Mhanga!? Mimi mhanga!? We nae akili finyu sana!
Usinitolee povu, siyo mimi niliyeipandisha kwa vigezo Tz mpaka uchumi wa kati chini, ni wenye mamlaka hayo! Kama unsng'aka, kawang'akie wao😂🤣😂😂! Moto wa Magu haukuwa wa kitoto etiii😜!Uchumi wa kati unaujua au unausikia? Kununua ndege na kujenga flyover ndiyo umeingia uchumi wa kati?
Hapo hapo umeshindwa kuongeza mishahara kwa watumishi, umeshindwa kuajiri na mbali na hiyo kuna wanafunzi wanakaa chini, hakuna madawati, hakuna maabara shuleni na hakuna maji vijijini.
Uchumi wa kati unaujua?
Usinitolee povu, siyo mimi niliyeipandisha kwa vigezo Tz mpaka uchumi wa kati chini, ni wenye mamlaka hayo! Kama unsng'aka, kawang'akie wao😂🤣😂😂! Moto wa Magu haukuwa wa kitoto etiii😜!
Wewe binadsi huo uchumi wa kati au katikati umekusaidia nini?Nimemsikiliza Prof. Assad, na nimestaajabu sana kuwa ni profesa!
Unajua shida inaanza pale mtu akifanya kiutafiti chake na kuchapisha na kuwa profesa kwa kaeneo hako alikotafitu sasa anageuka ghafla na kuwa professor wa yote! Huyu Assad ana njaa sana na uteuzi na kwa kweli sasa hivi anajidhihirisha wazi wazi kuwa anafanya kazi kwa niaba ya wale waliozoea kuiibia Tz! Eti hakuna mtu anayenunua ndege kwa cash, Tz tumeweza mbona, eti tuliue shirika la ndege ili kukwepa madeni. Dawa ya deni ni kulipa siyo kulikimbia kwa kufeki kifo! Hao wanaodai nao wana haki ya kulipwq kama wanamadai ya haki!
Eti Magu hakuwa na nia njema na nchi, huyu huoni ndani ya miaka 5 tumeingia uchumi wa kati na bado lengo la Magu lilikuwa ni Tz kuwa donor country! Haya ni malengo ambayo ni wazi kuwa makubwa sana kiasi kwamba huyu 'profesa' hata akivaa miwani yake hawezi kuona kwa sbb ya ufinyu wa muono wake! Eti mtu anaharibu ktk utumishi wake wa umma, uanze kumbembeleza kwa kuwa ana haki ujinga kabisa kwani alipokuwa anaharibu hujui kuna haki ngapi za watu wasio na hatia walikosa haki zao!
Ni upumbafu wa mwisho kufikiria kuwa kwa kutoweza kuelewa maono makubwa ya Magu kuwa ni JPM hakuwa na nia nzuri na Tz!
Kwanza ni aibu kwa mtu anayejiita profesa kupambana ili apate uteuzi kwa kuwa yy mwenyewe hana upeo wa kubuni na kutekereza mradi ili ajiajiri na kuajiri wengine! Badala yake kwa ufinyu wa akili yake Assad eti anataka Bagamoyo ijengwe bandari kwa fedha za wachina na tukubaliane na matakwa yao kwa kuwa sisi hatuwezi kujenga wenyewe!
Kwa mawazo na akili mgando namna hii ya kutaka kufanyiwa tu na watu ni aibu isiyokifani! Tz siyo maskini na Magu amedhihirisha hayo kwa vitendo! Sasa mzee mzima anakosa hata hekima tu ya kizee linakuja na mawazo ya kidhaifu eti tujengewe. Hivi huyo Assad haoni yaliyowakuta Zambia huyu? Kweli huyu ni finyu sana, na kwa kweli haitakii mema Tz hata kidogo na kwa vyovyote vile kuna kila kiashiria cha kuwa na maslahi na hao anaowapigia chapuo kuwauzia bagamoyo! Kama hatuna uwezo wa kujenga hiyo bandari sisi wenyewe ni bora tusijenge kwa sasa mpaka tutakapo kuwa na uwezo! Hatupo tayari kuiuza sehemu yoyote ya Tz kwa nchi za kigeni!
