Utakua na shida kichwani, sasa utake uteuzi wa VP ndio uje humu...kwani humu ndio wanachagua VP? Tambua hizo nafas kubwa za kiserikali hachagui mtu mmoja amejifungia, hiyo ni nchi kama ulikua huelewi,ndio maana kuna watu walikua na nguvu sana lakin akateuliwa Majaliwa from nowhere, na pia hakuna mtu alitegemea Mpango kuwa VP! Ndio ujue hizo nafasi huzipati kwa kujipigia debe, na Assad hawezi kuja humu, itakua wewe labda umetumia jina lake! Huna unalolijua, acha prof aongee alichofanyia tafiti..ikiiuma na wewe fanya tafiti, andika paper uje kuwasilisha opposite to what prof has presented yesterday na sio kupiga mayoe.