Umemsifia sana lakini naomba nikuulize kwa nini maswali ya nyongeza ya Mh Mulugo amejibu kwa kusoma majibu? Ina maana hata hayo maswali ya nyongeza alishapewa hivyo ni kiini machoHakika taifa na bunge la JMT linahitaji watu aina ya huyu profesa!
Mosi, ana uwezo wa hali ya juu wa kujibu hoja bila kuudhi.
Pili, ni ubobezi katika eneo husika la sheria anateleza tu na vifungu mpaka raha.
Tatu, matumizi ya lugha ya kiswahili mwanana anapiga misamiati mpaka baadhi ya wabunge kama sugu wanatoa macho.
Mwisho kabisa, anaonekana ni msikivu na mnyenyekevu kwa wabunge wote hata upinzani. Watanzania tunahitaji wabunge na mawaziri wa namna hii kwa kweli.
Mungu amsimamie afike mbali.
Tazama video ya majibu aliyoyatoa leo bungeni,lazima umkubali.
Ngoja akutane na Lissu kwenye zile hoja ngumu ndio atajua utamu wa propessaKafunikaaaaaa
Hata Kessy aliyeonekana kuduwaa?!and why mention Sugu... kwa nini usimtaje naibu spika kwamba ndiye anatoa macho
Lissu atakachomfanyia ni kumpa vitasa wasivyovipenda mabosi wake,ili ama aweke rehani weledi wake kama Mwakyembe au amuudhu Magu atumbuliwe,Ngoja akutane na Lissu kwenye zile hoja ngumu ndio atajua utamu wa propessa
Sasa ndugu mbona hueleweki? Wewe mwenyewe umesema Prof ameonyesha usikivu na unyenyekevu kwa wabunge wote iweje wewe unamkosea adabu Mh Sugu? Hakika nchi haitaendelea hadi pale utaifa wetu utakapopewa nafasi badala ya uvyama!Hakika taifa na bunge la JMT linahitaji watu aina ya huyu profesa!
Mosi, ana uwezo wa hali ya juu wa kujibu hoja bila kuudhi.
Pili, ni ubobezi katika eneo husika la sheria anateleza tu na vifungu mpaka raha.
Tatu, matumizi ya lugha ya kiswahili mwanana anapiga misamiati mpaka baadhi ya wabunge kama sugu wanatoa macho.
Mwisho kabisa, anaonekana ni msikivu na mnyenyekevu kwa wabunge wote hata upinzani. Watanzania tunahitaji wabunge na mawaziri wa namna hii kwa kweli.
Mungu amsimamie afike mbali.
Tazama video ya majibu aliyoyatoa leo bungeni,lazima umkubali.
Wamekufanyeje mkuu mbona umechenjI wish ccm kisiwepo kwanza!
Yeyote aliye ndani ya ccm ni adui wa maendeleo ya kweli kwa watanzania. Vimaendeleo wanavyofanya ni vya hadaa ya kuombea kura tu kipindi cha uchaguzi. Tunasubiri mtakavyotetea ununuzi wa ndege kwa maendeleo ya Taifa kipindi cha kampeni
mwambie shemeji akuchagulie rangi nyingine. Mwambie hii inaumiza miwani yetu!and why mention Sugu... kwa nini usimtaje naibu spika kwamba ndiye anatoa macho
Profesa Kabudi ni namba ingine kwenye kitivo cha ufaulu wake WA digrii ya sheria chuo kikuu cha dar es salaam rekodi yake ya ufaulu haijawahi vunjwa na yeyote toka Tanzania ipate uhuru hadi leo kwa yeyote anayesoma digrii ya sheria. Mwanae pia aliweka rekodi ya ufaulu chuo kikuu cha ardhi ambayo haijawahi vunjwa tokea Tanzania ipate uhuru na haijavunjwa hadi Leo. Huyo huwezi mshindanisha na wapiga yowe na makelele Kama akina Lisu, mbowe, akina lema na Sugu the music rapper.Mwingine mwenye akili kupindukia ni profesa Lipumba alivunja rekodi ya ufaulu kwenye digrii ya uchumi chuo kikuu cha dar es salaam ambayo toka uhuru hadi sasa Hakuna mtanzania aliyevunja rekodi ya LipumbaHakika taifa na bunge la JMT linahitaji watu aina ya huyu profesa!
Mosi, ana uwezo wa hali ya juu wa kujibu hoja bila kuudhi.
Pili, ni ubobezi katika eneo husika la sheria anateleza tu na vifungu mpaka raha.
Tatu, matumizi ya lugha ya kiswahili mwanana anapiga misamiati mpaka baadhi ya wabunge kama sugu wanatoa macho.
Mwisho kabisa, anaonekana ni msikivu na mnyenyekevu kwa wabunge wote hata upinzani. Watanzania tunahitaji wabunge na mawaziri wa namna hii kwa kweli.
Mungu amsimamie afike mbali.
Tazama video ya majibu aliyoyatoa leo bungeni,lazima umkubali.
Naibu Spika na Prof. Kabudi walikuwa 'staff' moja UDSM. Sugu na sheria wapi na wapi!!and why mention Sugu... kwa nini usimtaje naibu spika kwamba ndiye anatoa macho
Sijakuelewa kabisaaaaa, labda kama ID hii ni ya kampuni (shared ID)I wish ccm kisiwepo kwanza!