Shame on you Assad!
Nimegundua unamtazamo finyu na ulioganda na hivyo hutufai hata hastahili kuwa balozi wa nyumba 10, ww ni mzee wa kijiwe cha mgahawa tu ambapo upuuzi wote huongelewa hapo!
You are a Useless fool!Pole sana mnyonge. Nchi hii bado kuna wajinga sana. Hata akitokea mtu akawapa ma... Vi akawambia hiki ni chakula, bado kuna watu wataamini ni chakula na watakula.
Huyo shujaa wa zamani bado unamuwaza tu? Ashakufa hayupo tena.
Kwahiyo waliposema ukiwa na cherehani mbili ni kiwanda na ww ulikubali?
🔫💉
unabahati sana signature yako inakuilinda upumzike kwa amani.By the way andikawosiaNimemsikiliza Prof. Assad, na nimestaajabu sana kuwa ni profesa!
Unajua shida inaanza pale mtu akifanya kiutafiti chake na kuchapisha na kuwa profesa kwa kaeneo hako alikotafitu sasa anageuka ghafla na kuwa professor wa yote! Huyu Assad ana njaa sana na uteuzi na kwa kweli sasa hivi anajidhihirisha wazi wazi kuwa anafanya kazi kwa niaba ya wale waliozoea kuiibia Tz! Eti hakuna mtu anayenunua ndege kwa cash, Tz tumeweza mbona, eti tuliue shirika la ndege ili kukwepa madeni. Dawa ya deni ni kulipa siyo kulikimbia kwa kufeki kifo! Hao wanaodai nao wana haki ya kulipwq kama wanamadai ya haki!
Eti Magu hakuwa na nia njema na nchi, huyu huoni ndani ya miaka 5 tumeingia uchumi wa kati na bado lengo la Magu lilikuwa ni Tz kuwa donor country! Haya ni malengo ambayo ni wazi kuwa makubwa sana kiasi kwamba huyu 'profesa' hata akivaa miwani yake hawezi kuona kwa sbb ya ufinyu wa muono wake! Eti mtu anaharibu ktk utumishi wake wa umma, uanze kumbembeleza kwa kuwa ana haki ujinga kabisa kwani alipokuwa anaharibu hujui kuna haki ngapi za watu wasio na hatia walikosa haki zao!
Ni wa mwisho kufikiria kuwa kwa kutoweza kuelewa maono makubwa ya Magu kuwa ni JPM hakuwa na nia nzuri na Tz!
Kwanza ni aibu kwa mtu anayejiita profesa kupambana ili apate uteuzi kwa kuwa yy mwenyewe hana upeo wa kubuni na kutekereza mradi ili ajiajiri na kuajiri wengine! Badala yake Assad eti anataka Bagamoyo ijengwe bandari kwa fedha za wachina na tukubaliane na matakwa yao kwa kuwa sisi hatuwezi kujenga wenyewe!
Kwa mawazo na akili mgando namna hii ya kutaka kufanyiwa tu na watu ni aibu isiyokifani! Tz siyo maskini na Magu amedhihirisha hayo kwa vitendo! Sasa mzee mzima anakosa hata hekima tu ya kizee anakuja na mawazo ya kidhaifu eti tujengewe. Hivi Assad haoni yaliyowakuta Zambia huyu? Kweli huyu kwa kweli haitakii mema Tz hata kidogo na kwa vyovyote vile kuna kila kiashiria cha kuwa na maslahi na hao anaowapigia chapuo kuwauzia bagamoyo! Kama hatuna uwezo wa kujenga hiyo bandari sisi wenyewe ni bora tusijenge kwa sasa mpaka tutakapo kuwa na uwezo! Hatupo tayari kuiuza sehemu yoyote ya Tz kwa nchi za kigeni!
Shame on you Assad!
Nimegundua una mtazamo finyu na ulioganda na hivyo hutufai hata hastahili kuwa balozi wa nyumba 10, ww ni mzee wa kijiwe cha mgahawa tu.
