Arnold Kalikawe
Senior Member
- Sep 28, 2016
- 152
- 378
Dec atakua 98.Janabi ana umri gani?
π€£π€£π€£Kwa hizo mbinu ningetegemea Janabi awe na babe face lakini yeye ndio amekongoroka na ngozi kupauka kama ya marehemu ama kama vile ana miaka 90.
Janabi aache watu waishi. Kuchukua tahadhari za kawaida kwenye maisha ni jambo jema ila Janabi anataka tuwe extreme, ngozi zetu zikose nuru kama marehemu haiwezekani.
Sana,sijui kwa niniSema mtu asipokunywa pombe anakuwa na karoho kabaya kamejikunja muda wote korosho ikasome
Kwahiyo na wewe unakubaliana na hiyo comment Kana kwamba pombe ni kitu kizuri sana mySana,sijui kwa nini
Si kizuri lakini nimeprove ni kweli wengi wao wanamioyo iliyojikunja sanaKwahiyo na wewe unakubaliana na hiyo comment Kana kwamba pombe ni kitu kizuri sana my
Mmh! Haya bhanaSi kizuri lakini nimeprove ni kweli wengi wao wanamioyo iliyojikunja sana
Mambo ya lishe yamemchanganya sana mpaka anajikuta yeye bado ni mdogo hahahKwahiyo Janabi hapo alipo anajiona kijana? Eti wote ndio tunaelekea huko kwenye uzee ππ
BTW Janabi nilikuwa namuona mjanja kumbe nae anavaa hayo mapete ya Kiswahili? He is cancelled.
Janabi hamna hamna ni late 50'sMambo ya lishe yamemchanganya sana mpaka anajikuta yeye bado ni mdogo hahah
BilashakaJanabi hamna hamna ni late 50's