Hawawezi ndio mana wanatumia technics na nguvu ya madaraka waliyonayokama tatizo ni chaguzi za ndani, si wangesubiri wamshinde zito kwenye sanduku la kura??
Baregu msimamo wake unajulikana ni wa kisomi
Prof baregu nasikia ndo M2 au chadema mpya?au ndo yuko kundi la CDM academia?
Mimi sijasema suala la Zitto.
Mtoa mada ni mnafiki amechambua habari na kupoteza maana
Mods taarifa hii ni ya uongo, Prof Baregu hajazungumza haya, mimi nimesikiliza, kwa bahati nzuri mimi nimsikilizaji wa idhaa za kiswahili zote,
Nendeni kwenye tovuti ya Voa sikilizeni vipindi vyote vya leo na hamtasikia popote hiki alicholeta huyu member,
Baregu ni mnazi wa zitto,tunamjua,umbea unamsumbua.
Samahani mkuu mpe heshima yake ni PROFESA na Siyo DR.CHADEMA hawajui wanaenda au wanarudi.
Ningetegemea Dr. Baregu abonde CCM na serikali, ningeona ni kazi yake.
Lakini akisema vyama vyote, (msisitizo, vyote maana yake chama "twawala" na upinzani) hapo itabidi nisikilize kwa makini.
Hili tulishalisema siku nyingi, ni vizuri kusikia wenyewe wana confirm.
Baregu ni mnazi wa zitto,tunamjua,umbea unamsumbua.
Prof baregu nasikia ndo M2 au chadema mpya?au ndo yuko kundi la CDM academia?
Slaa fukuza Baregu. Anakupinga rais wa Karatu.Baregu ni mnazi wa zitto,tunamjua,umbea unamsumbua.
Mods taarifa hii ni ya uongo, Prof Baregu hajazungumza haya, mimi nimesikiliza, kwa bahati nzuri mimi nimsikilizaji wa idhaa za kiswahili zote,
Nendeni kwenye tovuti ya Voa sikilizeni vipindi vyote vya leo na hamtasikia popote hiki alicholeta huyu member,
Ndugu yangu sikilza mahojiano.. Buk7 wameweka chumvi.. Prof. kaongea vitu vingine kabisa..
Nasikiliza VOA. Prof. Baregu anasema kufukuzwa kwa ZZK ni kwa sababu ya kukaribia kwa uchaguzi ndani ya vyama na Uchaguzi Mkuu.
Anasema misuguano ndani ya vyama inawachanganya wanachama na usuluhishi ndani ya chama ni muhimu.
Anasema katiba imefuata lakini kuna mgogoro katika kuwafukuza wanachama.
A gentleman's words at least!Nashukuru Mkuu,
Me naona watu wanachukia ambacho hawajasikia. Sina nia mbaya na Prof. naheshimu mawazo ya kisomi, hata kama unaona nimeegemea upande.
Shukurani
wata sema wana report yake ya kukisaliti chama.
Ww ndio chenga kwa sababu hutumii akili yako hadi utumie ile ya kuazimaHuyu mzee naye chenga tu, Profesa mzima anachanganya madesa