Sijui nani huwa anawaelekeza kitu cha kujadili maana huwa naona wanashambulia mtu badala ya kujibu mada husika.
Kipindi tunajadili issues za TEC na maandamano walileta mashehe kuwashambulia viongozi wa TEC badala ya kujikita kwenye issue husika ya HAKI.
Alipokuja Kitima badala ya kujibu hoja zake wakaanza kushambulia maisha yake.
Warioba kasema waliouawa tarehe 29/10 ni wengi kuliko waliouawa wakati wa vita vya Kagera na ni hatari jeshi kugawanyika, wameacha hoja yake wanajadili personality yake eti yeye ni mfumo kristo, itasaidia kitu gani kwenye mada aliyoileta.
Tukisema serikali ya Samia imeua watu wengi, utetezi wao, mnamuonea kwa kuwa yeye ni mwanamke, ni mwislam, haisaidii kitu wala haitafuta idadi ya vifo.
Wakiambiwa Marekani na nchi wahisani zitatuwekea vikwazo, utetezi wao wanatuonea wivu, Marekani akuonee wivu wewe una kitu gani kumzidi.
Machawa na wanaowatuma wajifunze kuwa kujaza chawa jukwaani hakusaidii kama hawana uwezo wa kujibu hoja ni kelele tu sawa na kelele za walevi bar.