotarajia kuuna toka kwa wanaccm kuomba radhi ili hili suala liwe letu wote. Lakini eti kukashifiana sijui wapinzani wanatetea wezi ni kufanyana watoto kwa jambo lililo wazi. Bado una muda, wasihi wanaccm wenzio hili suala ili liwe letu wote waweke ushabiki pembeni wakiri kosa kisha tushirikiane wote. Nasema hivi hasa kwa tahadhari ya uhuni uliofanyika kwenye katiba mpya. Katiba ya mahitaji ya wanachi ilitokana na maoni yaliyokusanywa na Warioba full stop.

Big up sana broo kwa kukiri kosa hili.
 
CCM waombeni radhi Watanzania
 
nyerere alisema ...tusichimbe madini hadi watu wetu wakisoma watakuja kuchimba..watu wamesoma lakin bado tunaambiwa tusichimbe hadi kizazi cha wazalendo kije...aliyeturoga yukojehanu
Haya maneno mzalendo yana tafsiri pana muda mwingine hata mchumia tumbo naye ni mzalendo plse naomba kamusi tupate maana.ila umeni
 
..Prof anazungumza kana kwamba acacia peke yao ndiyo wenye haki ya kutupeleka mahakamani/miga, wakati siyo kweli. Na ndiyo maana nasema hata wakati akisema ukweli, Prof anadanganya humohumo. Na huko ndiko kuchezea watu.

..Napendekeza Acacia wakashtakiwe miga kwasababu ripoti mbili za tume za Raisi zimethibitisha kwamba wametuibia. Na kama wametuibia basi mahali panapowastahili ni miga ili Tanzania tukapate haki yetu.Kwa maoni yangu acacia wakishapatikana na hatia Tanzania tutakuwa na leverage kubwa zaidi tunapo-deal nao ktk meza ya mazungumzo.
Sio kila kitu lazima kianzie mahakamani.

Kuna masuala mengi tu yenye transaction kubwa ambayo yamemalizwa nje ya mahakama.

Watu wenye akili timamu, hekima na busara huanza kwanza mazungumzo na kama mazungumzo yakishindikana ndipo suala huhamia mahakamani.

Hata mikataba mingi imesema kuwa kabla ya kwenda makamani lazima kwanza maongezi yawe yameshindakana.
 
Kasome mswada ndio utajua,sheria itatekelezwa kwa wawekezaji wapya.
Kama umesoma vizuri weka kipengele kinachoeleza kwamba sheria hiyo itahusu Contracts / Investors wote waliopo kabla na baada ya sheria kuwepo. Sheria zilizo retrospectively huwa zinaweka wazi hilo.
 
Sio kila kitu lazima kianzie mahakamani.

Kuna masuala mengi tu yenye transaction kubwa ambayo yamemalizwa nje ya mahakama.

Watu wenye akili timamu, hekima na busara huanza kwanza mazungumzo na kama mazungumzo yakishindikana ndipo suala huhamia mahakamani.

Hata mikataba mingi imesema kuwa kabla ya kwenda makamani lazima kwanza maongezi yawe yameshindakana.
Na ndio maana hata ACACIA walitaka mazungumzo sasa kitendo cha wao kutaka kuongea na serikali tumeshakitafsri ni kama wanahaha/wameufyata.Hizi ndio siasa zinazoharibu kila kitu katika hii issue.
 
Ni wazi hunijui vizuri.

La, una kumbukumbu fupi sana.

Sijawahi hata siku moja kuwa mtetezi wa CCM mimi.

Na sijaanza leo kusema kuwa CCM wanapaswa kutuomba radhi Watanzania.

Nimeshawahi hadi kuanzisha uzi kuhusu hilo.

Nimeshawaponda sana CCM humu. Nimeshawaponda na CHADEMA pia.

Hiyo aibu ya mwaka unayoizungumzia ipo kichwani mwako tu.

Nimeanza kuyazungumzia hayo mambo ya CCM kuwaomba radhi Watanzania zaidi ya mwaka sasa.

Bofya hapo uone

CCM waombeni radhi Watanzania

Uza huo ubongo ww unakaa nao kwa hasara. Unaniletea uzi wa 2006 wakati huo msimamo wako unafahamika ulikuwa unasimamia nini. Hapa jukwaani kuna mapost yako kibao ya kujifanya unaitetea hii awamu ya 5 huku ukiwabeza na kuwakejeli wapinzani. Hiyo post yako ina tofauti gani na zile zinazoletwa za wapinzani hapa jukwaani waliokuwa wanamponda Lowassa lakini leo wanajifanya kumtetea? Ni siri kwamba sasa hivi umejijengea maadui wengi na hasa wa cdm kwa kuitetea ccm eti ni ya wazalendo. Juzi hapa si ulikuwa unarukia kila post inayomchafua Lissu eti uko na rais mzalendo chini ya ccm? Leo hii ukweli hadharani na Lissu ukiachia alitumia lugha ya kuuzi alikuwa anaongea anachokifahamu. Jomba jirekebishe, hao ccm ni kama kubeba gunia la mavi, ujue nzi wanakuhusu.
 
Dah!

Uzi ni wa 2006?

Kumbe mtu mwenyewe hata kusoma vizuri na kuelewa ulichokisoma ni shida!

Kumbe ndo maana!

Jumapili njema:D.
 
Hahahah!

Mkuu hiyo ni sentesi mpya yenye msamiati mgumu katika siasa za Tanzania.

Kama mtanzania anayeishi Tanzania anashikwa na mkewe live akiwa na mchepuko halafu anakataa hata kuomba msamaha kwa mkewe, unategemea wanasiasa wataweza kuomba msamaha kwa watanzania!

CCM hawawezi kuomba msamaha kwa sababu watanzania wengi hawajui maana ya kuombwa msamaha.
 
Bora tupambane kuliko kukaa kiwoga,naunga mkono lkn sijaelewa uharaaaka wa sheria,bunge lingeahirishwa wabunge wakachambua hizo sheria hâta mwezi kisha waitwe Tena kwa kikao cha dharura badala ya kuunganishia hapo.
kumbuka kazi ya kuzisoma na kuzichambua bajeti haikua rahisi watu walilala saa kumi usiku mda wote Sasa mnachomekea kitu kingine nyeti kabisa!!
mtachemka alafu baada ya kuibiwa/kupoteza sana ndipo mtatuambia walikosea Sasa turekebishe ili twende mbele!! Kama vile makosa yalipotokea hamkuwepo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom