GE2025 Prof. Kabudi: Samia ametimiza aliyoshindwa Mwalimu Nyerere

GE2025 Prof. Kabudi: Samia ametimiza aliyoshindwa Mwalimu Nyerere

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Yepi ? and at What Cost ?!!!

Kupenyeza Rupia kwenye Udhia ?
 
Mara zote tumeandika humu na kwingineko kwamba hakuna Mwanaccm anayemuogopa Mungu, Wala atakayekuja kuuona Ufalme wa Mungu.

Jambo hili achilia mbali kwamba limethibitika miaka mingi , lakini bado linaendelea kujidhihirisha kila leo

Hebu Msome hapa Kabudi halafu Toa Maoni yako

Pia soma > GE2025 - Prof. Kabudi: Samia ametimiza aliyoshindwa Mwalimu Nyerere

 
Mara zote tumeandika humu na kwingineko kwamba Hakuna Mwanaccm anayemuogopa Mungu, Wala atakayekuja kuuona Ufalme wa Mungu.

Jambo hili achilia mbali kwamba limethibitika miaka mingi , lakini bado linaendelea kujidhihirisha kila leo

Hebu Msome hapa Kabudi halafu Toa Maoni yako

View attachment 3465002View attachment 3465006
Ivii kweriiiii 😊 😊 😁 😁 kile kizungu cha NYERERE alicho kiongea na F. KENNEDY PALE WHITE HOUSE USA...................

TEAM WAZALENDO TUNAENDELEA KUBEMENDWA... TANGANYIKA INABEMWNDWA.. TANGANYIKA WAKEUP!!!
 
Back
Top Bottom