Upeo wako upo duni sana aisee!Wewe binadsi huo uchumi wa kati au katikati umekusaidia nini?
Mshahara wako umepanda?
Biashara na mtaji wako vimeomgezeka?
We kweli ndezi,vumilieni tu,maana ndivyo haki na ukweli ulivyo.Nimemsikiliza Prof. Assad, na nimestaajabu sana kuwa ni profesa!
Unajua shida inaanza pale mtu akifanya kiutafiti chake na kuchapisha na kuwa profesa kwa kaeneo hako alikotafitu sasa anageuka ghafla na kuwa professor wa yote! Huyu Assad ana njaa sana na uteuzi na kwa kweli sasa hivi anajidhihirisha wazi wazi kuwa anafanya kazi kwa niaba ya wale waliozoea kuiibia Tz! Eti hakuna mtu anayenunua ndege kwa cash, Tz tumeweza mbona, eti tuliue shirika la ndege ili kukwepa madeni. Dawa ya deni ni kulipa siyo kulikimbia kwa kufeki kifo! Hao wanaodai nao wana haki ya kulipwq kama wanamadai ya haki!
Eti Magu hakuwa na nia njema na nchi, huyu huoni ndani ya miaka 5 tumeingia uchumi wa kati na bado lengo la Magu lilikuwa ni Tz kuwa donor country! Haya ni malengo ambayo ni wazi kuwa makubwa sana kiasi kwamba huyu 'profesa' hata akivaa miwani yake hawezi kuona kwa sbb ya ufinyu wa muono wake! Eti mtu anaharibu ktk utumishi wake wa umma, uanze kumbembeleza kwa kuwa ana haki ujinga kabisa kwani alipokuwa anaharibu hujui kuna haki ngapi za watu wasio na hatia walikosa haki zao!
Ni wa mwisho kufikiria kuwa kwa kutoweza kuelewa maono makubwa ya Magu kuwa ni JPM hakuwa na nia nzuri na Tz!
Kwanza ni aibu kwa mtu anayejiita profesa kupambana ili apate uteuzi kwa kuwa yy mwenyewe hana upeo wa kubuni na kutekereza mradi ili ajiajiri na kuajiri wengine! Badala yake Assad eti anataka Bagamoyo ijengwe bandari kwa fedha za wachina na tukubaliane na matakwa yao kwa kuwa sisi hatuwezi kujenga wenyewe!
Kwa mawazo na akili mgando namna hii ya kutaka kufanyiwa tu na watu ni aibu isiyokifani! Tz siyo maskini na Magu amedhihirisha hayo kwa vitendo! Sasa mzee mzima anakosa hata hekima tu ya kizee anakuja na mawazo ya kidhaifu eti tujengewe. Hivi Assad haoni yaliyowakuta Zambia huyu? Kweli huyu kwa kweli haitakii mema Tz hata kidogo na kwa vyovyote vile kuna kila kiashiria cha kuwa na maslahi na hao anaowapigia chapuo kuwauzia bagamoyo! Kama hatuna uwezo wa kujenga hiyo bandari sisi wenyewe ni bora tusijenge kwa sasa mpaka tutakapo kuwa na uwezo! Hatupo tayari kuiuza sehemu yoyote ya Tz kwa nchi za kigeni!
Shame on you Assad!
Nimegundua una mtazamo finyu na ulioganda na hivyo hutufai hata hastahili kuwa balozi wa nyumba 10, ww ni mzee wa kijiwe cha mgahawa tu.
Profesa wengi wa Tanzania wamekariri tu .Hakiandika kipepa akaitwa Professor anajifanya anajua.Mwambie huyo kama ana project iliyoajili vijana hata wawili.Ni mganga njaa tu.Nimemsikiliza Prof. Assad, na nimestaajabu sana kuwa ni profesa!
