Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,168
- 143,943
Teh teh teh....mbona wale pro-Hillary walokuwa wanashangalia opinion polls pamoja na 'ushindi' wa Hillary kwenye debates leo siwaoni humu?
Manake walikuwa na ngebe kama wale wapenzi wa Golden State Warriors Raimundo lakini leo kimyaaaaaa.
Trump ni kama Cleveland Cavaliers....against all odds kaishangaza dunia😀😀😀.
Watu walivyokuwa wanaziamini opinion polls utadhani uchaguzi huwa unafanyika kwa hizo polls.
Somo la huu uchaguzi:
1] Upendeleo wa waziwazi wa vyombo vya habari ni mbaya sana. Unaweza ukatengeneza backlash.
2] Opinion polls si lolote si chochote. Ziamini at your own risk.
3] Kushinda debates si kushinda uchaguzi. Niliseme hili mara ngapi?
4] Trump kawashikisha adabu wengi kwa kutumia nguvu ya umma
5] Wamarekani mara nyingi huwa hawatoi mihula mitatu kwa chama kimoja. Hili nalo niliseme mara ngapi?
mkuu nakudai pesa mbona unakimbia?
Nazichanga bana...kidogoro kimeingia maji huku😀.
Teh teh teh....mbona wale pro-Hillary walokuwa wanashangalia opinion polls pamoja na 'ushindi' wa Hillary kwenye debates leo siwaoni humu?
Manake walikuwa na ngebe kama wale wapenzi wa Golden State Warriors Raimundo lakini leo kimyaaaaaa.
Trump ni kama Cleveland Cavaliers....against all odds kaishangaza dunia😀😀😀.
Watu walivyokuwa wanaziamini opinion polls utadhani uchaguzi huwa unafanyika kwa hizo polls.
Somo la huu uchaguzi:
1] Upendeleo wa waziwazi wa vyombo vya habari ni mbaya sana. Unaweza ukatengeneza backlash.
2] Opinion polls si lolote si chochote. Ziamini at your own risk.
3] Kushinda debates si kushinda uchaguzi. Niliseme hili mara ngapi?
4] Trump kawashikisha adabu wengi kwa kutumia nguvu ya umma
5] Wamarekani mara nyingi huwa hawatoi mihula mitatu kwa chama kimoja. Hili nalo niliseme mara ngapi?
[emoji102] [emoji102] [emoji87] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124]usiwe unaahidi kahuwezi timiza, nakusamee na kukupa hio pesa kama msaada...........
Mtoe magufuli tafadhali hafanani na hizo levelIngekua Tz pro Hillary wangesema kura zimeibwa. Ila kwavile ni kule democracy ilipozaliwa, wamebaki wamenyeshewa mvua.
Viva Trump
Viva Putin
Viva Rodrigo
Viva Kim
Viva Magufuli
Heheeee
[emoji102] [emoji102] [emoji87] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Mkuu, hapo kwenye rangi nyekundu:
Kwa kweli BBC nimewadharau sana kupitia uchaguzi huu wa USA kwa jinsi walivyokuwa PARTIAL!
Salimu Kikeke, Zuhura Yunus, nk. nadhani kwa sasa mnaomboleza pamoja na bibi yenu. Hadhi ya BBC mmeishusha sana to negative plane kwa upendeleo wa wazi na wa kijinga mkasahau kwamba wasikilizaji wenu ni mashabiki wa wagombea wote! Shame on you BBC, your credibility has been reduced to negative!
USA baby [emoji631] [emoji631] [emoji631]Nyani mbona humalizii na US BABY?
Kwa mbiiiinde mkuu hadi ukumbushwe banaUSA baby [emoji631] [emoji631] [emoji631]
Bado niko katika mshangao wa yaliyotokea jana.Kwa mbiiiinde mkuu hadi ukumbushwe bana
USA Baby..Bado niko katika mshangao wa yaliyotokea jana.
Bado najaribu kuelewa kilichotokea huku nikicheka kwa dharau.