ifweero
JF-Expert Member
- Jun 12, 2013
- 7,957
- 1,341
Weka ulichosikia wewe kibaraka wa mbowe sio unaleta njaa zako humuHakuna anayechukia tunasema mengi uliyoyasikia umeyaweka kwenye hisia zako na kwa sababu taarifa yenyewe uliipata toka radio ukumbuke wengi wanasikia na kusikiliza