Ufipa-Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 4,582
- 2,783
Nasikiliza VOA. Prof. Baregu anasema kufukuzwa kwa ZZK ni kwa sababu ya kukaribia kwa uchaguzi ndani ya vyama na Uchaguzi Mkuu.
Anasema misuguano ndani ya vyama inawachanganya wanachama na usuluhishi ndani ya chama ni muhimu.
Anasema katiba imefuata lakini kuna mgogoro katika kuwafukuza wanachama.
========================
USAHIHI WA KILICHOONGELEWA:
Kwa anayetaka kupata uhalisia wa kilichoongelewa, asikilize Audio hii - www.voaswahili.com/audio/Audio/363572.html