Unajua shida inaanza pale mtu akifanya kiutafiti chake na kuchapisha na kuwa profesa kwa kaeneo hako alikotafitu sasa anageuka ghafla na kuwa professor wa yote! Huyu Assad ana njaa sana na uteuzi na kwa kweli sasa hivi anajidhihirisha wazi wazi kuwa anafanya kazi kwa niaba ya wale waliozoea kuiibia Tz! Eti hakuna mtu anayenunua ndege kwa cash, Tz tumeweza mbona, eti tuliue shirika la ndege ili kukwepa madeni. Dawa ya deni ni kulipa siyo kulikimbia kwa kufeki kifo! Hao wanaodai nao wana haki ya kulipwq kama wanamadai ya haki!
Eti Magu hakuwa na nia njema na nchi, huyu huoni ndani ya miaka 5 tumeingia uchumi wa kati na bado lengo la Magu lilikuwa ni Tz kuwa donor country! Haya ni malengo ambayo ni wazi kuwa makubwa sana kiasi kwamba huyu 'profesa' hata akivaa miwani yake hawezi kuona kwa sbb ya ufinyu wa muono wake! Eti mtu anaharibu ktk utumishi wake wa umma, uanze kumbembeleza kwa kuwa ana haki ujinga kabisa kwani alipokuwa anaharibu hujui kuna haki ngapi za watu wasio na hatia walikosa haki zao!
Ni wa mwisho kufikiria kuwa kwa kutoweza kuelewa maono makubwa ya Magu kuwa ni JPM hakuwa na nia nzuri na Tz!
Kwanza ni aibu kwa mtu anayejiita profesa kupambana ili apate uteuzi kwa kuwa yy mwenyewe hana upeo wa kubuni na kutekereza mradi ili ajiajiri na kuajiri wengine! Badala yake Assad eti anataka Bagamoyo ijengwe bandari kwa fedha za wachina na tukubaliane na matakwa yao kwa kuwa sisi hatuwezi kujenga wenyewe!
Kwa mawazo na akili mgando namna hii ya kutaka kufanyiwa tu na watu ni aibu isiyokifani! Tz siyo maskini na Magu amedhihirisha hayo kwa vitendo! Sasa mzee mzima anakosa hata hekima tu ya kizee anakuja na mawazo ya kidhaifu eti tujengewe. Hivi Assad haoni yaliyowakuta Zambia huyu? Kweli huyu kwa kweli haitakii mema Tz hata kidogo na kwa vyovyote vile kuna kila kiashiria cha kuwa na maslahi na hao anaowapigia chapuo kuwauzia bagamoyo! Kama hatuna uwezo wa kujenga hiyo bandari sisi wenyewe ni bora tusijenge kwa sasa mpaka tutakapo kuwa na uwezo! Hatupo tayari kuiuza sehemu yoyote ya Tz kwa nchi za kigeni!
Shame on you Assad!
Nimegundua una mtazamo finyu na ulioganda na hivyo hutufai hata hastahili kuwa balozi wa nyumba 10, ww ni mzee wa kijiwe cha mgahawa tu.
You are a Useless fool!
Asad yupo sahihi sana sana sana Ila kwa vilaza na wapumbavu hata iishe miaka mia moja hawata elewa kitu !!?jpm alitaka kuonekana yeye ni Kiongozi kuzidi watangulizi wake akazima vyanzo vya taarifa za seikali yake akaache vile vinavyomtukuza kua yeyye ndio kila kitu akafikia mahali akaitwa Mungu !??? Sisi wenye akili tulijua kinachoendelea tukajiuliza kwann nguvu kubwa kiasi kile ilitumika kupambana na wapinzani ambao kikatiba wapo kihalali!?? Kwann Rais anapambana na media!?? Tulijua kua alikua anafucha udhaifu tuu!!?? Hiyo ndio saikolojia rahisi !!! Hata shuleni ukiona mwalim ni mkali kuliko kiasi ujue anaficha kitu fulani !!! Either hajui kufundisha hivyo anatumia ukali kupita kiasi asiulizwe maswali au ana shida nyingine!?? Huyo Asad unaesema anatumija alikua ni CAG proffessional kitaaluma ana ushahid anayoyasema na ni utaalam nasio ukada wa ccm kama mlivyo nyie !!! Mfano Asad anasema aliomba apatiwe risiti na mchakato wa kununua ndege ili atoe ushauri wa kitaalamu ( ambalo ni jukumu lake kisheria ) lakin rais alimnyima!!!! Sasa hapo nani anamakosa!?? Watanzania tuamke jamani tuache ujinga kudhani JPM alijua Mungu !!! Tunatakiwa kujenga Taasisi imara na sio Mtu imara mtu anakuja na atapita Taasisi itadumuNimemsikiliza Prof. Assad, na nimestaajabu sana kuwa ni profesa!
