Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,610
Jamani niko serias natafuta private consultant ambae anaweza kunishauri. Nataka nianze maisha yangu upyaa.nina mambo mengi kichwani nahisi kichwa kinataka kuburst. Aweze kunishauri katika nyanja zote za maisha kiuchumi,kijamii everything.niko tayari kumlipa ila awe na bei affordable.kama haupo sirias pleas usinisumbue maana utaniongezea matatizo