Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,255
- 10,248
Uzi umekuzidi umriHuu ujumbe umfikie mwenyekiti wa chadema asiyetaka kustaafu
Uzi umekuzidi umriHuu ujumbe umfikie mwenyekiti wa chadema asiyetaka kustaafu
Buda uko active kinoma [emoji23][emoji23][emoji23]Huu ujumbe umfikie mwenyekiti wa chadema asiyetaka kustaafu
Huu ujumbe umfikie mwenyekiti wa chadema asiyetaka kustaafu
Hata hiki ulichoandika ni majungu!BTW hakuna hata Mtanzania moja anayemwabudu JPM huo ni uongo na ulaghai wa hali ya juu, hivi huu uongo ndio unaopelekea Max kupata tuzo? Kama ni hivyo basi hata muktada wa kuongoza Serikali utakuwa hauna maana kwa sababu wengi wanafikiria majungu zaidi.
Baada ya 2025 tutakumbushana humu JF jinsi 2015 ilivokuwa ie alipoikuta Tanzania iliyoachwa na JK na mahali atakapotufikisha JPM inshallah 2025, miaka minne tu mafanikio ya JPM yanawafanya wengi wakose usingizi maana, kwanza hakuna hata moja anayeweza kusema anaweza kumuhonga rais wala anayeweza kusema anaweza kumshawishi JPM kwa jambo lolote. Hiyo ndio heshima ya kuwa rais. Shida zenu binafsi tatueni nyinyi wenyewe binafsi msimsukumizie rais. JPM ana kazi moja tu na ni mkataba wake na Watanzania, nyinyi wengine mlie tu hadi chozi la damu liwatoke.
JPM piga kazi kelele za mlango zisikukoseshe usingizi Watanzania wengi tupo nyuma yako na kuku-support.
Hata hiki ulichoandika ni majungu!
The mighty Prof (the real one, that is) has said it all. And got himself counted (of course). Who am I to say otherwise?
Blinded by power They never learn Mesmerized by glory They never think Protected by walls They never fear Till us all breakdown walls Cut through fences Pierce their gilded armors Then it’s too late to remorse Too spent To amend Then they just go down Down the dustbin of history
Chadema inatuhusu nini Sisi? Au unajitoa akili (kama unazo).Huu ujumbe umfikie mwenyekiti wa chadema asiyetaka kustaafu
Wenzio huko kwa akina Gaddafi hawapaangalii au kutaka kupajua..., wao mifano yao ipo hapa jirani, Rwanda, Burundi, Uganda.Nikikumbuka Gaddafi alivyookotwa kwenye mtaro pamoja na kuwapa kilakitu watu wake uwa namshangaa sana Jiwe.
We inaelekea hata akikutandikia we shega tuuuShivji yupi? Huyu ambaye hata baba wa taifa alimdharau, Watanzania watambue kitu kimoja, mwamba ngozi lazima avutie kwake.
Wewe unaukumbuka "mkataba" aliopewa wa kuwakandamiza na kuwanyima haki waTanzania?JPM ana kazi moja tu na ni mkataba wake na Watanzania, nyinyi wengine mlie tu hadi chozi la damu liwatoke.
Huu ujumbe umfikie mwenyekiti wa chadema asiyetaka kustaafu
Shivji yupi? Huyu ambaye hata baba wa taifa alimdharau, Watanzania watambue kitu kimoja, mwamba ngozi lazima avutie kwake.
Kutoka cha chavda....Ni ujumbe wa jiwe fullstop.
HOPELESS!!!!Shivji amewageukia chadema na ACT maana wanazorotesha demokrasia
State agent
power of literary worksThe mighty Prof (the real one, that is) has said it all. And got himself counted (of course). Who am I to say otherwise?
Blinded by power They never learn Mesmerized by glory They never think Protected by walls They never fear Till us all breakdown walls Cut through fences Pierce their gilded armors Then it’s too late to remorse Too spent To amend Then they just go down Down the dustbin of history
BTW hakuna hata Mtanzania moja anayemwabudu JPM huo ni uongo na ulaghai wa hali ya juu, hivi huu uongo ndio unaopelekea Max kupata tuzo? Kama ni hivyo basi hata muktada wa kuongoza Serikali utakuwa hauna maana kwa sababu wengi wanafikiria majungu zaidi.
Baada ya 2025 tutakumbushana humu JF jinsi 2015 ilivokuwa ie alipoikuta Tanzania iliyoachwa na JK na mahali atakapotufikisha JPM inshallah 2025, miaka minne tu mafanikio ya JPM yanawafanya wengi wakose usingizi maana, kwanza hakuna hata moja anayeweza kusema anaweza kumuhonga rais wala anayeweza kusema anaweza kumshawishi JPM kwa jambo lolote. Hiyo ndio heshima ya kuwa rais. Shida zenu binafsi tatueni nyinyi wenyewe binafsi msimsukumizie rais. JPM ana kazi moja tu na ni mkataba wake na Watanzania, nyinyi wengine mlie tu hadi chozi la damu liwatoke.
JPM piga kazi kelele za mlango zisikukoseshe usingizi Watanzania wengi tupo nyuma yako na kuku-support.
sawa bibichekaShivji amewageukia chadema na ACT maana wanazorotesha demokrasia
State agent