Unajua shida inaanza pale mtu akifanya kiutafiti chake na kuchapisha na kuwa profesa kwa kaeneo hako alikotafitu sasa anageuka ghafla na kuwa professor wa yote! Huyu Assad ana njaa sana na uteuzi na kwa kweli sasa hivi anajidhihirisha wazi wazi kuwa anafanya kazi kwa niaba ya wale waliozoea kuiibia Tz! Eti hakuna mtu anayenunua ndege kwa cash, Tz tumeweza mbona, eti tuliue shirika la ndege ili kukwepa madeni. Dawa ya deni ni kulipa siyo kulikimbia kwa kufeki kifo! Hao wanaodai nao wana haki ya kulipwq kama wanamadai ya haki!
Eti Magu hakuwa na nia njema na nchi, huyu huoni ndani ya miaka 5 tumeingia uchumi wa kati na bado lengo la Magu lilikuwa ni Tz kuwa donor country! Haya ni malengo ambayo ni wazi kuwa makubwa sana kiasi kwamba huyu 'profesa' hata akivaa miwani yake hawezi kuona kwa sbb ya ufinyu wa muono wake! Eti mtu anaharibu ktk utumishi wake wa umma, uanze kumbembeleza kwa kuwa ana haki ujinga kabisa kwani alipokuwa anaharibu hujui kuna haki ngapi za watu wasio na hatia walikosa haki zao!
Ni wa mwisho kufikiria kuwa kwa kutoweza kuelewa maono makubwa ya Magu kuwa ni JPM hakuwa na nia nzuri na Tz!
Kwanza ni aibu kwa mtu anayejiita profesa kupambana ili apate uteuzi kwa kuwa yy mwenyewe hana upeo wa kubuni na kutekereza mradi ili ajiajiri na kuajiri wengine! Badala yake Assad eti anataka Bagamoyo ijengwe bandari kwa fedha za wachina na tukubaliane na matakwa yao kwa kuwa sisi hatuwezi kujenga wenyewe!
Kwa mawazo na akili mgando namna hii ya kutaka kufanyiwa tu na watu ni aibu isiyokifani! Tz siyo maskini na Magu amedhihirisha hayo kwa vitendo! Sasa mzee mzima anakosa hata hekima tu ya kizee anakuja na mawazo ya kidhaifu eti tujengewe. Hivi Assad haoni yaliyowakuta Zambia huyu? Kweli huyu kwa kweli haitakii mema Tz hata kidogo na kwa vyovyote vile kuna kila kiashiria cha kuwa na maslahi na hao anaowapigia chapuo kuwauzia bagamoyo! Kama hatuna uwezo wa kujenga hiyo bandari sisi wenyewe ni bora tusijenge kwa sasa mpaka tutakapo kuwa na uwezo! Hatupo tayari kuiuza sehemu yoyote ya Tz kwa nchi za kigeni!
Shame on you Assad!
Nimegundua una mtazamo finyu na ulioganda na hivyo hutufai hata hastahili kuwa balozi wa nyumba 10, ww ni mzee wa kijiwe cha mgahawa tu.
Zamani nilikuwa najua professor ni mtu mwenye akilin sana kumbe akili yangu ya ujesriamali inamzidi hawa watuKwa maandishi ya namna hii, then unamtukana prof Assad, hii nchi nyepesi sana kuongoza! Hata kama yote hayo yamefanyika lakini wizi wa kutisha pia unaibuliwa, kama vile ambavyo kikwete pia alifanya mengi na wizi pia ulikuwepo! Ngoja ukaguzi wa miradi mingine ukamilike kwanza, lakin huna huelewa hata asilimia moja wa kumzid prof na kumtukana!