Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,494
- 235,182
[emoji23]Eh akishaanza kucheka cheka hakikisheni mpo mita 2 pembeni yake [emoji28] atakichafua
Kwani kuna kudondoka?
[emoji23]Eh akishaanza kucheka cheka hakikisheni mpo mita 2 pembeni yake [emoji28] atakichafua
Tobaa[emoji3]4 sjui. Na jana yale nlipiga 5. Na kesho yake nikaenda job ile jumapili. Ini langu linisamehe tu kwa weekend ile.
[emoji23]Nimekwambiaje, piga desperado ukishindwa na hio nitakuwa na kikao na wewe! Ntakupa pombe na soda ili uinjoy
[emoji3],usiku ni changamoto.Maharaka yako na woga wako tuu usitusingizie
Oh vizuri [emoji4]as you wish madam
kesho nipo free
Dodoma ndo makao makuu ya Dunia. Tutakumbuka daima Baba MagufuliKumbe watoa product nyingi!!