GE2025 Prof. Kabudi: Samia ametimiza aliyoshindwa Mwalimu Nyerere

GE2025 Prof. Kabudi: Samia ametimiza aliyoshindwa Mwalimu Nyerere

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
huwa munawaonea sana wala jamaa waioshia la saba, mimi hua sioni tofauti yao na hawa wasomi kwenye siasa za kibongo
 
Mara zote tumeandika humu na kwingineko kwamba Hakuna Mwanaccm anayemuogopa Mungu, Wala atakayekuja kuuona Ufalme wa Mungu.

Jambo hili achilia mbali kwamba limethibitika miaka mingi , lakini bado linaendelea kujidhihirisha kila leo

Hebu Msome hapa Kabudi halafu Toa Maoni yako

View attachment 3465002View attachment 3465006

Mbeya ya siku hizi haina vijana jasiri kama zamani. Kuna watu wangepopolewa mawe hapo
 
I thought profs a re Guided by ethics and morals until ... .. During magufuli Era when he said ' UDSM is jalalani'
 
Nyerere ana hadhi yake Mzee wangu Kabudi. Ni kweli mengi yamefanywa baada ya kifo chake na hata kabla lakini huyu mwamba hadhi yake haifananishwi na yeyote aliyekuja baada yake!
Hadhi yake ni yake ni ya tofauti sana. Hata sie Wana CCM tunakushangaa kwa hili uliloponyokwa kwayo.
 
Kwetu jitu kama hilo wazee wa zamani walikuwa wanasema kuwa huyo ametokana na fertilization ya
Mara zote tumeandika humu na kwingineko kwamba Hakuna Mwanaccm anayemuogopa Mungu, Wala atakayekuja kuuona Ufalme wa Mungu.

Jambo hili achilia mbali kwamba limethibitika miaka mingi , lakini bado linaendelea kujidhihirisha kila leo

Hebu Msome hapa Kabudi halafu Toa Maoni yako

View attachment 3465002View attachment 3465006
Kwetu wazee wa 1880s walikuwa wanasema ukimzaaa mtoto wa hivyo, ametokana na fertilization ya egg by Cowper's fluid. Walijua kuwa that clear lubricating fluid ina sperms lakini zikifanya fertilization anatokea mtu kama huyu mbaye ni kutoka jalalani, lofalofa, kama jinga jinga hivi
 
Back
Top Bottom