Prof Kabudi ni hazina kwa taifa letu akiweka siasa za uchawa pembeni

Huyo mzee nilimdharau sana alivyokubali kutumika na Magufuli kama mtu asiye na elimu kabisa. Kitendo cha yeye kutumwa kwenda Madagascar kuchukua dawa ya Covid isiyo na udhibitisho wa kimaabara, kisha akaja kunywa mbele ya wananchi, ile ilikuwa ni hatua ya mwisho kabisa ya kuanika ujinga wake. Halafu akawa anaongea kwa sifa za kijinga, eti huko Madagascar rais ndio anagawa hiyo dawa, akidhani tunaona rais ni cheo cha maana sana.
Hapa huyu mzee alitumika tu na yule mzee aliyekuwa na ukale
 
Back
Top Bottom